shida

Hikaru Shida (志田 光, Shida Hikaru, born June 11, 1988) is a Japanese professional wrestler, martial artist, actress, and model, currently signed to All Elite Wrestling (AEW), where she is a former and the longest-reigning AEW Women's World Champion. On February 25, 2021, she became the longest reigning overall champion in AEW history, breaking the previous record of 277 days set by former AEW World Champion Jon Moxley.She also works for the Makai company, and makes appearances for the Oz Academy and Pro Wrestling Wave promotions.
She started her professional wrestling career in 2008, when she joined the Ice Ribbon promotion, after taking part in a film titled Three Count, set in the world of professional wrestling. She remained with the promotion until 2014, becoming a one-time ICE×60 Champion and four-time International Ribbon Tag Team Champion. Outside of Ice Ribbon, Shida has held the Wave Single Championship, the Oz Academy Tag Team Championship and the Sendai Girls World Tag Team Championship.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wachezaji na fans engagement ni shida sana

    Nimeangalia mapokezi ya wachezaji wa Yanga bukoba ni makubwa sana tena sana pale airport na watu wameacha shughuli zao kwenda kuwapokea ila namna wachezaji wanawapita mashabiki ni kama paka na panya wengi wamefunika vichwa na kofia miwani kubwa earphones mwendo wa ngiri Angalau Dube kuonesha...
  2. JamiiForums Tanzania US na Israel wanatufundisha kuwa na marafiki/ndugu wanaokufaa wakati wa shida tu

    Hadi leo karibu 1/3 ya jeshi lote la navy la US limeshaizunguka Iran kwa lolote ikitokea kajaribu kuishambulia Israel. Watafiti wanasema US imetoa karibu meli zake zote Pacific na zimeenda kukaa kimkakati kwa lolote karibu na iran na israel. Huu ndio urafiki, huu ndio udugu. Kwa mujibu wa...
  3. JamiiForums Tanzania Mtandao wa Telegram Tanzania una shida gani?

    Wadau natumai mko vizuri. Kwa siku tatu sasa mtandao wa Telegram umekuwa haufunguki na nahusisha na taarifa kuwa kuna changamoto ya kimtandao licha ya kuwa Mamlaka husika hazijareport chochote. Telegram, imekuwa inaload tu Kwa siku ya nne sasa, kuna Nini kinaendelea?
  4. JamiiForums Tanzania Shida ya gesi tumboni

    Wakuu habari za muda. Naomba kuelewa hili, hivi gesi inaweza kuathiri uwezo wa kutembea. Mana nina gesi inanisumbua ni muda sasa nimeenda kupima h-pylory sina. Nimepima ultrasound bali sina shida. Ila gesi inasumbua sana hadi uwezo wa kutembea nashindwa. Nipeni maelezo na dawa tiba.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Baba wa familia ndie injini ya nyumba, Hakuna shida akila vizuri akiwa mihangaikoni, wala sio ubinafsi kama wengi wanavyodhani

    N:B: Baba wa familia anaehudumia sio aliekimbia au kukwepa majukumu Kwa tamaduni za waafrika wengi baba ndie injini ya familia, ndio maana familia nyingi sana baba akiondoka mambo yanayumba hata kula inakuwa ya shida. Injini inahitaji service, kuwekewa oili mara kwa mara kulainisha vyuma na...
  6. JamiiForums Tanzania Hakuna Watu wanapata shida kama bodaboda wa Mafinga nyakati za Usiku

    Kwema Wakuu! Nimeshawahi kuishi Mafinga mara kadhaa lakini sijawahi kuona baridi kama ya Juzi jumatatu tarehe 19. Dadeki baridi mpaka ukungu weñye barafu nyepesi ilikuwa inadondoka. Nimefika Saa nane Usiku nikitokea Dsm. Nilitamani nirudi kwèñye Basi, Aiseeh! Pale Stendi nikaona makundi mawili...
  7. JamiiForums Tanzania Huu uzi uwafikie wale matonya wote wanaopambania kupata vocha za bure

    Kama unajijua kuwa huwa unapandwa na pressure unapoona Sandakalawe basi huu uzi unakuhusu kwa asilimia 100. FACT - Ewe Matonya! Usipende vya bure tambua kuwa wenzako hizo vocha wamezitafuta kwa jasho na kufanya kazi. Note: Mjanja M1 kwasasa napatikana Shanghai nchini CHINA 🇨🇳
  8. JamiiForums Tanzania Upungufu wa funds au fedha ndiyo chanzo kikubwa cha migogoro NHIF siyo shida ya kiungozi ndani ya mfuko

    Upungufu wa fedha za kutosha NHIF ndiyo chanzo kikubwa cha migogoro NHIF , hiki ndicho husababisha Hizi sababu za kukopeshana ili kuboresha maisha ya watumishi ,ufisadi hata hizo pesa zikirudi Mfuko hauwezi kujisimamia na cha zikaisha Serikali iangalie utaaratibu wa kuongezea mfuko fedha...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Side hustle: natengeneza laki 1+ kila wiki kwa kuwauzia electronics ndogo watu wa vijijini na mikoa ya karibu, nawe unaweza

    Hii ni side hustle, sio shughuli yangu rasmi Sipo Dar lakini nipo kwenye jiji mojawapo kati ya matano, kama mnavyojua kwenye majjiji kuna utitiri wa electronics na ushindani wa hali ya juu unaofanya bei ziwe competitive. Kwenye biashara ya kudalalisha vitu, ujuzi wa vitu unavyouza ni muhimu...
  10. JamiiForums Tanzania Asiyeamini hakuna shetani ana shida ya kiakili - Je CCM huioni?

