shule

  1. Vijiwe vya mafundi bodaboda vimejaa watoto ambao unaona kabisa ni umri wa kuwa shule; inakuwaje jiji letu linaridhika na mambo ya ajabu kama haya?

    Nimekodi bodaboda kutoka maeneo fulani ya jiji hili, lakini tulipokuwa safarini dereva wangu alitambua kuwa tairi moja la bodaboda limepungua upepo. Kwa hiyo, tulilazimika kujongea hadi kwa fundi ili kulitatua tatizo hilo. Tulipofika, kilichonivutia zaidi si fundi mwenyewe bali kijana mdogo...
  2. Mwanafunzi wa shule za kata aliyeingia kwa wastani wa "C" kidato cha kwanza anaweza kuhamishiwa shule za bweni kitaifa?

    Kuna watu wanajeuri sijui ya fedha? Mtoto wake mwaka jana alifaulu kwa wastani wa "C" kapelekwa shule ya kata kama wanafunzi wengine wote. Pamoja na kwamba hizi shule za kata kuna wanafunzi waliingia kwa wastani wa "A". Sasa huyu jamaa anamuhamishia kidato cha pili shule za bweni kitaifa...
  3. DC Mufindi: Tutafanya msako wa nyumba kwa nyumba ili Wanafunzi waende shule

    “Natoa wiki moja kuanzia tarehe 13 Januari 2025 Wazazi na walezi hakikisheni wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na masomo katika Wilaya ya Mufindi wanaenda Shuleni, tarehe 20Januari, siku ya Jumatatu tutafanya msako nyumba kwa nyumba, lengo ni kuhakikisha Ndoto za Mheshimiwa Rais zinatimia...
  4. Je, Waafrika Tuna Akili ya Kutumia Utajiri Wetu?

    Kwa karne nyingi, Afrika imekuwa ikijulikana kama bara tajiri kwa rasilimali zake za asili. Tunapenda kujigamba kuwa tuna dhahabu, almasi, mafuta, gesi, ardhi yenye rutuba, na madini adimu. Lakini ukitazama takwimu za rasilimali duniani, hali ni tofauti. Marekani, Ujerumani, Ufaransa, Italia, na...
  5. Shule zimefunguliwa Leo: Viti special Kwa waliomaliza kulipa ADA za shule

    Karibuni!
  6. D

    Kwa nini shule zinafungwa na kufunguliwa siku moja kwa nchi nzima?

    Shule zetu zinafungwa na kufunguliwa siku moja nchi nzima. Inawezekana wazo hili lina nia njema na manufaa. Hata hivyo, naona utaratibu huu una changamoto ambazo zina athari kubwa mno kwa wanafunzi na wazazi. Baadhi yake ni changamoto ya usafiri, malazi na chakula safarini. Vyombo vya usafiri...
  7. Mtoto wa miaka sita anagoma kwenda shule. Nini kifanyike?

    Ni wakiume Kazaliwa 2019 alipotimia miaka 4 nikampeleka nusary ile siku ya kwanza alivyoingia darasani akalia sana Nikamrudisha abaki hom nikijua bado mdogo Mwaka wa pili nikampeleka tena shule za serikali yaan chekechea navyo ni hivyo hivyo ni kulia mwanzo mwisho Walimu wakajua tunamdekeza...
  8. F

    Ni akili ama matope ? Unasomesha mtoto shule za ada kubwa anaishia kuwa Winga , sababu wewe mzazi huna kampuni wala biashara yoyote ya kumrithisha

    Nimekutana na Winga karikoo anatema ung'eng'e umenyooka. Baada ya kuzoeana nae. Akanipatia CV yake nimsaidie kusaka kazi. Kucheki CV ya winga huyo wa karikoo naona primary kasoma St marys, O level kasoma Shaban robert, A level kasoma Feza. Chuo pekee ndio kasoma chuo cha kayumba Udsm...
  9. G

    Shule ya Maandamano ipo Mbeya, Haya ni maandamano yaliyowahi kutikisa vyombo vya ulinzi mpaka wakuu wa mikoa kukimbia.

    2011 kulikuwa na Maandamano ya Machinga, Askari wa FFU baadhi waliuawa na mabomu ya machozi yaliisha, Muda huo Kikwete yupo njiani kuelekea Mbeya, Ilibidi watumwe JWTZ kutuliza hali (hakukuwa na majibishano yoyote na JWTZ) Kwenye maandamano mengine ya Machinga, hali ilikuwa mbaya, Mkuu wa mkoa...
  10. DOKEZO Responded Mmomonyoko wa maadili shule ya Baobab, Mamlaka ziko kimya

    Kuna video zilisambaa zikionyesha mabinti wa Baobab secondary wakifanya video za uchi na vitendo vya usagaji. Hii shule inamilikiwa na nani? Uongozi wa shule ya Baobab haujaomba radhi wala kukemea huu upuuzi, kwa maana utajirudia tena hapo shuleni na una baraka za uongozi. Haya yamevuja...
  11. L

    Shule ya msingi Mseta ipangiwe matumizi mengine baada ya kufungwa tokea mwaka 2012 kwa kukosa wanafunzi

