Shukrani Elias Manya is a Tanzanian academic Professor and politician belonging to the Chama Cha Mapinduzi political party in Tanzania. He is a Member of Parliament nominated by John Magufuli and was appointed as a deputy minister responsible for mining since December 2020. Before his appointment he was the executive secretary of the Mining Commission in Tanzania.
Msanii wa Bongo Fleva, Beka Flavor, ametoa ujumbe wa shukrani kwa Mwenyezi Mungu akisema uhai ni kwa mapenzi na rehema zake, si kwa ujanja wa binadamu. Katika ujumbe huo, amewaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa ajili ya ndugu wote waliotangulia mbele ya haki wapumzike kwa amani.
"Zamani nikiwa...
Hizi ni shukrani zangu za dhati kwa Dr am 4 real PhD kwa kunitumia sh 3000 ya kula na familia yangu leo jioni na natimiza ahadi yangu ya kumshukuru wazi wazi ambayo tulikubaliana kufanya hivi atakapo nitumia hiyo hela
Mods mnaweza kuunganisha uzi huu na ule mwingine
Thanks mkuu na barikiwa...
💚 Shukrani za Dhati 💚
Awali ya yote natanguliza shukrani zangu za dhati kwa Ndg. Dkt @samia_suluhu_hassan , Mwenyikiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kwa Imani yako kubwa kwangu hasa kwa kunipendekeza na kisha kuteuliwa na Halmashauri kuu ya CCM Taifa kuwa Katibu Mkuu...
BAADA ya kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) zilizofanyika Agosti 4,2025 nimejipa jukumu la kuzungumza na baadhi ya wagombea ambao wapo tayari.
Mmoja wa wagombea niliyezungumza naye ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kutoka Wilaya ya Kyela Mkoani Mbeya.
Mwakajumba ni mmoja wa...
Habari za leo Watanzania
Tukiwa tunaelekea ktk Uchaguzi mkuu, zimefika zile nyakati za Wanasiasa kuhama Chama hiki kwenda kile kwa Maslahi ya Kisiasa.
Naomba kuwagusia hawa Wanasiasa wawili kama mfano wa namna Wanasiasa wasivyo na Mioyo yenye Shukrani.
1.Freeman Aikael mbowe ameingia ndani ya...
Salaam za Shukrani 🙏
Kwa unyenyekevu mkubwa, mimi Habibu Mchange ninakishukuru Chama changu cha Mapinduzi kwa kunipitisha kuwa miongoni mwa majina sita yaliyopendekezwa—ambapo mmoja wetu, ikimpendeza Mungu, atakuwa mwakilishi wa wananchi wa Kigamboni kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.
Moyo...
Wasaalam.
Tarehe 14 Julai, 2025 nimekuwa sehemu ya Kikao cha mwisho cha Baraza la Mawaziri la Serikali ya Awamu ya Sita tangu iingie madarakani, kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 14 Julai, 2025.
Picha ya 1 ni ya kumbukumbu ya Wajumbe wa Baraza tukiwa pamoja na Rais wa Jamhuri...
Wasaalam wote humu.
YAH; MREJESHO NA SHUKRANI KWA WANANCHI.
6 Julai, 2025
UTANGULIZI; mapema tarehe 06 Julai, 2025 majira ya saa 2 asubuhi hivi, niliomba ushirikiano wa jamii kwenye kufuatilia na kupata location kamili kuhusu, madai ya uwepo wa ukatili sugu kwa mtoto huko Mtaa wa Kidemi...
Binafsi nitoe shukrani zangu za dhatI kwa NMB kwa kazi nzuri wanayofanya kwa kuwahudumia wananchi. NMB imekuwa mstari wa mbele kwa kutoa gawio nzuri kwa wanahisa wake. Mwaka huu wametoa Tshs.428 kwa hisa moja kiasi ambacho hakijawahi kutokea. Pongezi hizi zimwendee CEO wa NMB Mama Zaipuna...
Mlisema Magufuli ni dictator, mpaka mwenyezi Mungu alipomtambulisha dictator wa kweli!
Sasa ni full kilio na kumuuliza Mungu kuwa tulimkosea nini.
Mungu alitupa Sauli nae akajawa na kiburi; Mungu akamuondoa baada ya watu wa taifa lake Kuomba kubadilishiwa kiongozi. Now tupo na Daudi ambaye...
Kamanda lissu anawapambania watanzania kuondosha utawala mbovu na genge lao lakini naona anajisumbua tu kwa sababu hiyo vita ili aweze kushinda anahitaji watu ,hawezi kushinda peke yake.
Kwa bahati mbaya sana watanzania ni watu waoga na wasio aminika kabisa, ni wazuri sana wa kusifia na kuongea...
Poleni na majukumu wana JF
Uzi huu si wa kuomba msaada Bali ni wa kutoa shukrani za zati kwa wana jf kama mnakumbuka nilishawai kutoa uzi mbali mbali kuwauliza ni sehemu ipi naweza Pata ps4 ya kununua wengine walienda mbali wakasema kuwa nimekuwa nikiomba omba ushauri toka mwaka jana bila...
Wakuu amjambo!
Naleta shukrani zangu za dhati Kwa wote ambao mlinipa michango yenu nilipoleta Uzi wangu wa kuomba ushauri wapi ntapata vibarua vya saidia fundi,
Vibarua nilivipata nimefanya miezi sita lengo langu likiwa ni kupata mtaji nianze bishara Nina furaha sana haikuwa kazi nyepesi...
Habari wadau
Huu ni ukweli mchungu
1. Magufuli kaikuta Air Tanzania ikiwa haina ndege hata 1. Ila kaifufua na kainunulia ndege za kutosha
2. Magufuli kakuta shirika la reli TRC linaelekea kujifia.. kalifufua kwa kuliwekezea ma trilioni ya hela na kafosi kujenga reli ya SGR na kawanunulia...
Wadau hamjamboni nyote?
Sio kwamba namdharau au nampa sifa mbaya Mwanasiasa huyu maarufu, hapana!
Ukweli ni kuwa
Dkt Slaa ni miongoni mwa binadamu wanaoongoza kukosa kabisa shukrani kwa fadhila alizopewa. Kila sehemu anayokaribishwa na kufadhiliwa lazima avuruge mambo, sijui yukoje huyu...
Ndivyo navyoweza kusema,
Hii ni kwa wale wanaokaza sana,yaani mnaishi kitumwa mno.hii ni Kwa watu wa mikoani
Ni rahisi kukuta mtu anakula vitu vya ajabu au sehemu isiyoridhisha kwa madai ya kubana bajeti.
Kuna mtu anaweza kumaliza hata mwezi hajawahi kula nyama na familia yake kisa anabana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.