shule ya msingi

  1. JamiiForums Tanzania Elimu ya shule ya msingi ndio imeleta matokeo makubwa kwa watanzania wengi kujiajiri

    Nimekuletea kitabu hichi Cha darasa la saba utakubaliana na mimi shughuli nyingi zinazofanywa na watanzania wengi kwa sasa Napendekeza somo hili lingeanza kufundishwa wanafunzi wa secondary ingeleta tija sana
  2. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Hali ilivyo Shule ya Msingi Kamama (Tabora) inasikitisha, vyoo ni chakavu na vichafu, madarasa ndio usiseme

    Juzi kati nilikuwa Tabora, Kata ya Goweko, Kijiji cha Kamama niliendea kumtembelea ndugu yangu wa karibu pande za Uyui mkoani hapo, kuna kitu ambacho nilikiona na nikajiambia hii sasa ni hatari. Nimekuta Wanafunzi na shule nzima ya Msingi Kamama iliyopo Wilayani hapo ina changamoto nyingi...
  3. JamiiForums Tanzania Darasa kwenye Shule ya Msingi Tella limeporomoka kutokana na uchakavu, masomo yanaende, viongozi wameitelekeza

    Moja ya darasa la Shule ya Msingi Tella iliyopo katika Wilaya ya Hai hapa Mkoani kwetu Kilimanjaro limeporomoka kutokana na uchakavu wa majengo hayo ya shule lakini hakuna msaada tunaoupata kutoka kwa Viongozi wetu. Wanafunzi wapo Shuleni wanaendelea na masomo kama kawaida huku tukiwa hatuna...
  4. JamiiForums Tanzania Madai ya Wanafunzi kusomea chini ya mti Shule ya Msingi Kwembe (Dar), Serikali yasema walikuwa katika programu maalumu

    KUKANUSHA TAARIFA YA KUKAMATWA KWA MWANDISHI DICKSON NG'HILY NA MKUU WA WILAYA YA UBUNGO Kumekuwa na taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu Mkuu wa Wilaya ya Ubungo kumkamata mwandishi wa habari ambaye pia ni Mhariri wa biashara na Mkuu wa Kitengo cha Mtandaoni (digital) Ndugu...
  5. JamiiForums Tanzania THRDC yakemea Mwandishi wa Habari kukamatwa kwa kupiga picha Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kwembe wakisoma chini ya mti

    Baada ya andiko la Mwandishi wa Habari wa The Guardian kudaiwa kushambuliwa na Walimu, THRDC imetoa tamko, kusoma ilivyokuwa bofya hapa ~ Mwandishi wa Habari wa The Guardian anadai amepigwa na Walimu baada ya kupiga picha Wanafunzi wakisoma chini ya miti. TAARIFA YA KUKAMATWA KWA MWANDISHI...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ilala Boma Shule ya msingi 1987 tukutane hapa

    Naam nawasalimu wahenga wenzangu tuliomaliza elimu ya msingi mwaka 1987 Ilala Boma hapa DSM. Karibuni tukumbushane enzi zile za mwalimu Mkuu Lutambi (Kamchape), mzee Mangosongo, mwalimu Mang'enya, mwalimu Sanga na wengineo. Tumeshakula chumvi nyingi sasa!
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Shule ya Msingi Kitonga (Dar) ina Wanafunzi 4,000, Walimu 14, Madarasa 13

    Shule ya Msingi Kitonga iliyopo kwenye Halmashauri ya Jiji Dar es Salaam (Ilala) iliyopo Kata ya Msongola, Kitonga ina Wanafunzi zaidi ya 4000 ambao wanatumia madarasa 13 huku wakitegemea Walimu 15. Utaratibu wa shule hiyo Wanafunzi wote uripoti asubuhi ambapo baadhi ya Wazazi wenye Watoto...
  8. JamiiForums Tanzania SoC04 Elimu ya shule ya msingi bure, tuition ya kulipia ya lazima kwa wanafunzi wote!

    Katika sekta ya elimu naipongeza serikali kwa uamuzi wa kutoa elimu bure kwa wanafunzi wote waliofikisha umri wa kuanza shule. Nawapongeza pia walimu katika utendaji kazi wao wa kutoa elimu kwa watoto wetu wote. Katika hili kuna changamoto kidogo ya matokeo katika mitihani ya shule mpaka...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Nilisoma shule ya msingi private day tunatoka saa saba na tulipasua freshi tu, siku hizi wanatoka jioni na kuhimiza boarding kuna kipi cha ziada?

    Hasa ukizingatia masomo ya shule ya msingi ni ya kawaida sana hayana mambo mengi, Sijaona ulazima wa kuwafanya watoto wadogo wasome utadhani wapo form 6. Watoto wanabaki mpaka jioni, Shule zinahimiza watoto wabaki boarding, elimu ya msingi ni ya kukamiwa kiasi hicho? Nakumbuka hapo zamani...
  10. JamiiForums Tanzania Wanaume huwa tunakuwa wababe vijiweni ila kwenye mapenzi na wanawake tunakuwa wa shule ya msingi kabisa.

