shule ya msingi

  1. Roving Journalist

    Ofisi ya DED kuchunguza madai ya Walimu kukwepa majukumu ya kufundisha katika Shule ya Msingi Kishangazi (Tanga)

    TAARIFA KWA UMMA Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashuari ya Wilaya ya Lushoto imeona taarifa iliyotolewa katika Mtandao wa kijamii wa JamiiForums ikieleza kwamba katika Shule ya Msingi Kishangazi, iliyopo Kijiji cha Kishangazi, Kata ya Shagayu ni Mwalimu Mmoja tu ndiyo anafika shuleni...
  2. A

    KERO Shule ya Msingi Kamara iliyopo Mungonya, Halmashauri ya Kigoma, walimu wamewageuza wanafunzi vibarua wao

    Walimu wamekuwa na tabia ya kuwapeleka wanafunzi muda wa vipindi kufanya kazi za shamba, ikiwamo kulima, kupalilia, kuvuna na kupukuchua mahindi pamoja na kuwachotea na kuwapelekea maji walimu majumbani kwao wale wanaoishi kwenye nyumba za kota za shule. Nyakati nyingine wanafunzi wanarudishwa...
  3. Blasio Kachuchu

    Vodacom Tanzania Foundation Yajenga Matundu 10 ya Vyoo Shule ya Msingi Mkata Handeni

    Meneja Mauzo Mwandamizi wa Vodacom Tanzania Kanda ya Kaskazini, Andrew Temu, akizungumza wakati wa makabidhiano ya matundu 10 ya vyoo vya kisasa vilivyojengwa na Vodacom Tanzania Foundation katika Shule ya Msingi Mkata iliyopo wilayani Handeni mkoani Tanga. Ujenzi wa vyoo hivyo unalenga kutimiza...
  4. M

    KERO Hivi ni sahihi Wanafunzi wa shule ya msingi kwenda shule saa 12 asubuhi mpaka 12 jioni?

    Kuna tabia inakomaa ya wanafunzi hasa kwa Dar kwenda shule saa 12 asubuhi na kutoka 12 jioni, awali tabia hii ilikuwa kwa shule za kulipia za watu binafsi ikawa inapigiwa kelele ila sasa naona hata za Serikali zinafanya hivyo. Wengi wanaweka sababu kuwa wanawaandaa watoto kwa mitihani ya...
  5. A

    KERO Responded Shule ya Msingi Kishangazi (Tanga) ina Mwalimu mmoja, wengine wanashinda tu mtaani

    Mimi ni Mkazi wa Kijiji cha Kishangazi, Kata ya Shaghayu, Wilaya ya Lushoto Mkoani Tanga. Shule yetu ya Msingi Kishangazi, hapa kijijini ina Mwalimu mmoja tu kuanzia chekechea hadi darasa la saba, hivyo tunaomba serikali iliangalie hili. Walimu wameajiriwa lakini hawataki kuingia shuleni...
  6. Damaso

    Diwani Jackson Chatanda ametoa msaada wa sahani 300 kwa shule ya msingi Ulonge

    Diwani wa kata ya Igumbilo Manispaa ya Iringa Jackson Chatanda ametoa msaada wa sahani 300 kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Ulonge, hatua iliyolenga kutatua changamoto kubwa ya ulaji iliyokuwa ikiikabili shule hiyo kwa muda mrefu. Kwa mujibu wa taarifa kutoka shuleni hapo, wanafunzi wengi...
  7. A

    KERO Shule ya Msingi IDETE iliyopo Wilaya ya KILOLO - Iringa ipo katika hali mbaya sana

    Hii ni shule ya msingi iliyopo Kijiji cha Idete, Kata ya Idete Wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa. Mazingira ya shule ni hatarishi kwa watoto wetu kama inavyoonekana katika picha. Tafadhali uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo utusaidie kuboresha mazingira haya ya shule.
  8. USSR

    Waziri wa TAMISEMI na UCHUKUZI(TANROAD) na RC Chalamila mmekubari kuanzisha Dampo karibu na shule ya msingi mbezi mwisho.

    Karibu na roundabout ya Goba eneo la mbezi mwisho mita 6-8 kutoka ilipo shule ya msingi mbezi mwisho [ENEO LA HIFADHI ] ya barabara kuna dampo kubwa jipya linalokuwa kwa kadi na kuvutia watupaji wa taka kutoka maeneo ya Kimara na mbezi huku likihatarisha usalama wa wanafunzi, kituo cha afya na...
  9. Roving Journalist

    Responded ‎Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma yatoa ufafanuzi kuhusu video ya uchakavu wa vyoo Shule ya Msingi Muhamani

    ‎‎Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma imetoa ufafanuzi rasmi kufuatia video inayosambazwa kwenye mtandao wa kijamii wa Jamii Forums ikionyesha madai ya uchakavu wa vyoo katika Shule ya Msingi Muhamani iliyopo Kata ya Simbo. ‎ ‎Akizungumza kuhusu suala hilo Kaimu Afisa Elimu Awali na Msingi...
  10. G

    Mwandishi wa habari amnunulia dawati mwanaye baada ya kuona wanafunzi wanakaa chini katika shule ya Msingi Mwilamvya

