Rogatus Njegite
New Member
- Jun 10, 2024
- 1
- 1
Shule za ufundi au technical schools ziongezwe ili kuweza kuwajengea wanafunzi ujuzi na uwezo katoka nyanja mbalimbali ikiwemo baadhi ya ujuzi wa veta kuingizwa katika mitaala ya elimu ya sekondari hii itasaidia kukua kukuza ujuzi wa vijana wamalizao kidato cha nne na kuleta chachu ya kujitegemea kutokana na ujuzi wanaoupata mara baada ya kumaliza elimu ya sekondari.
Lakini pia itasaidia kukuza kwa uwajibikaji mzuri kwa wale watakao fanikiwa kuendelea na ngazi za juu za masomo waliohitimu. Shule za ufundi ni chachu Bora katika kukuza sayansi na teknolojia katika taifa letu