    ■mara ooh amemkata kata hadi kumuua demu wake kisa ya kujua anatumika kwingine ■mara ooh amemuua kwa risasi mke wake na yeye kujiua kwa risasi. ■mara ooh hawala anakuja kudai sehemu ya urithi baada ya bwana kufariki. ■mara ooh amelawitiwa na baunsa kama wanne baada kufumaniwa na mke wa mtu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali ianzishe shule za msingi za kata nchini ili kuwa na nguvu kazi tosherezi ya walimu

    Serikali imekuwa ikiboresha miundombinu ya shule za msingi na sekondari hapa nchini Tanzania ikiwa ni pamoja na ujenzi wa shule mpya za msingi na sekondari katika maeneo mbalimbali ya Tanzania. Pamoja na jitihada hizo bado kumekuwa na changamoto kubwa katika utoaji wa vifaa tosherezi na ugawaji...
  12. M

    JamiiForums Tanzania KERO Kila mtoto anatakiwa aende na kiasi cha Tshs 1,500 (Shule ya Msingi Makabe)

    Tunafahamu juhudi za serikali katika kuhakikisha watoto wote wanaotoka katika familia duni wanapata elimu na ndio maana serikali ilisema marufuku michango ya aina yoyote katika shule za serikali. Hii imekua tofauti katika shule ya msingi Makabe ambapo kumeanzishwa mitihani ya kila weekend na...
  13. JamiiForums Tanzania Mpaka leo hii sijui kwanini mchezaji wa mpira nchini Tanzania analipwa sh milioni 5 halafu mwalimu wa shule ya Msingi analipwa sh. Laki 3

    Mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tanzania analipwa sh milioni 5 hadi kumi kwa mwezi na bado hizo zinaonekana eti ni ndogo. Ila mwalimu wa shule ya Msingi analipwa sh laki 3 kwa.mwezi ( hiyo inawezekana ikawa kubwa zaidi) Daktari analipwa sh laki 7 kwa mwezi . So katika taifa letu hili la...
  14. JamiiForums Tanzania DOKEZO/KERO: Tumechoshwa na Biashara ya Ngono Inayofanyika Katika Eneo la Shule maana Mabaki ya Kondomu Yanazagaa Uwanja Mzima Kirumba mwanza

    Mwanza. Ni jambo ambalo halikutarajiwa na wengi na isivyo bahati, uwe mgeni ama mwenyeji hapa mjini Mwanza ukipita pembezoni mwa mazingira ya shule za msingi Kitangiri A na C zilizopo pembezoni mwa uwanja wa CCM Kirumba kuanzia majira ya saa moja jioni utakutana na makundi ya wanawake wanaofanya...
  15. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe; Wakati unasoma shule ya msingi wanafunzi wenzio walikuwa wanakuita jina gani la utani?

    Tujikumbushe kidogo Wakati unasoma shule ya msingi wanafunzi wenzio walikuwa wanakuita jina gani la utani? na ulikuwa unalipenda au ulipendi
  16. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta shule ya msingi ya bweni ya binafsi inayotumia mtaala wa Kiswahili

    Naombeni msaada kwa anaefahamu shule ya msingi ya binafsi inayotumia Kiswahili. Nitafurahi nikioata mawasiliano ya shule husika. Natanguliza shukrani.
  17. JamiiForums Tanzania Polisi Mbeya wawapa mahitaji Wanafunzi wa Shule ya Msingi Lyoto

    Wanafunzi wa Shule ya Msingi Lyoto iliyopo Kata ya Ilemi Jijini Mbeya wamepatiwa mahitaji ya Shuleni na nyumbani kutoka kwa Polisi Kata ya Ilemi Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Elibariki Mambuye. Akizungumza mara baada ya kukabidhi mahitaji hayo Aprili 19, 2024 Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Elibariki...
  18. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Sikonge: Walimu na Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kiswahilini tunateseka kwa kukosa huduma muhimu

    Nina kero kadhaa kuhusu Shule ya Msingi Kiswahilini inayopatikana Wilaya ya Sikonge, Kata Igigwa, Kijiji cha Tumbili, Kitongoji cha Kiswahilini yenye Wanafunzi 300 ina changamoto kadhaa 1. Mbali na kuwa na Wanafunzi 300, shule hiyo ya Mkoani Tabora ina matundu ya vyoo mawili tu tena yenye...
  19. JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Wazazi (CCM) Siha Imeadhimisha Wiki ya Wazazi kwa Kupanda Miti 100 Shule ya Msingi Mendai

    JUMUIYA YA WAZAZI SIHA IMEADHIMISHA WIKI YA WAZAZI KWA KUPANDA MITI ZAIDI YA 100 SHULE YA MSINGI MENDAI Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro imeadhimisha wiki ya Wazazi Wilaya ya Siha kwa kupanda miti zaidi ya 100 katika shule ya msingi ya Serikali...
  20. JamiiForums Tanzania TANZIA Kwa masikitiko makubwa tunatangaza kifo cha ndugu yetu Mtanzania mwezetu Michael a.k.a Mike kilichotokea Afrika Kusini

    🇿🇦🇿🇦 MZEE BABA🇿🇦🇿🇦 Ndugu watanzania mabaharia watafutaji na wanaharakati....... Kwa masikitiko makubwa tunatangaza kifo cha ndugu yetu manzania mwezetu Michael aka Mike...... Mike Tanzania anatokea kinondoni...... Ndugu watanzania mike aliamisha makazi yake kutoka Tanzania na kuelekea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…