shule

  1. M

    JamiiForums Tanzania Suala la kufunga shule kupisha ugeni lilitakiwa kupangwa mapema

    Mimi huwa nalia na watendaji na washauri wa mamlaka za juu. Imagine ziara ya Marais kuja mkutanoni Tz ilifahamika miezi kadhaa nyuma. Halafu taarifa ya kufunga shule na vyuo Jijini Dar imetolewa Usiku huu. Kiutaratibu taarifa inatolewa na serikali then taasisi, shule na vyuo husika ndipo nao...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Serikali yaelekeza Wanafunzi pia wasomee nyumbani kwa Januari 27 na 28, 2025

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema wanafunzi wa shule na vyuo pia wanatakiwa kusomea nyumbani kesho tarehe 27 na keshokutwa 28, Januari 2025, kutokana na kufungwa kwa barabara nyingi za jiji la Dar es Salaam...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Leo nimeona clip ya Rah-P akiwa anarap wakati yupo shule ya sekondari. Sijui huyu dada mkubwa yuko wapi siku hizi

    https://youtu.be/Jit7E9k0K4E?si=_F1oaYEynokgjKYq Mind you, hapo kama nitakuwa sawa sawa basi ni late 90s au early 2000s. Sijui hii ni shule gani ila inaonekana kabisa sio LIKUD seko. Hata unajiuliza hao wenzake waliokuwa wana m-hype sasa hivi wako wapi, maisha yao, familia zao, kazi zao, etc...
  4. L

    JamiiForums Tanzania DOKEZO KERO Kero: Madarasa katika Shule Teule ya Sekondari Kigoma Ujiji yanavuja, ni kero kubwa kwa Walimu na Wanafunzi

    Naomba kuwasilisha kero kwa Mamlaka zinazohusika kwani madarasa ya Shule ya Sekondari Teule ya Kigoma Ujiji katika Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji yanavuja jambo linalowapa shida Wanafunzi. Wakati mvua zinaponyesha kunakosekana utulivu wa kusoma kwakuwa kila mahali panakuwa panavuja...
  5. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Serikali ipambane kuondoa matabaka kwenye shule zake. Kibaha iwe sawa na Oljoro

    Nichukue nafasi hii kumpongeza ndugu LIKUD kwa jitihada zake za kuziheshimisha shule za serikali ingawa sio kwa njia nzuri sana inayokubalika. Kuziinua St Kayumba kwa kuziponda EMs sio namna sahihi kwa sababu hata EMs ni za watanzania kwa ajili ya watanzania. Kwa pamoja EMs na Kayumba ziko kwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kuna shule za serikali zinaperform vizuri sana, hebu cheki hii

    Hello JF, Hi shule ya government, wamefanya vizuri sana na huwa wanafanya vizuri Sana Imagine mwanao amepangiwa shule hii
  7. W

    JamiiForums Tanzania Shule hizi kwa Dar zina hali mbaya sana, kama una mtoto au ndugu anza mipango ya kumuhamisha, heri aende mkoani

    '
  8. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Pamoja na ufaulu kupanda, shule za kata Dar hali ni mbaya, Division Zero ni nyingi sana, Afisa Elimu aondolewe

    matokeo ya form four kwa mwaka 2024 yametangazwa leo. Kwa mujibu wa baraza la mitihani, ufaulu umepanda kwa asilimia tatu. Ila huku kwenye shule za kata hali mbaya. Unakuta nusu ya wanafunzi wamefeli vibaya mno katika shule husika. Mfano shule kama Kitunda hali ni mbaya, wanafunzi 249...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Jokate apongeza matokeo kidato cha nne shule iliyopewa jina

    Katibu Mkuu wa UVCCM, Jokate Mwegelo amewapongeza Wanafunzi, Walimu na Uongozi mzima wa Wilaya ya Kisarawe Mkoani Pwani ikiwa ni sehemu ya furaha ya kuona Shule ya sekondari ya Wasichana iliyopewa jina lake Jokate Mwegelo Girls, imepata ufaulu mkubwa katika matokeo ya kidato cha nne ambapo...
  10. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Serikali ipige marufuku shule za dini au izitaifishe?

