shughuli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Utekelezaji wa Majukumu ya Msingi ya JWTZ: Tathmini za Shughuli Wanazozifanya Sasa Mitaani

    Majukumu haya ya msingi ya JWTZ (Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania) ni muhimu sana kwa ustawi wa taifa letu na usalama wa raia. Lakini, ni vyema tujitahidi kutafakari kwa undani kuhusu utekelezaji wake katika mazingira ya sasa. Hebu tuangalie kila kipengele kimoja kimoja: 1. Kulinda...
  2. JamiiForums Tanzania onyo: Huwenda maandamano ya #D9 yasiwe ya kibubu kutokana na visasi, huku shughuli kufungwa mapema kuliko inavyozaniwa kabla ya #D9

    Niwe muwazi na niongelee uhalisia kuna watu wengi wali uwawa October 29 wengine wakiwa ndani kwahiyo hatuwezi kutegemea maandamano haya ya #D9 yawe ya kibubu bubu na mabango tu. Pia shughuli za nchi zinaweza kusimama kabla ya hiyo tarehe #D9 kufika.
  3. JamiiForums Tanzania Watanzania walihitaji kuwa na CHADEMA kama hii. Inapaswa ichangiwe fedha ili shughuli za ukombozi zifanikiwe

    Ianzishwe kampeni maalumu kwa ajili ya kuiwezesha CHADEMA hii chini ya Lissu ili ukombozi upatikane. Hainunuliki na wala haipo kwa ajili ya matumbo yao. Soon ukombozi utapatikana by any means necessary. Watu laki tano tukichanga kila mmoja 1000 ni pesa zitazowezesha ukombozi kupatikana
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Serikali: Kuanzia kesho Novemba 4, 2025 Wananchi waendelee na shughuli zao za kawaida

    Serikali kupitia msemaji wake, Gerson Msigwa, imethibitisha kuwa kuanzia kesho Novemba 4, 2025, Watanzania wataendelea na shughuli zao kama kawaida.
  5. JamiiForums Tanzania shughuli itaanzia 28 hiyo tutakinikusha anajifanya hasikii hakuna amani na mafisadi

    Shughuli itaanzia 28 hiyo tutakinikusha anajifanya hasikii. Hatufanyi amani na wezi watekaji na wauwaji. tarehe 28 tutakinukisha tuirudishe nchi yetu kwenye mstari.
  6. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Darugar: Ni kosa kubwa sana mtu kuacha shughuli zake au afunge duka kwa hofu ya mtafaruku Oktoba 29, Tupo vizuri kiusalama

    Mwenyekiti wa Serikali za mitaa Mtendeni, Kata ya Kisutu Mustaquim Darugar amewaomba Watanzania wasiwe na hofu ifikapo Siku ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 29 ambao ni wakati sahihi wa kupiga kura na Wananchi wasiogope badala yake wajitokeze kwa wingi kutekeleza jambo hilo ambalo ni haki yao kikatiba...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Shughuli za Serikali ya Marekani zimefungwa

    Serikali ya Marekani imefungwa rasmi baada ya Bunge la Congress kushindwa kufikia makubaliano ya ufadhili wa kuendesha shughuli za kila siku, na hali iliyobaki kuwa sintofahamu kuhusu kinachofuata Ni mara nyingine tangu 2019 Serikali kufunga shughuli zake, ambapo vyama vya Republican na...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Mshikamano wa Kimataifa wahitimisha shughuli za Mfano wa Uigaji wa Umoja wa Afrika

    Mtandao wa Mshikamano wa Kimataifa ulihitimisha shughuli za mfano wa uigaji wa Umoja wa Afrika kwa wanafunzi wa Shule za Ubora wa Sayansi na Teknolojia (Steam) chini ya kauli mbiu "Haki kwa Waafrika na wenye asili ya Kiafrika kupitia fidia", ambayo ni kauli mbiu iliyopitishwa na Umoja wa Afrika...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Chama cha NLD chaomba radhi kwa kusitishwa kwa shughuli za kampeni za Mgombea Urais mnamo Agosti 31, 2025

    TAARIFA RASMI YA CHAMA CHA NLD KUHUSU KUSITISHWA KWA SHAMRASHAMRA ZA KUMPONGEZA MGOMBEA URAIS MHE. DOYO HASSAN DOYO NA MGOMBEA MWENZA BI. CHAUSIKU KHATIBU, NA KUOMBA RADHI KWA USUMBUFU WOWOTE ULIOJITOKEZA Chama cha National League for Democracy (NLD) kinapenda kutoa taarifa rasmi kwa waandishi...
  10. JamiiForums Tanzania Kuacha tungi ni shughuli nzito aisee

    Nilijipa likizo kidogo ya kama week hivi nione kama zoezi litakua endelevu ili niache kabisa mambo ya tungi. Leo siku ya nne tu uzalendo umenishinda aisee,nimepita mahali nimepiga safari baridi tatu za chap chap kuchangamsha akili kwanza. Kuacha tungi ni zoezi gumu sana wakuu.
  11. JamiiForums Tanzania Wakati JPM akipondaponda demokrasia, hii ndiyo shughuli aliyokuwa akifanya Polepole, aliisahau katiba mpya, atakumbukwa kwa kusifia "vieitee"

