shule

  1. RC Chongolo awaambia Wakazi wa Mbozi "Msitumikishe Watoto kwa kazi za shamba, wapelekeni Shule"

    Mkuu wa Mkoa huo, Daniel Chongolo amewataka Wakazi wa Wilaya ya Mbozi kuacha tabia ya kuwatumikisha Watoto katika kazi za shamba badala yake wawapeleke Shule ili wapate elimu itakakayowasaidia kujiandaa na ushindani wa soko la ajira. RC Chongolo amejulishwa kuwa Wilaya hiyo ina wastani wa...
  2. M

    Mshahara laki 8 ili upate maendeleo inatakiwa watoto wasome shule za serikali. Tazama huyu baba anavyoteseka

    kama huna njia nyingne za kujipatia pesa hata ujifunge mkanda hutakaa hujenge had watoto wamalize shule
  3. Kampuni ya Barick imeshindwa kulipa Wakandarasi, wazabuni na mafundi walitekeleza miradi ya ujenzi wa Madarasa, Mabweni na Vyoo katika shule t nchini

    Mnamo mwezi wa nne mwaka 2024, Kampuni ya kuchimba madini ya Barick walitoa barua kupitia wizara ya TAMISEMI kuwataarifu juu ya kufadhili ujenzi wa madarasa, mabweni na vyoo katika shule mbalimbali nchini. Serikali kupitia kwa wakuu wa shule na wakurugenzi wa halmashauli zote zilizopokea barua...
  4. Kwa matokeo haya naweza kwenda advance kwenye shule za serekali na kwa kozi gani?

    Habari zenu wapendwa mimi nimemaliza form four mwaka wa jana matokeo yametoka mwaka huu sasa nilikuwa na omba kuuliza kwa matokeo haya naweza kuchaguliwa kidato cha tano katika shule za serikali na kama ndio kwa combination gani ? matokeo yenyewe ni MATHEMATICS (C) , CHEMISTRY (C) , BIOLOGY (C)...
  5. TAKUKURU Singida yabaini madudu miradi ya ujenzi wa Shule Singida, Kodi ya Zuio kutopelekwa TRA

    TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Singida imebaini madudu katika miradi inayotekelezwa katika halmashauri za mkoani hapa ambapo Kodi ya Zuio (Kodi ya Huduma) imekuwa ikikatwa lakini haiwasirishwi katika Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Mkuu wa TAKUKURU - Singida...
  6. Shule gani nzuri ya kiislamu? nataka kumpeleka mwanangu

    Naomba ufafanuzi ni shule gani yenye ufaulu mzuri kwa ngazi ya O level naweza mpeleka mwanangu? Nisaidieni hapa wadau
  7. Hii helicopter mpya ya Iran mbona ni kama imeundwa na mtoto wa shule ya msingi kwa kutumia mabox

    Naona wana maono ya uhakika kabisa kuivamia washington na tel aviv na mabox, hongera sanaa kwao.
  8. Kwa muda mrefu sasa Naota sana kurudishwa kurudi shule, kama leo nimeota nachapwa parade

    Kiuhalisia maisha yangu yamegubikwa na kutopiga hatua ya maana, ukataa wa muda mrefu na kunung'unika sanaa kutokana na shughuli za kimaendeleo kutolipa. Nikianzisha kitu huwa hakitimii kwa matunda mazuri ingawa Mungu kanjalia ubunifu. Nimesikia mengi kuhusu hzi ndoto,. Je zina maana yoyote ile...
  9. Natafuta coster 17 za kukodi kwa ajili ya shule mkataba mwaka mmoja

    Habari. Tunatafuta gari aina ya coaster ziwe gari 17 pamoja na hiace moja kwa ajili ya kuwachukua wanafunzi shuleni na kuwarudisha nyumbani. Hivyo basi tunahitaji kampuni moja yenye kuweza kumanage huu mkataba ambayo itakuwa na uwezo wa kuwa na gari zote hizo 17 na hiace 1. Mkataba ni mwaka...
  10. D

    Shule za wanaume/wanawake pekee. Lengo ni nini?? Does anybody know??