    Kufuatia matokea ya kidato cha nne, form four 2024 yaliyotangazwa 23/1/2025 inaonyesha shule za dini zinafanya vizuri sana, lakini uki-ingia ndani zaidi unakuta ni dini fulani huku zini zingine zikiachwa nje . Je, ni wakati muafaka kwa SERIKALI KUTAIFISHA SHULE ZA DINI hasa zile dini za Ulaya...
  11. U

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto utoaji huduma Safi Shule ya Makabe

    Hii shule ya Safi (Safi School) iliyopo makabe imekua shule ya hovyo sana kwa sasa kwenye utoaji huduma. Kwanza nikiri kilichonisukuma kuleta huu uzi ni upuuzi wao waliotufanyia wazazi hii January kutopokea watoto ambao hawajalipa ada yote. Hapa ndio wametukera wazazi, hivi kweli mzazi unalipa...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kuna shule za English medium za serikali

    Habari zenu ndugu zangu naomba kuuliza hivi Kuna shule za English medium za serikali? Hapa Tanzania kama zipo mnaweza kuzitaja jina na mikoa zilipo
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Jamanii Shule ya Msingi Sinza ni chakavu, madarasa yamebomoka na Ofisi ya Walimu nayo imebomoka

    Nimefika Shule ya Msingi Sinza iliyopo Sinza, Dar es Salaam, kwa ajili ya kumuandikisha Mtoto wa Dada yangu ili kuanza masomo ya Darasa la Kwanza, lakini nasikitika kusema nilichokutana nacho ni huzuni kubwa kama sio mshangao, hali hiyo imenifanya nibadili uamuzi na kuamua kumpeleka kwenye Shule...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Wamiliki shule za EMs waumizwa na mtaala Mpya. Wazazi wengi sasa wanawatoa watoto Wao shule za EMs kiwarejesha Kayumba

    Hakuna watu walio athiriwa na mtaala Mpya wa Elimu Tanzania kama wamiliki wa shule za EMs . Kwa sababu ya mtaala huo hata wale wazazi walio kuwa vichwa ngumu kuwatoa watoto Wao Ems kuwarejesha Kayumba Sasa wameanza kufanya hivyo Kwa kasi ya ajabu. Jijini Dar es salaam pekee Kuna mafuriko ya...
  15. Arafati Kilongola

    JamiiForums Tanzania Tuwalee vijana kwa uzalendo: Wazo la kuanzisha klabu za uzalendo katika shule za Sekondari

    Ndugu wanajamii, Kama kijana mwenye mapenzi makubwa kwa taifa langu, nimebuni wazo la kuanzisha Klabu ya Uzalendo Mashuleni. Lengo kuu ni kuwajengea wanafunzi maadili, uzalendo, na dhamira ya kuchangia maendeleo ya taifa letu. Klabu hiii zinalenga: 1. Kukuza uzalendo kupitia elimu ya...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Serikali imsaidie binti huyu alie katika hatihati ya kuacha masomo ya Chuo kikuu Kwa sababu ya kuponzwa na Shule za private

    Kazaliwa 2003. Chekechea na Primary: Shule ya English Medium... O- level : Private Advance : Private. Kafika chuo kanyimwa bumu( boom) Hajawa allocated. Heslb wana mzungusha tu . Wanasema kanyimwa mkopo Kwa sababu Heslb wali estimate kwamba mzazi wake ana uwezo WA kumlipia ada ya Chuo...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ushahidi wa Kesi ya Mwalimu wa Green Acres, Saleh Ayoub anayetuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi wake kuanza kutolewa Februari 6, 2025

    Mashahidi upande wa Jamhuri katika Kesi Namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39) Mkazi wa Salasala Jijini Dar es Salaam, Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi - Africana anayedaiwa kumlawiti Mwanafunzi wake wanatarajiwa kuanza kutoa ushahidi Februari 6, 2025. Kesi hiyo...
  18. milele amina

    JamiiForums Tanzania Ninashauri Barabara ya Lami iwekwe kuelekea eneo lililojengwa shule hii! Ni aibu kubwa sana

    Picha nimeweka hapa!
  19. P

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mwalimu wa English language., Shule IPO wilaya ya chemba mkoa wa dodoma (Kijijini sana) ila umeme na maji vipo. ..Pia shule ni ya serikali

    Anahitajika mwalimu wa English language, shule ni ya serikali IPO mkoa wa dodoma wilaya ya chemba (Kijijini sana ila umeme na maji vipo) Ambaye yupo siriazii anicheki...posho IPO sio sawa na kukaa buree 0695252896
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DC Meatu: TAKUKURU inachunguza tuhuma za Watumishi waliochukua fedha za michango ya Wananchi kujenga Shule

    Baada ya Mdau wa Kata ya Kabondo Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu kuomba Serikali kupitia kwa Rais Samia Suluhu Hassan na Waziri wa TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa kufuatilia madai ya ‘upigaji’ wa fedha za Wananchi uliotokea katika Kata hiyo, suala hilo limetolewa ufafanuzi. Kusoma zaidi hoja hiyo...
Back
Top Bottom