    Nimeona ile stori ya Mwananchi mwenzangu wa Kigoma aliyoandika kuhusu Shule ya Sekondari Buhanda iliyopo Kigoma Mjini kuwa na upungufu wa madawati, ni kweli shule hiyo na nyingine kadhaa hazina madawati na ni changamoto ambayo ipo kwenye shule kadhaa. Nishee stori moja, kuna Mwandishi wa Habari...
  11. DuaZaMama

    Heche: UDSM wamezuia kongamano la DUPSA mjadala

    Anandika John Heche kuwa; "Chuo kikuu cha Dar es Salaam kwasasa kimegeuka kuwa kama shule ya msingi. Wakati UDASA wana kongamano lao leo, Dupsa walinialika pia kwa kongamano. Ajabu ni kwamba sehemu ambayo Inatakiwa kuwa chimbuko la fikra na mawazo wamezuia kongamano hili dakika za mwisho kabisa".
  12. E

    DOKEZO Serikali yalalamikiwa, hali mbaya katika Shule ya Msingi Mbosho Wilayani Hai

    Shule Ya Msingi Mbosho iliyopo kata ya Masama Kati Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro ni miongoni mwa Shule kongwe zilizopo Wilayani Hai. Kwa Sasa Shule hii Inakabiliwa na Uchakavu Mkubwa wa majengo ya Madarasa na Ofisi ya Waalimu. Shule hii kwa Sasa Ukiitembelea Hali yake inatisha, Majengo...
  13. BigTall

    Waziri Mkuu apongeza TPDC kwa ujenzi wa Shule ya Msingi Likong'o kupitia Mradi wa LNG, akumbusha shule kufungwa miundombinu ya Nishati Safi

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba amepongeza Wizara ya Nishati kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kwa ujenzi wa shule bora ya Awali na Msingi katika Kijiji cha Likong'o mkoani Lindi inayojengwa kupitia mradi wa uzalishaji na usindikaji wa...
  14. Masalu Jacob

    Jiulize shule ya msingi uliyosoma ina hali gani?

    Habari Tanzania ! Leo nimewaza sana. Inakuwaje Shule ya Msingi uliyosoma wewe mazingira uliyoyaacha mpaka leo yapo hivyo hivyo na mengine yameharibika kwa nini? Inauma sana. Karibu
  15. Masalu Jacob

    Je, kuna shida yoyote kuanza kujifunza Taaluma na Ujuzi ngazi ya Shule ya Msingi

    Habari Tanzania ! Naomba kuuliza wale wataalamu wa Sera, Mipango na Uchumi. Je, hakuna athari yoyote Mtoto akianza kujifunza Taaluma fulani kuanzia ngazi ya Shule ya Msingi; mfano Udaktari, Ukandarasi, Ufanyabiashara, Udereva, Uhasibu, nk na masomo baada ya Mtoto kujua kusoma na kuandika ...
  16. The Burning Spear

    Kama ulitumia hili Daftari shule ya msingi anza kuandika wosia

    GT. Lazima umri umeenda mda wowote malaika watakuita ukafurahi nao.
  17. tonicimmobility

    GE2025 Mbeya: CCM imekusanya wanafunzi wa shule ya msingi ili wajaze kumbi za kampeni

    Kwa hali tulipofika sasa hivi tunaenda kulibomoa taifa letu kuanzia taifa la leo hadi taifa la kesho, CCM haiona ajabu tena kuwabeba watoto wa shule ya msingi ili waje kwenye mikutano yao ya kampeni ili mradi tu mahali paonekane pamejaa watu. Nchi wamejimilikisha, bado hofu inawatanda, wakati...
  18. A

    DOKEZO Usimamizi mitihani halmashauri ya Kwimba; Kwanini walimu wa shule za msingi ndio wanasimamia mitihani katika ngazi zote (sekondari na msingi)

    Mamlaka za usimamizi wa mtihani zifatilie hili Jambo, Kwimba walimu msingi wanasimamia mtihani ngazi zote, na walimu Sekondari wanachukuliwa wachache tu kama danganya toto. Chunguzeni mamlaka husika kuna siri ipi? Kwanini wanaacha utaratibu wa kubadilishana? Yaani walimu secondari wasimamie...
  19. Meneja Wa Makampuni

    Mpango wa Biashara wa Kuanzisha Shule ya Msingi na Secondari

    Bright and Genius Editors wanatayarisha mpango wa biashara (Business Plan) wa kitaalamu kwa ajili ya kuanzisha na kuendesha Shule za Msingi na Sekondari. Kupitia mpango huu, utapata nyenzo kamili ya: 1. Kuwasilisha kwa taasisi za kifedha ili kupata mkopo au ufadhili. 2. Kuvutia wawekezaji na...
  20. ndege JOHN

    Hii nchi ya WESTERN SAHARA imeanza lini mbona sijaisoma shuleni

    Wakuu hii nchi mbona nimeanza kuiskia hivi karibuni na Katika kumbukumbu zangu sikumbuki kama shule ya msingi nilisoma.
Back
Top Bottom