shule

  1. Wali sekondari yageuka shule ya mateso kwa wanafunzi

    "Tunaomba mtusaidie kunusuru maisha ya watoto wetu hii shule ni kama imegeuzwa Kambi ya mateso kwa watoto wetu". Hii ni kauli ya mmoja wa wazazi wenye watoto katika shule ya sekondari Wali iliyopo wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro. Shule hiyo inamilikiwa na Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha...
  2. Matokeo ya Kidato cha 6 2024: Shule 710 kati ya 929 zimepata Wastani wa Daraja C la Ufaulu, Shule 100 zimepata Daraja A na B

    Kwa mujibu wa Matokeo ya Mtihani wa Kihitimu Kidato cha 6 uliofanywa Mei 2024 na kutangazwa na Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), Ufaulu wa Watahiniwa waliopata Daraja I - III umeongezeka kwa 0.10% kutoka Wanafunzi 95,442 (99.30%) mwaka 2023 hadi 102,719 (99.40%) mwaka 2024. NECTA imesema...
  3. Heko Waziri Nchemba kwa Kuitembelea Shule yako ya Ilboru ila mbona Walimu wa Masomo mengine hukuwatembelea na umemtembelea Mmoja uliyefaulu Somo lake?

    Sawa Somo la Jiografia tokea Form One hadi Four ulipata A na pia kuna Mwalimu wako mwingine Blanca Shao nae alisema kuna Somo lake ulipata A. Hongera kwa Ufaulu huo ila GENTAMYCINE ( Mtani wako kutoka Mkoani Mara kwa Wazanaki ) nakuuliza Mtani wangu Wewe Mshamba kutoka Mkoani Singida kwa Watani...
  4. Njia za Kuimarisha Ujuzi wa Programming kwa Watoto wa Kitanzania: Kuanzia Shule za Msingi Hadi Vyuo Vikuu (Tupate Fluent Programmers)

    Utangulizi: Habari wana JF! Leo ningependa kushiriki nanyi mawazo juu ya jinsi Tanzania inaweza kuzalisha programmers wenye ujuzi wa hali ya juu kwa kuanzisha elimu ya programming kuanzia shule za msingi hadi vyuo vikuu. Kwa sasa, wanafunzi wengi wanakutana na programming mara ya kwanza wakiwa...
  5. DOKEZO Walimu wa Shule ya Sekondari Rasesa wawashikisha watoto Pedi chafu

    Wasalaam Jana jioni nimesikia kisa cha kushangaza sana. Wakati nikiwa kwenye simu naongea na aunt, mtoto wa form one (mtoto wa aunt) alirudi analia. Kumuliza analia nini? Akajibu shuleni wameshikishwa pedi chafu Kisa kenyewe ni hiki kilichotokea shule ya Rasesa Secondary School huko Rawia...
  6. A

    KERO Shule ya Sekondari Vituka (Dar) inatutoza Tsh. 30,000 kwa ajili ya Vyeti wakati hatuna madeni

    Mimi ni mkazi wa Mbezi ya Kimara nilihitimu Kidato cha Nne kwa kufanya mitihani ya PC (Private Candidate) Mwaka 2020, Kituo change cha Mitihani kilikuwa Shule ya Sekondari Vituka, ipo Wilaya ya Temeke Mtaa wa Buza. Kutokana na changamoto za kimaisha nikachelewa kwenda kuchukua cheti cha...
  7. Video: Hautaki Shule Eeenh!

    Shuwaiin....
  8. Kwanini watoto wa viongozi wa umma hawasomi shule za umma?

    Watoto na wajukuu wa viongozi wakuu wa umma (Rais, Marais wastaafu, mawaziri, wakuu wa mikoa na wilaya, wabunge, wakurugenzi wa wilaya, wakuu wa mashirika ya umma, wakuu wa chama tawala, nk) hawako kwenye shule za umma wanazozijenga na kuziongoza kwanini? Ni watoto na wajukuu wa wakulima...
  9. Kazi kama Ufundi Selemara, Uashi sio za watu ambao hawajaenda shule kama tunavyo amini

    Bongo kuna Kasumba na iko hivyo kwamba kazi za Ufundu Mbao au Uwashi ni za watu ambao hawakubahatika kwenda shule. Na hata wao wenyewe wanaamini hivyo na hawataki watoto wao waje kurithi hizo kazi.Ingawa ni kazi ambazo jamii inazihitaji sana almost kila siku. Hizi ni mindset za kijinga sana...
  10. SoC04 Mabadiliko yenye tija katika shule za msingi na sekondari

