Mwanaume wa shoka ni mvumilivu na asiyekata tamaa. Mambo yakiwa magumu anaweza kupigana na maisha, akiwa na pair moja ya viatu, suruali pair mbili. Anatoka asubuhi iwe jua iwe mvua anahakikisha watoto wamekula na ada za shule amelipa. Kuna watakaomcheka kwakua viatu vyake vimekwenda upande...