shida

Hikaru Shida (志田 光, Shida Hikaru, born June 11, 1988) is a Japanese professional wrestler, martial artist, actress, and model, currently signed to All Elite Wrestling (AEW), where she is a former and the longest-reigning AEW Women's World Champion. On February 25, 2021, she became the longest reigning overall champion in AEW history, breaking the previous record of 277 days set by former AEW World Champion Jon Moxley.She also works for the Makai company, and makes appearances for the Oz Academy and Pro Wrestling Wave promotions.
She started her professional wrestling career in 2008, when she joined the Ice Ribbon promotion, after taking part in a film titled Three Count, set in the world of professional wrestling. She remained with the promotion until 2014, becoming a one-time ICE×60 Champion and four-time International Ribbon Tag Team Champion. Outside of Ice Ribbon, Shida has held the Wave Single Championship, the Oz Academy Tag Team Championship and the Sendai Girls World Tag Team Championship.

View More On Wikipedia.org
  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania Dini zetu ni sehemu ya shida zetu za kiuchumi tulizonazo Afrika.

    Dini zetu hizi mbili zilikuja na wakoloni (watesi) wetu. Viongozi wa dini waliishi nyumba na mtaa mmoja na wakoloni (watesi) wetu, walisali pamoja, walikula na kunywa pamoja na wakoloni. Waliwabariki kwenye kazi zao za utesi na uporaji wa rasilimali zetu, kuwaombea mema na afya tele na kubatiza...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Shida zilipokubana uliwahi kuuza kitu gani kwa bei ya hasara ili ujinasue?

    Gari niliyonunua milioni 5 nikiwa nimeitumia miezi miwili tu niliiuza kwa milioni 1 na laki 3 kumaliza kesi flani isifike mbali tumalizane kimya kimya, pesa ilikuwa inahitajika fasta hivyo mteja ilibidi awe wa fasta, kuna watu wengi wameishia jela kwa kuchukulia vitu poa kwa jicho la mtaani...
  3. Webabu

    JamiiForums Tanzania Shida iliyopata Israel kuokoa mateka wanne hawatajaribu tena. Ndio imewatia nguvu Hamas na raia wa kawaida kupambana zaidi

    Taarifa zaidi za operesheni ya kuokoa mateka 4 wa Israel zimezidi kutoka na kuonesha ilikuwa ni shughuli mbaya ya uokoaji iliyosababisha vifo vya watu 274. Wengi wao walikuwa ni wanawake na watoto na hata kama kulikuwa na Hamas kadhaa tukio hilo limelaaniwa na mataifa kadhaa na kuliona...
  4. Candela

    JamiiForums Tanzania Hizi kampuni za simu zinaona wateja mazuzu

    Tukiongelea Iphone huwa anatangaza new features ambazo Samsung wanazo 5 years back lakini utashangaa watumia iPhone wanajimwambafai na hizo features. Ukija Samsung wanatrendisha features za Google pixel ambazo watumiaji wa pixel wanazo 2 years back. Yaani S24 ultra inatangaza features za pixel...
  5. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Una shida, utamchagua Mchungaji yupi akuombee kati ya hawa?

    Mchungaji Masanja au Mchungaji Irene?
  6. Webabu

    JamiiForums Tanzania Yafahamu yaliyomo ndani ya mpango wa Biden kumaliza vita vya Gaza ambayo Israel wameyakubali na Hamas hawaoni shida kuyatia saini.

    Mpango wa raisi Biden ili kumaliza vita vya muda mrefu vya Israel na Hamas una hatua tatu muhimu. YA KWANZA Ni kusitisha vita kwa muda wa wiki sita(mwezi unusu) ili mateka wa Israel hasa wa kiraia,wanawake na wagonjwa waachiwe sambamba na kuachiwa kwa wafungwa wa kipalestina. Hatua hii...
  7. MEGATRONE

    JamiiForums Tanzania Nina shida na ALU kwa bei ya jumla

    Nahitaji ALU za watu wazima kwa bei ya jumla! Mwenye nazo tuwasiliane 0687391885
  8. VINICIOUS JR

    JamiiForums Tanzania Hivi baadhi ya wake za watu wana shida gani?

    Kwema wakuu, Kama mada inavojieleza. Wakuu kuna mke wa jiran yangu nashindwa kumuelewa, alisafiri miezi miwili iliyopita sasa karudi kama siku tatu zilizopita sasa kanivizia nipo peke yangu anaanza kunilaumu nina roho mbaya toka amerudi sijaenda kumuona mara nimnunulie soda wakati mim ni...
  9. MURUSI

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo: Tuwekeze sasa kwenye mifumo ya uwajibikaji, tuache kutegemea mtu atutatulie shida zetu bali Mfumo ndio utatue

    TUJENGE MIFUMO YA UWAJIBIKAJI, KAMWE TUSITEGEMEE KUWA NA NAMBA ZA OCD AU ASKARI WA USALAMA BARABARANI. Taifa tunapaswa kuwekeza sasa kwenye mifumo imara ya uwajibikaji ili leo na kesho hata kama kiongozi hayupo basi mifumo ifanye kazi, tuweke mifumo tukifikiria kwamba kuna siku viongozi wote...
  10. feyzal

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa NACTE una shida?