    Inaniwia vigumu sana kuona watu wenye akili ya kawaida kupinga uwepo wa shetani Ni kama vile unaamini umeme upo, unaamini kitu kinachoitwa data (MB), ila je je ushawahi kuziona mb zenyewe rangi yake? Jibu hapana lakini watu tunaamini zipo. Sasa mnashindwaje kuamini shetani yupo? MB na umeme...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wa Yanga timu mnayo kweli lakini kwanini mnaingiza mabasi uwanjani bila wachezaji na mnapitia milango isiyo rasmi, shida ni nini?

    Kwa kweli mmekamilika kweli sio utani, ila yapo mambo yanatufanya tuwe na wasiwasi wazee wa Jangwani. Timu mnayo na mnaonyesha kweli mnataka bao, ile move ya Boka hadi mtu akajifunga sio masihara, yule ni Usain Bolt kabisa. Lakini kwanini Azam jana wajifunge mabao yote matatu huku nyie...
  12. JamiiForums Tanzania Moderator Uzi wangu mlipita nao Wala haukuwa na shida yoyote

    Jana niliamdika Uzi ukihusu Ellen G white Nabii wa wasabato alisema kunakufungwa mlango wa rehema! Huu Uzi una shida ipi?
  13. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania Haijashinda Medali yoyote Olympics kwa takriban miaka 40. Shida iko wapi?

    Ikiwa Mashindano ya Olympics yamemalizika leo Agosti 11, 2024 Wawakilishi wa Tanzania katika Mashindano ya Olympics nchini Ufaransa watarejea nchini bila ushindi wa Medali yoyote Tanzania ilipeleka timu ya Wanariadha 7 kwenye Mashindano hayo Aidha mara ya mwisho Tanzania kupta Medali ya fedha...
  14. JamiiForums Tanzania Naombeni hekima zenu; Natafuta mtoto na mke wangu hajafanikiwa kubeba ujauzito

    Ndugu wana Jf natumaini mko salama ndugu zangu. Ndugu zangu katika vipindi vilivyopita ijulikane nilikua natafuta mke na Mwenyezi Mungu amenijalia nimepata mke na nimeoa. Ndugu zangu mimi na huyu mke wangu tulikua tunatafuta mtoto katika siku zake tulizo amini ni siku za hatari ila cha ajabu...
  15. JamiiForums Tanzania Wanasiasa wengi (85%)wanawaza kujinufaisha wao kwanza

    Wanasiasa wengi kipaumbele chao ni wao na familia/marafiki. Hizo zinazoitwa shida za wananchi ni gia tu ya Kula pesa/kodi za wananchi. Ndo maana Hata SGR ipe miezi 6 chali. 1. Posho/pensheni za wanasiasa ni nono, ajabu. 2. Mishahara yao ni ya juu (bila Kodi). 3. Miradi/tenda kubwa kubwa...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa nini tukikutana na mwanaume ana jina la kike unakuwa mjadala wa kitaifa?

    Mtanisamehe kwa makala ndefu ila hili inabidi leo tuliongelee. Mimi ni mmoja wa watu ambao kuna kipindi nilikuwa nashangaa nikikuta mwanaume ana jina la kike. Kyrie, Shannon, Courtney, Lindsay, Klay yote ni majina yalikuwa yananishangaza kukuta amepewa mwanaume. Nikaja kukutana na Joyce ndiyo...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Uliishije baada ya kugundua huna nyumbani tena , wala huna mtu yeyote wa kusikiliza shida zako

    Wakuu kwema. Naomba tusaidiane huu uzoefu
  18. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu nyumba yangu niliyoijenga Maramba Mawili

    Hi JF. Ndugu zangu naomba mawazo yenu. Ni hivi, kuna nyumba iko hapo Mbezi Maramba mawili naona kama nilipoteza muda na hela zangu bure coz haina faida yeyote kwangu tokea nimeijenga. Ilipokamilika nilimpa uncle wangu na wife wake wakae. Baada ya miaka 3 ndugu akajiongoza akaenda panga 2...
  19. JamiiForums Tanzania By George Ambangile:Yanga wanajua kuvumilia Shida uwanjani,Simba inatakiwa ku improve beki iwe Sharp.

    Soma Uchambuzi Mfupi na Madini ya Chambuzi lenye Ufahamu na Mpira kwa Mapana yake. Achana na hao kila siku wao hawachambui kazi kuuliza Ali kamwe yupo wapi? Mara Ubaya Ubwela imeliwa. Mara Simba Mchumba. Nini Maoni yako Somaji?
  20. JamiiForums Tanzania Shida nini Twitter inaniletea hivi?

    Hivi mbona Mimi Twitter inanailetea hivi tangia asubuhi shida nini wadau msaada maana nimejaribu Kila mbinu inagoma
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…