Mimi si mwislamu ila nataka kuwauliza swali ndugu zangu Waislamu
Kinachotakiwa kutendwa kwenye ndoa zao ili ndoa zibaki kuwa na Amani na kudumu ni nini?
Kutenda haki kwa wake hao au kuwatendea Amani?
Lalamiko ambalo huwa linasikika kwa nguvu kutoka kwa wake za Waislamu ni kutokutendewa haki...
Nimeona polisi wakikamata watu kwa kosa la kuhamasisha maandamano. Nimeona Waziri wa Mapolisi wakikemea maandamano.
Watu hawa waieleze dunia maandamano ni kosa kwa sheria ipi? Halafu acheni kupotosha watu kwamba ni vurugu, hapana kinachopangwa kufanyika ni maandamano. Hizo vurugu mnazitoa wapi...
Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria, Jaji wa Mahakama ya Rufani Winifrida Korosso, amesema kuwa sheria nyingi zilizopo nchini hazilingani na mazingira ya sasa na baadhi yake zimekuwa chanzo cha migogoro katika jamii, ikiwemo kuongeza hasira na malalamiko miongoni mwa Vijana kutokana na...
Taasisi ya urais imetoa sana kundule kwenye boliti ya wenzao lakini hakuna matokeo chanya. Je nyani haoni macho kwenye vibanzi?
Kati ya watu 70miloini hakuna anaeweza bali yeye tu? so Why!?
Mbona kama jahazi linazama mdogo mdogo, ina maana hakuna namna yoyote ya kuleta hari shwari!
Kama zipo...
Bunge la uwakilishi wa wananchi lisinge kubali kupitisha sheria ya aina hii , matokeo ya kuto kuwa na maono na kuwa na wabunge wa hovyo haya ndio matunda yake hatuna wawakilishi maana ajenda Wanazo pitisha si za wananchi na haziwahusu wananchi
TULIA ACKSON MWANSASU wewe na bunge lako ni chanzo...
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Novemba 20, 2025 akizindua Tume Huru ya Kufanya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjiifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025, Ikulu Chamwino, Dodoma, ametoa ufafanuzi kuwa Mamlaka ya kuunda tume hiyo...
Moja ya upepo ambao Tulia kausoma ni ule wa ICC.
Mambo yanazidi kuiva ni suala la uvumilivu tu wanachukua mda mlefu kufanya uchunguzi ila watanzania mtaenda kuona na kusikia mengi. Moja ya vitu mtaenda kusikia nia utajiri na hela ambazo zinamilikiwa na watz kwenye acc za nje.
Kila mahali wapo mashuhuda waliowaona na kuwasikia wauaji wakisema wazi kuwa eti walikuwa wanafanya hayo mauaji kulipiza kisadi kwa Watanganyika, kwa sababu polisi wa Tanganyika waliwaua Wazanzibari miaka ya huko nyuma.
Kama hali ni hiyo, na kama hawa watu wana chuki za kisasi kwa Watanganyika...
Watanzania tuna la kujifunza kutokana na matatizo tuliyopata, somo la kwanza ni kulaaniwa na Sheria kwa kuidharau na kujichukulia maamuzi
Matatizo tuliyokuwa nayo Serikali pamoja na Wananchi tungeyatatua kwa kufuata Sheria za nchi pamoja na za Kimataifa na kuheshimu uwepo wa Mahakama duniani...
Tetesi kuna cruser zinakamata vijana ovyo kwenye magereji na vijiwe vya boda boda kinyume cha sheria.
Nitoe wito kwa wananchi mnaweza kumalizana nao hawa ndio wauaji na watekaji tunaowatafuta. Ukiona kuna cruiser mtaani kwako haieleweki eleweki jua ndio watekaji wananchi wanapaswa kuwadhibiti...
Mkiwa na viongozi wasio na maono haya ndio madhara yake, mnapo kuwa kwenye vikao vya chama mnapitisha mambo huwa hamuwazi nje ya kikao hicho , na manapo kuwa mnapitisha sheria za hovyo pale bungeni kwa umoja na mshikamano mkubwa kabisa huwa hamuwazi nje ya pale.sasa mnatulalamikia nini huku...
Ubalozi wa Kenya jijini Dar es Salaam umeihakikishia raia wa Kenya wanaoishi nchini Tanzania kuhusu usalama wao, kufuatia machafuko yaliyotokea baada ya uchaguzi mkuu
Kupitia taarifa iliyotolewa Novemba 5, 2025, Ubalozi huo ulisema kuwa ustawi wa Wakenya walioko Tanzania unabaki kuwa kipaumbele...
Hoja za polisi za kushtumiwa kwa mauwaji na kuja na majibu ya waandamanaji sio watanzania sasa ni wa nchi gani je sheria zetu zinataka wauliwe?
Sijasikia nchi yoyote ikilalamika raia wake 1000 wameuliwa Tanzania inamaana hao wasio watanzania ni wa taifa gani ? waulizeni vizuri hao mapolisi...
Ina maana ukiwa mwanajeshi haki zako za kiraia zinaondoka? Unakuwa hauna uhuru wa kumchagua kiongozi unayemuona anafaa kwa utashi wako binafsi!
Lets say kweli wamefanya kosa, ya nini kuanza kuwasimulia mapolisi wenzio kwamba mmekamata wanajeshi, takukuru, madaktari nk!
Kwa jicho la 3, mimi...
chama
chama tawala
gani
kampeni
kampeni za uchaguzi
kisheria
kosa
kosa kisheria
kuchagua
lini
maana
mabango
mwanajeshi
sababu
sheria
uchaguzi
wanajeshi
Katika jambo ninaliliamini 100% Mapolisi wengi aina ya Muliro, Mafwele na genge lao , Huwa Elimu zao ni za kuunga unga sana, Wakiwaga chuoni Wanaishia Kuhonga na kununua Mitihani .
Unaweza jiuliza, Muliro kasema wamemkamata Niffer, lakini bado Mpaka muda huu Ndugu wa Niffer Wanazunguka Kila...
Tutaandamana kwa amani na kwa muujibu wa katiba ya nchi Askari atakaye mpiga mwananchi kwa sababu ya maandamano ni uhalifu wa kivita na sisi tutajitetea tutamfanya nyama.
Huyu mwamba anayeitwa Muliro Ukimsikiliza vizuri na kama yeye haoni shida kuhusu utekaji. Maswali yote anayoulizwa kuhusu utekaji anachukulia kama ni mzaha tu, na ni kama anatumia cheo chake kuficha uovu wa polisi wenzake na viongozi watawala.
Hajawahi kufanya kazi ambayo raia wakaisifia...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema moja ya sharti la haki za binadamu ni kutowazuia wengine kupata haki yao ya kikatiba ikiwemo kupiga kura kuchagua viongozi na watakaodanya hivyo hawatavumiliwa.
Amesema CCM inaheshimu haki za binadamu, lakini...
Donald Trump anadai idara ya ya sheria ya Marekani/Department of Justice(DoJ) imlipe $230 million kwa kadhia za uchunguzi na kesi mbalimbali zilizoendeshwa na idara hiyo dhidi yake katika miaka iliyopita, madai hayo itabidi yapitie kwa watu aliowateuwa kuongoza idara hiyo ambao wengi wao...