    Habari ya wakati huu. Nilikua nahitaji kumuombea kijana mmoja kozi za afya ngazi ya diploma baada ya kupata taarifa jana kua mfumo umefunguliwa ila kila nikitembelea ukurasa wao Nacte naona tu tangazo la kuhusu udahili ila sioni mahala pa kuomba hizo kozi. Kwa aliyefanikisha naomba anijuze...
  11. Mr Kipara

    JamiiForums Tanzania Miaka 40 tu lakini ulaji wa tunda ushakuwa shida

    Nina miaka 40 pia nimejaariwa watoto 2, shida ni kwamba siku hizi TUNDA special limenikinai kabisa kiasi naweza kaa hata miezi sitamani kabisa, Sasa sijui ndio umri umekwenda au kuna shida. Zamani nilikuwa namsumbua bibie anipe tunda lakini huwezi amini sasa hivi yeye ndio hunisumbua kwani...
  12. G5bajuta

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali iangalie namna nzuri na madhubuti ya kubaresha mtandao unaosuasua hususan na kuchunguza eneo ambalo lina shida katika utoaji wa huduma

    Kuelekea miaka 5 ijayo tz ijipange kuboresha huduma ya mtandao ili kuzuia uhalifu na matumizi mabaya ya mtandao hivyo serikali ichukue hatua kuboresha sekta ya mawasiliano ili kupata tija nzuri katika matumizi ya mtandao. Pia serikali iangalie namna ya kuboresha huduma za mtandao kwani...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC tusilazimishe kwa Magumashi ya Airtel Money ili tuwe nafasi ya Pili NBC Premier League, ukweli ni kwamba bado tuna Shida Kubwa za Kimsingi

    Tena natamani sana wana Simba SC Wenzangu wangeingia katika Mawazo yangu ya kutaka tuwe nafasi ya Tatu ili twende Kombe la Shirikisho ( kama litakuwepo ) ili taratibu tunapoanza Kukijenga Kikosi chetu kwa Msimu ujao tuanzie huko kwa Kujipima ila kwa Jicho la langu Tukuka la Kiufundi hata Simba...
  14. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Vodacom kuna shida gani? Nimejiunga bando la MB wamenipa dakika bila MB

    Mnamo tarehe 17 mei, nilijiunga bando la uni-combo data ya mb 1126, badala yake vodacom wamenipa dakika bila mb. Nimewapigia lakini hakuna walichofanya zaidi ya kunipa tu matumaini. Kuna shida gani? Je, huu ni wizi, utapeli au hitilafu?
  15. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Tangu TAMISEMI waseme wamepata kibali Cha kuajiri kada ya Afya na Walimu tangu mwezi wa pili mwaka huu sijui shida huwa nini?

    Hapo Mimi huwa sielewi kibali tayari, nini huwa kinakwamisha au bajeti na mchakato kuchambua maombi utachukua mda Gani na hao watumishi wapya mfano Walimu wataripoti lini au mwezi wa 9? Au Kuna nn kama Mhe. Rais ametoa kibali?
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Waafrika tuna shida sana na ndizo zinazo wafanya irene uwoya na wenzio kutokupitwa na fursa ya kufaidika na hamu yetu ya kupata miujiza na faraja.

    Niliona uzi humu eti mtu anataka afarijiwe kuhusiana na yeye kupenda huduma mpy ya Irene Uwoya. Yalianza na jamaa aliekuwa Lugombas. Sasa ni irene uwoya kutumia ushawishi wake kupata kondoo. Simaanishi Mungu hawezi kuinua muhuni then akawa mtumishi wake ila tusikubali wahuni watuaminishe...
  17. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Ndani ya chadema ni mvurugano tu, wapo walio bora na wasio bora, ndiyo shida kuu!

    Kwa jinsi nilivyotonywa na paparazzi maalumu ambaye yu ndani ya chadema na ni mwanachama wao kinda kinda ki, wapo wanaopewa kipaumbele cha kifedha ili kujenga mahekalu yao na familia zao, kibaya zaidi wapo waliowekwa pembeni na hawaruhusiwi kuhoji lolote, suala hili linaleta shida na tabu kubwa...
  18. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Magonjwa ya ngozi, hii ni changamoto gani?

    Nimepatwa ghafla na hivo vipele hapo palianza kuwasha ukikuna ndo vinaumuka hivo! kwa wenye utaalam wa matatizo ya Ngozi.
  19. Mzee Saliboko

    JamiiForums Tanzania Karibu wiki nzima Kimara hatuna maji. Shida nini?

    Karibu wiki mbili sasa tunatembelea ringi maji hakuna mitaa ya Kimara. Shida ni nini Dawasa?
  20. E

    JamiiForums Tanzania Naumwa wakuu, nina fangasi sehemu za Siri

    Ndugu zangu naumwa fangasi kwa muda sasa ila pia sehemu ya kichwa cha uume kumekuwa kama na Ile ngozi iliyopo kwenye korodani. Sasa selewiii tiba ni nini.
Back
Top Bottom