    Alikuwa Katibu Mwenezi wa CCM aliyetumia muda mwingi kufanya mambo yasiyoeleweka. Alikuwa anakata mauno mbele ya watu, badala ya kuongelea wakulima, wafugaji au katiba mpya.
  12. JamiiForums Tanzania Ni jadi ya Yanga kuchangia katika shughuli mbali mbali za kijamii, maendeleo na yote yale ya muhimu pale inapohitajika

    Mwenyekiti wa klabu ya Young Africans, Mzee Mangara Tabu Mangara, (mwenye kofia), alikabidhi hundi ya shilingi 10,000 kwa Mzee Omari Londo, Mwenyekiti wa TANU wa mkoa wa Dar es Salaam mwaka 1974. Fedha hizo zilikuwa ni mchango wa klabu hiyo kwa ajili ya kusaidia harakati za ukombozi wa Afrika...
  13. JamiiForums Tanzania Shughuli za uokoaji zinaendelea kuwaokoa watu 22 waliofukiwa kwenye mgodi wa madini Tanzania

    Huduma za uokoaji zinaendelea kuwaokoa takribani watu 22 waliofukiwa na kifusi, katika machimbo ya dhahabu ya Nyandolwa, Shinyanga Tanzania. Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mboni Mhita amesema tukio hilo limetokea wakati mafundi wakiufanyia ukarabati mgodi huo na kwamba mpaka jana usiku watu watatu...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa maoni yangu naona hili tangazo la shughuli wasizotakiwa wageni kufanya halijakaa sawa kidiplomasia

    Ukiingia mtandaoni utaona pages nyingi za nchi jirani zilizoko SADC na EAC haziongelei kwa uzuri hili tangazo la Jafo. Kwa majirani zetu ni ngumu kujua kama walengwa wakuu ni wachina. Watu wengi wameona kama limekaa kibaguzi. Mimi ninashauri badala ya kuleta matangazo haya yaliyokaa kisiasa ni...
  15. JamiiForums Tanzania Trump: 'Tutashambulia ikiwa kuna shughuli za nyuklia'; Araqchi: 'Tutatoa jibu ambalo hutaweza kujificha

    Abbas Araqchi, akimjibu Donald Trump, alisema, "Ikiwa uchokozi huo utarudiwa, bila shaka tutajibu kwa uamuzi zaidi. Jibu ambalo halitawezekana tena kufichwa." Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aliandika kwenye mtandao wa kijamii wa X: "Mashambulizi haramu ya hivi majuzi ya vituo vya nyuklia vya...
  16. JamiiForums Tanzania Mwajipa moyo eeh. Shughuli imeisha. Soon itajulikana Nani kashika mpini

    Kazi iendelee... Naona mnajitia vikumbo kujipa moyo wa kiberiti. Mipango yenu ishaporomoka kama bati ya mwezi wa kusi. Mama tunaye vilivyo, si wa kuchovya, ni wa kumeza na mfupa! Karibuni mtajua nani ndiye Boss wa meza, si wa kugongea bakuli kama huyo Babu yenu. Wakati ule mlidhani mgeni hajui...
  17. JamiiForums Tanzania Alichoandika Wakili Mwabukusi kuhusu CHADEMA kuzuiwa na Mahakama kufanya shughuli za Kisiasa

    IAM DEEPLY CONCERNED. YAWEZEKANA TUKO KATIKA JANGA LA KISHERIA – UHALISIA WA KUTISHA KIDEMOKRASIA !? Hili linaweza kuwa moja ya zuio la kipekee kabisa, la upande mmoja, kuwahi kutolewa katika historia ya nchi zinazofuata mfumo wa Common Law. Kwa kawaida, zuio (injunction) hutolewa kwa lengo...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Rais ameahirisha shughuli za Bunge badala ya kulivunja kama katiba inavyosema? Kuna tatizo?

    Ibara ya 65 (2) inatanabaisha kuwa uhai wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huwa unaanza pale pale wabunge waliochaguliwa baada uchaguzi mkuu kukutana kwa mara ya kwanza hadi litakapovunjwa na Rais wa kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao. Juzi tumesikia rais akiahirisha shughuli za Bunge...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia amepata wapi mamlaka ya kusema anasitisha shughuli za bunge?

    Jana nimemsikia Samia akisema anasitisha shughuli za bunge tarehe 27 /6/2025 ila Bunge litavunjwa Tarehe 3/8/2025 nimesoma katiba yetu kwanza Ibara ya 65 ambayo inasema. Ninainukuu " 65.-(1) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya Katiba hii, maisha ya kila Bunge yatakuwa ni muda wa miaka...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Trump amsuta Khamenei, asema ataishambulia tena Iran ikiwa shughuli za nyuklia zitaanza tena

    Rais Donald Trump amekashifu madai ya Ayatollah Ali Khamenei kwamba Iran ilishinda vita vyake vya hivi majuzi vya siku 12 na Israel na kusema Marekani "itaipiga kwa mabomu tena nchi hiyo ikiwa itatafuta silaha za nyuklia. Rais wa Marekani alizindua mkondo wa matusi kwa kiongozi mkuu wa Iran...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…