    Tanzania ni moja kati ya nchi zinazopiga hatua katika maendeleo kwenye nyanja mbalimbali barani Afrika. Ni nchi iliyojaliwa raslimali nyingi kama madini, maji, misitu, mbuga za Wanyama na watu kama kiungo katika kuleta maendeleo. Licha ya hayo, bado kasi yake hairidhishi ikilinganishwa na...
  11. Waislamu mliofanikiwa kwa Elimu ya Shule za Mission badala ya Madrasa kuweni na Shukrani kwa Wakristo waliowafikisha hapo mlipo

    Wanabodi, Watanzania wote waliosoma enzi za mkoloni mpaka tunapata uhuru, tumekuwa na elimu ya aina 3. Shule za serikali, Government Schools, Shule za Mission, na elimu ya madras kwa ndugu zetu Waislamu. Shule za serikali zilikuwa chache na zilichukua wanafunzi wachache tena vichwa kweli...
  12. Waandaaji wa mitaala shule za msingi na sekondari mlikosea

    Shule za msingi enzi zetu kuna topic moja kwenye hesabu ilikuwa inaitwa hesabu za vizio au binary notation kwa kizungu. Kuna kizio cha pili na hata cha tano lakini nataka leo niongelee kizito cha pili Kizio cha pili ni mfumo wa namba ambao ni namba zinazo anzia sifuri (0) hadi moja (1) Topic...
  13. Asilimia 90 ya Watanzania hatujaenda shule

    Habari zenu waungwana, binafsi leo nimeumia sana baada ya kugundua licha ya kuspend miaka mingi kuitafuta elimu kwenye hizi shule zetu za serikali, leo ndio nimegundua kumbe Mimi sikwenda shule bali niliudhuria kwenye hivi vituo vya kukuzia watoto vinavyomilikiwa na serikali Kwa ufupi ni kwamba...
  14. I

    DOKEZO Wizara ya elimu fuatilieni shule binafsi za msingi zinazokiuka maagizo ya Serikali

    Tunatambua umuhimu wa wanafunzi wa darasa la 4 na darasa la 7 kusoma na kujiandaa kwa ajili ya mitihani yao ya kitaifa baadae mwaka huu. Lakini imekuwa ni kawaida kwa shule za binafsi kukiuka utaratibu wa mapumziko(likizo)pindi shule zinapofungwa kwa kulazimisha wanafunzi kupumzika Kwa wiki moja...
  15. Nimekubali elimu ya shule haina maana mtaani

    Haya naombeni ushauri wenu, mimi kama mhitimu nawezaje kuanza kuukabili mtaa ili nipate ata kashughuli kangu binafsi. Nimezungusha barua na CV mpaka kwenye vituo vya kulelea yatima lakini ngoma ngumu bado. SO WHAT WE GONNA DO
  16. Shule ilitupotezea muda ndomana tunateseka

    Kila nikikumbuka nilivyokuwa napambana kusoma shuleni ilihali nije kuishi Maisha mazuri baadae naumia sana Kweli nimeamini shule ilinipoteza muda mno
  17. Hivi kuna watoto waliosomeshwa shule za kulipia na ni jobless?

    Hivi kuna watoto waliosomeshwa shule za kulipia na ni jobless maana hii inafikirisha? Iwe shule ya msingi ama sekondari au hata chuo na bado akawa jobless hii inawezekana? Na kama ni ndio tatizo linakuwa nini? Mzazi kutojitambua ama nini? Au anafanya gambling kwenye mafanikio ya mwanae? Au...
  18. K

    Naomba kufahamishwa jinsi ya kufika Chanika kutokea Mbezi Beach usafiri wa daladala

    Habari wakuu, Naomba kujuzwa kwa mtu aliye Mbezi Beach shule anafikaje Chanika mwisho kwa usafiri wa daladala . Option ya Bolt inaleta mpunga mrefu kidogo 52k
  19. R

    SoC04 Shule za ufundi Tanzania ziongezwe na Elimu ya ufundi ipewe kipaumbele

    Shule za ufundi au technical schools ziongezwe ili kuweza kuwajengea wanafunzi ujuzi na uwezo katoka nyanja mbalimbali ikiwemo baadhi ya ujuzi wa veta kuingizwa katika mitaala ya elimu ya sekondari hii itasaidia kukua kukuza ujuzi wa vijana wamalizao kidato cha nne na kuleta chachu ya...
  20. L

    Hivi elimu na shule za Tanzania zimekumbwa na nini?

    Kuna rafiki yangu ana mtoto anasoma shule moja ya private yuko kidato cha tatu. Shule yenyewe ni boarding hivyo mtoto ameanza kusoma pale toka kidato cha kwanza na sasa yuko kidato cha tatu. Sasa jambo la kushangaza ni kwamba walimwita mzazi katika likizo hii na kumwambia kuwa mtoto wake siku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…