shinyanga

Shinyanga, also known as Shinyanga mji in the local Swahili language, is a city in northern Tanzania. The city is the location of the regional headquarters of Shinyanga Region as well as the district headquarters of Shinyanga Urban District. The region and district are named after the town.

View More On Wikipedia.org
  1. KWELI PreGE2025 Emmanuel Ntobi amevuliwa uongozi uenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Shinyanga

    Wakuu naomba msaada wa taarifa hii kuwa Kamati tendaji ya Kanda ya Serengeti imefikia maamuzi ya kumvua Uongozi Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mkoa wa Shinyanga Bw. Emmanuel Ntobi kutokana na utovu wa nidhamu na maadili ikiwemo kuchafua Viongozi wa Chama chake Kitaifa...
  2. KERO TANROAD Tabora mko wapi? Barabara ya Shinyanga - Nzega changamoto

    Nilikuwa nasafiri hivi karibuni nikitoka Shinyanga kwenda Igunga, nikiwa kwenye gari sikuamini macho yangu, kama kilometa mbili kabla ya kufika Stendi kuu ya mabasi Nzega, barabara imeliwa na vile mvua zinanyesha kila wakati kila dereva anapita anakojua. Kama Barabara itaendelea kuwa vile kuna...
  3. KERO Ujenzi wa Interchange ya SGR - Mwanza umesimama, Barabara nayo ni mbovu, kero ya foleni ya magari imekuwa kubwa

    Ujenzi wa Mradi wa SGR hapa Mwanza ambao kwa muda mrefu umekuwa hauna mwendelezo umesababisha kero ya foleni hasa katika Barabara ya magari eneo la Mswahili Mkoani Mwanza. Kero hiyo ipo zaidi katika Interchange ya SGR ambapo Barabara inayotumika kwa chini ni mbovu na wakati wa mvua hali huwa...
  4. Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inasambaza mitungi ya gesi 13,020 mkoani Shinyanga

    Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inasambaza mitungi ya gesi 13,020 mkoani Shinyanga. Mitungi ya gesi ya kilo 6 yenye thamani ya shilingi milioni 545.538, Itasambazwa kwa bei ruzuku ya shilingi 20,950, badala ya shilingi 41,900 Lengo ni kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya...
  5. PreGE2025 Shinyanga: Wanachama 18 wa CHADEMA wahamia CCM

    Naona sasa mwaka wa Uchaguzi umewadia na mambo yamekuwa mengi kweli kweli. Wanasiasa wengine wanaenda kutafuta malisho ya kijana kibichi =================== Wanachama 18 wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA, Wakiwemo Viongozi wa jumuiya mbalimbali za chama hicho Halmashauri ya Ushetu...
  6. Tetesi: SHINYANGA: Mke wa Wenje pamoja na rafiki wa Esther Matiko wafika na kugawa shilingi milioni moja kwa kila mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa CHADEMA

    Anaandika kiongozi mwandamizi Mkoa wa Shinyanga. "Habari za Usikuu wajumbe wa Mkoa wa Shinyanga na Kahama Ugeni wetu umeingia tayari Ukiongozwa na Kaka yetu Sauti na Dada yetu Gimbi Massaba ambae ni mke wa kaka Wenje, Tayari leo wamefika Viunga vya Kahama na wameanza Mipango ya Kukutana na...
  7. PreGE2025 NTOBI atengwa na Mkoa wake Wajumbe wa Mkutano Mkuu kutoka Shinyanga wafanya maamuzi na wameamua kumchagua Lissu kwenye Uchaguzi wa Januari wa Chama

    Ikiwa Imebaki siku Chache tu au Wiki kadhaa Kwenye Chama cha Siasa Cha CHADEMA kuingia kwenye Uchaguzi Wa Viongozi Wa Juu sana.. Viongozi waandamizi kutoka Chama cha Demokrasia kutoka shinyanga wameamua Kutoa Msimamo wao Ambao unapingana na Mwenyekiti wa Mkoa Huo hivyo hawakumshirkisha Kwenye...
  8. J

    TANROADS ifanyieni matengenezo barabara ya Shinyanga - Mwanza

    Jana Nilikuwa nikisafiri kutoka Dar to Mwanza for sherehe za Christmas & New year 2025 kwakweli safari ilikuwa nzuri sana tena nikakunjia njia ya Tabora baada ya kufika Manyoni; Shida ilianza baada ya kutoka Shinyanga especially pale junction ya Old Shinyanga road hadi Usagara Mwanza. Dah...
  9. REA Kusambaza Mitungi ya Gesi 13,020 kwa Bei ya Ruzuku Mkoani Shinyanga

