harakati za mkwawa zilikua ni kukamata himaya moja baada ya nyingine na kuifanya yake. na alizikamata kwa nguvu. inshort alikua mkoloni na na yeye kwa makabila ya jirani. Hakupanga kuacha, mpaka alipokutana na mjerumani.
Tunapozungumzia Mkwawa, mara nyingi tunamwona kama shujaa wa kitaifa kwa...