Nilipoteza kazi since mwaka jana nipo nyumbani hadi leo hii,
Kuna Ile siku unaamka huna hata shilingi mia yaan hii hii shilingi mia moja ya kitanzania🙌🙌
Nimepiga interview nyingi then after hapo no feedback
Kuna interview nyingine nilifanya nikaambiwa nitaitwa second interview,hii nilikuwa na...