    Shule ya Msingi Mseta iliyopo wilaya ya Rombo Kata ya Kirwa Keni Kijiji cha Kirwa Imefungwa toka mwaka 2012 kwa kukosa wanafunzi, Shule hii ipo katika Mazingira mazuri na ina majengo ya fedha za Serikali mazuri na yanayofaa kutumika. Mimi kama mdau nimeona kama Shule ilifungwa kwa tatizo la...
  12. Rais Samia akifungua Shule ya Sekondari Bumbwini Misufini Zanzibar Januari 8, 2025

    Siku ya leo Januari 8, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefungua Skuli ya Sekondari Misufini, Bumbwini Zanzibar tarehe 08 Januari, 2025 wakati wa shamrashamra za kuelekea miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Katika hotuba yake Rais Samia aligusia...
  13. G

    Sioni haja ya kusomesha watoto boarding kama kuna shule nzuri za Day maeneo tunayoishi na mzazi / mlezi una muda wa kumfuatilia mtoto

    Kwanza kabisa kama ulisoma boarding, ni kipi ulichomzidi mwenzako aliesoma day na mkafaulu wote mpaka mkahitimu chuo ? Kwa hali ya sasa kuna maeneo yana shule kibao za day na zinafaulisha, Je tuendelee na ule utaratibu wa kupeleka watoto boarding kama zamani ? Binafsi nakumbuka nilisoma...
  14. Serikali itukumbuke Shule Kijiji cha Kakulungu (Tabora), hatuna shule ya Msingi wala Sekondari

    Ndugu zangu wana JF, mimi huwa najiuliza ni vigezo gani vilitumika kuipa hadhi ya Manispaa hii Wilaya ya Tabora maana ni aibu kuona kuna manispaa ambayo ina vijiji havina shule za msingi kama hapa kwetu Kakulungu. Kijiji chetu kipo Kata ya Uyui, Manispaa na Mkoa wa Tabora, kilianzishwa Mwaka...
  15. Kusoma shule za gharama kuna faida nyingi sana kuliko hasara

    Wakuu habari. Nimekuwa nafatilia Sana kuhusu mada mbali mbali kuhusu mtoto kusoma shule za kata au kayumba na kumsomesha shule za gharama Private. Kwa kuanza nitatoa mifano mifano kadhaa kuhusu Mimi binafsi. Mimi nilipata bahati ya kusoma shule za gharama kubwa kuanzia kidato cha kwanza...
  16. G

    Division 1 ya point saba imepoteza hadhi, Shule kama Saint Francis wanafunzi "wote" wamenyoosha, nashauri kuanzishwe division 1 ya 6 na 1 ya 5

    Hii imekuwa too much sasa, hawa mabinti wa saint francis wanaifedhehesha Necta 😂 Division 1 ya saba kwao imekuwa kama kumpa samaka mtihani wa kuogelea, kila mwanafunzi anaibonda !! Shule imesha master mbinu ya kuwafanya wanafunzi wote wapate division 1 ya saba. Nashauri kuongezwe division za...
  17. Nilichogondua ni muhimu mzazi kuwa na Elimu ya sikolojia na malezi, watoto wengi wanaharibikia katika shule .

    Wakuu . Ukiachana na kuwa Tanzania Elimu yetu imekaa kimkakati Sana. Ila bado watoto wetu wanaharibikia mshuleni huko. Hapa nitatoa hints kadhaa kuhusu hili swala. Nina ndugu yangu yeye Ana watoto watano wakike wanne na wakiume mmoja. Watoto wake amekuwa akiwasomesha shule za boarding muda...
  18. Huduma ya Unlimited Internet kwa shule na vituo vya afya vya Serikali

    TANGAZO TANGAZO HlHabari njema kwa vituo vya afya au shule za serikali Kuna huduma ya internet kutoka Vodacom, unachagua package mnawezeshewa. Huduma hii kuwezeshewa ni bure kabisa. Vigezo ✅Tin namba ya shule/kituo cha afya cha serikali ✅Kitambulisho cha muwakilishi anaefuatilia ✅ Barua ya...
  19. Likizo hii watoto wako wanafanya nini? Je, unawafundisha ujuzi wa maisha ya kila siku tofauti na shule?

    Nikiwa nafanya manunuzi madukani, niliingia duka moja nikaulizia bidhaa niliyoitaka nikaambiwa ipo. Kijana niliyemkuta nje ana rangi kama yangu, akanitajia bei na akanitolea bidhaa niliyohitaji. Ilipofika muda wa malipo akanielekeza dirishani nikalipie. Kufika hapo dirishani nikakuta mvulana...
  20. Ruvuma: Ajali yaua Watu 6 wakiwemo Walimu 4 wa Shule moja

    Watu sita wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wanasafiria kutoka kijiji cha Lumalu kata ya Upolo - Kilosa wilayani Nyasa kuanguka katika mteremko wa Chunya wilayani Mbinga mkoani Ruvuma. Waliofariki kati yao ni walimu wanne wa shule ya msingi Lumalu ya mkoani humo, Mfamasia mmoja na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…