    Eti wadau kuna baadhi ya shule zipo kwa ajili ya wanaume pekee au wanawake pekee. Lengo ni nini??
  11. Jimboni Manonga, Shule ya Sekondari Tambalale Yakamilika kwa Shilingi Milioni 800

    PONGEZI KWA MHE. SEIF KHAMIS GULAMALI, MBUNGE WA JIMBO LA MANONGA KWA UTEKELEZAJI WA MRADI WA SHULE YA SEKONDARI YA TAMBALALE MILIONI 800 Pongezi kwa Mhe. Seif Khamis Gulamali, Mbunge wa Jimbo la Manonga, kwa juhudi zake katika utekelezaji wa Mradi wa Shule ya Sekondari ya Tambalale, ambao...
  12. Kondoa, Dodoma: Ujenzi wa shule ya sekondari iliyogharimu milioni 544, wanafunzi wapya watakiwa kufanya vizuri kwa kupata daraja la kwanza

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma, Shaban Millao amewataka wanafunzi wa shule mpya ya Mnenia Sekondari kufanya vizuri kwenye mitihani yao na kuhakikisha kwamba wanapata Daraja la Kwanza (Division One) wote kwani wao ndio wanafunzi wa kwanza hivyo wanapaswa...
  13. Hizi kesi za Mwanamke anataka mtoto asome shule ya gharama ilihali mwanaume hana uwezo, Je na nyie watu wazima wenzangu huwa zinawafikia?

    Habari za wakati huu ndugu wana Jamiiforums, Nimepokea kesi nyingi sana kutoka kwa vijana wakiume january hii, wengi wao malalamiko yako ni kuwa Wanawake/wake wanaoishi nao wanataka watoto wakasome shule za gharama (wengi ada ni 2.5M+), ilihali wao uwezo wao kiuchumi ni wastani na wakijikamua...
  14. Shule binafsi hazina msaada kwenye badiliko ya Elimu kama mazingira ni haya.

    Katika kasi ya mabadiliko ya mtaala niliona shule binafsi kama chachu kwa sababu ya uwezo wa kuweka miundo mbinu kwa ajili ya kuisaidia serikali ila kwa mazingira haya naona giza. Siandike kuweka data ila kwa uzoefu wa miaka minne ni udhibitisho tosha. Unanyanyasaji wa walimu, baadhi ya shule...
  15. K

    Tukumbushane Vitabu vya shule Darasa la kwanza,la pili,1977

    Huyu ni Baba,Baba ana Ng'ombe, Ng'ombe wake ni Mweusi! Baba anasema, kimbia ng'ombe,kimbia upesi. Baba ana Njaa. Bado vipo wakuu?
  16. Utamsikia mgeni anasema: "Yani mjomba, sisi wakati wa Nyerere tulikuwa tunatembea kwenda shule usawa wa Kariakoo hadi Kibaha. Nyie vijana namna gani."

  17. Wazazi walalamikia walimu Ilala, kisa chakula cha shule

    BAADHI ya wazazi katika Kata ya Kivule, Ilala - Dar es Salaam wametupia lawama Shule ya Msingi Anex, Serengeti na Kivule kwa madai ya kuwatenga, kuwanyanyapaa wanafunzi ambao wazazi wao wameshindwa kuchangia shilingi 1,500 ya gharama ya chakula na masomo ya ziada katika shule hizo. Wakizungumza...
  18. What is so special kuhusu kurudisha watoto kayumba hadi mje kudiss shule za English Elementary humu? Mtutajie basi na matumizi mengine mnayobana

    Ndio, tunataka kujua kama mmeamua kuacha kwenda bar kwa maana chupa 2 mbili tu kwa kila siku 364 za mwaka mzima sio chini ya 500,000 kwa mwaka. Ndio, tunataka kujua kama mmeamua kuacha kuchukua wale mademu wa Telegram kwa maana demu mmoja tuseme 30,000 mara tatu kwa mwezi ni sawa na 90,000 kwa...
  19. B

    Ukata wazidi kuwapiga wazazi wanaosomesha shule za EMs. Nilichokiona madhahahuni jana kimenistua sana

    Ni kwenye madhabahu moja maarufu na kubwa Sana jijini Dar es salaam. Apostle akasema " Kama Wewe ni mzazi unasomesha shule ya Ems na mpaka Sasa mtoto wako bado yupo nyumbani Kwa sababu una daiwa ada simama kwa miguu yako miwili sogea mbele nikuombee" Maelfu ya masikini na mafukara wakasimama...
  20. M

    Suala la kufunga shule kupisha ugeni lilitakiwa kupangwa mapema

    Mimi huwa nalia na watendaji na washauri wa mamlaka za juu. Imagine ziara ya Marais kuja mkutanoni Tz ilifahamika miezi kadhaa nyuma. Halafu taarifa ya kufunga shule na vyuo Jijini Dar imetolewa Usiku huu. Kiutaratibu taarifa inatolewa na serikali then taasisi, shule na vyuo husika ndipo nao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…