    REA KUSAMBAZA MITUNGI YA GESI 13,020 KWA BEI YA RUZUKU MKOANI SHINYANGA Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unaendelea kutekeleza Mradi wa usambazaji wa mitungi ya gesi ya kilo 6 kwa bei ya ruzuku, ambapo inatarajia kugawa mitungi 13,020 katika mkoa wa Shinyanga, Mradi huo utagharimu jumla ya...
  10. Shinyanga: Adaiwa kujinyonga baada ya kujaribu kumuua mwanae wa kike

    Mwanaume anayejulikana kwa jina Peter Mayala (45) mkazi wa Kijiji cha Mwamagunguli, Manispaa ya Shinyanga, amejiua kwa kujinyonga ndani ya chumba chake cha kulala baada ya kujaribu kumuua mtoto wake wa kike anayeitwa Anna Peter (6) huku chanzo cha tukio kikidaiwa kuwa ni ugomvi wa familia kati...
  11. LGE2024 Shinyanga: Wananchi wafichua kukosekana kwa karatasi za kupigia kura. Karatasi za kwenye notebook zatumika kama mbadala

    Wakuu, Wakiwa wanahojiwa kwenye kituo cha TVE wananchi wa mbalimbali wametoa maoni kuhusu nini hasa kinaendelea kwenye Uchaguzi. Mmojawapo wa wapiga kura alidokeza kwenye mtaa wake hakuna karatasi maalum za kupigia kura na badala yake karatasi za notebook zinatumika...
  12. LGE2024 Shinyanga: Kura bandia zadaiwa kukamatwa

    Nimefika Kata ya Ndembezi, Manispaa ya Shinyanga. Tumekamata kura fake 41 kutoka kwa msimamizi msaidizi wa kituo cha Ndembezi Shule. Tumewakabidhi Polisi Kura hizo fake zaidi ya 40 tulizozikamata. Pia soma:LIVE - LGE2024 - Special Thread: Matukio ya Rafu za Uchaguzi na Malalamiko kwenye...
  13. LGE2024 Mongella ahitimisha Kampeni za CCM Shinyanga kwa maandamano ya hamasa

    Naibu katibu Mkuu huyo wa CCM, Taifa, John Mongella amefika Mkoani Shinyanga kuhitimisha kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika novemba 27, mwaka huu. Sambamba na hilo Mongella ameongoza maandamano makubwa kutoka ofisi za CCM, Mkoa hadi kata ya Kitangili kuhamasisha wananchi...
  14. S

    Mkulima ahoji mtuhumiwa wa ufisadi kuzindua kampeni za CCM Shinyanga

    MTANZANIA, THOMAS NKOLA maarufu Mkulima amehoji sababu za Chama cha Mapinduzi kumruhusu Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (MNEC) anayetuhumiwa kwenye kashfa mbalimbali za ufisadi kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa mkoani Shinyanga. Mjumbe huyo wa...
  15. LGE2024 Shinyanga wakimbiza kuku kuhamasisha ushiriki wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga imeanzisha kampeni ya kuhamasisha wananchi kushiriki kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, kwa kutumia michezo mbalimbali. Bonanza la michezo lililofanyika katika kata ya Tinde limejumuisha mbio za baiskeli kwa wanawake...
  16. Shinyanga kuandaa Baiskeli Festival 2025

    Mkoa wa Shinyanga wajibu mapigo
  17. Shinyanga Bicycle Festival 2025

    Shinyanga hatujaachwa nyuma na Matamasha. Arusha jipangeni
  18. Kishindo Cha Shinyanga Mapokezi ya Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi

    Kishindo Cha Shinyanga Mapokezi ya Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi.
  19. L

    Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi Kuongoza wajumbe wa Secretarieti ziara nzito Mikoa ya Simiyu Na Shinyanga Tarehe 6-11 October

    Ndugu zangu Watanzania, Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi ataongoza Wajumbe wa Secretarieti kufanya ziara nzito sana ya ukaguzi wa utekelezaji wa ilani ya CCM,kusikiliza na kutatua papo kwa papo kero za wananchi pamoja na kuhamasisha watu kuiunga mkono CCM katika uchaguzi wa...
  20. Je, unamjua Louis P Sazia, aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro na mbunge wa Kahama?

    Ee bwana wanyamwezi walikuwa na huyu mzee ambaye kwa sasa ni MarehemU, alikuwa jembe na nusu. Huyu mzee alikuwa awe chief baada ya baba yake Andrea Sazia, lakini uhuru ndipo ulipatikana na hivyo uchief ukawekwa pembeni, huyu mzee alitokea familia ya kitawala huko kwa Wanyamwezi walioshi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…