sheria

  1. Q

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa sheria: Je, ni kosa kupandisha bendera ya taifa nyumbani kwako?

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linamshikilia mtu mmoja anayejulikana kwa jina la Kasimu Ally Juma (34), kwa tuhuma za kupandisha bendera tano za Taifa la Tanzania kwenye shamba lake. Atashitakiwa kwa kosa gani? Wanasheria, Wajuzi. Pascal Mayalla
  2. S

    JamiiForums Tanzania Sheria ya kubinafsisha mali

    Binafsi nafikiri Sheria ya kubinafsisha mali aliyoiweke Mwalimu Nyerere iendelee kuwepo ILI wale wote watakaobainika kutumia raslimali za umma kwa faida yao binafsi mara watakapo tiwa hatiani ziweze kubinafsishwa na kutumiwa kwa manufaa ya umma. Nafikiri kuifuta kabisa hii sheria ni sawa na...
  3. JamiiForums Tanzania Itungwe sheria kuzuia uchomaji wa Taka ngumu mitaani

    Naishauri serikali kuu na zile za mitaa kutunga sheria kuzuia uchomaji wa taka ngumu mitaani. Unakuta baadhi ya mitaa kuna mashindano ya kuchoma taka ngumu. Unakuta taka zina nailoni mbali mbali na materials nyingine ambazo zinaweze kuwa na madhara ya kiafya kwa wakazi wa maeneo hayo.
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mlangarini Sekondari (Arusha) mnazuia Vyeti vya Wanafunzi kwa Sheria au Kanuni ipi?

    Mimi ni mzazi niliye Arusha, mtoto wangu amehitimu kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Mlangarini, iliyopo Arumeru. Nimejikuta kwenye hali ya sintofahamu na masikitiko makubwa kuhusu jambo lililotokea baada ya watoto kumaliza masomo yao. Kinachonisikitisha ni kwamba, kuna wanafunzi 21 tu...
  5. JamiiForums Tanzania LHRC: Kurejea kwa kasi kwa matukio ya utekaji ni tishio kwa uhuru wa raia na Utawala wa Sheria nchini

    LHRC: KUREJEA KWA KASI KWA MATUKIO YA UTEKAJI NI TISHIO KWA UHURU WA RAIA NA UTAWALA WA SHERIA NCHINI Tarehe 22 Mei 2026, Dar es Salaam Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinalaani na kupinga vikali kurejea kwa kasi matukio yenye sura ya utekaji nchini. Katika siku za hivi karibuni...
  6. JamiiForums Tanzania Shigongo: Biashara za Wazawa Kariakoo zinafungwa, tutunge sheria Biashara chini ya Bilioni 50 isifanywe na Wageni

    Katika kikao cha Bunge kilichofanyika leo Mei 22, 2026, Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, ametoa mchango wake kwenye Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara kwa mwaka wa fedha 2025/2026 akiibua kilio cha wafanyabiashara wazawa wa soko kuu la Kariakoo jijini Dar es Salaam...
  7. JamiiForums Tanzania Wabunge wetu, hasa Msukuma, mmeiumbua serikali kwa kuvunja sheria ya ROAD FUND

    Inatia moyo kwa wabunge wetu kwa kuikemea serikali kwa kuvunja sheria. Kisheria fedha za ROAD FUND zinalindwa kutotumika kwingine kokote, ila ujenzi na ukarabati wa barabara nchini. Sasa leo kuna wajanja serikalini wamevunja sheria. Kwanza tutaomba watajwe hao wahusika serikalini. Pili...
  8. P

    JamiiForums Tanzania CCM na utii wa sheria

    Siku za hivi karibuni nimemsikia msajili msaidizi wa vyama vya siasa ndugu Sisty Nyahoza akikiri hadharani kuwa pamoja na ukubwa wa CCM lakini wamekuwa wanatii na kuwajibika kwa makosa mbalimbali yanayofanywa na wanachama wake Si mara moja au mbili wamekuwa wakiwaandikia barua za onyo na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Serikali Imesema inatekeleza Sheria ya Afya ya Jamii ambayo inamtaka mtoa maudhui, mada au matangazo yanayohusu afya kupata kibali

    Serikali Imesema inatekeleza Sheria ya Afya ya Jamii ya Mwaka 2009 Kifungu Na.173 (1), ambacho kinamtaka mtoa maudhui, mada au matangazo yanayohusu afya ya jamii kupata kibali kutoka kwa waziri wa afya au ofisa aliyeidhinishwa na waziri. Kauli hiyo imeolewa bungeni leo Na Naibu Waziri wa Afya...
  10. JamiiForums Tanzania USILOJUA kuhusu mpango wa kufuta Sheria ya kutaifisha Mali

    Dunia yote, ukifanya uhalifu, au kutumia gari au kitendea kazi kufanya uhalifu, ili kukomesha tabia za kihalifu, matunda ya uhalifu au kitendea kazi huwa vinataifishwa. Jiulize, kwa nini PM amekuja leo ati ametumwa kuwa sheria ya kutaifisha mali ifutwe? Awamu hii wameiba sana, wanaogopa wao au...
  11. JamiiForums Tanzania Chadema na Wajibu wa Kuheshimu Amani na Sheria

    Watanzania wengi tunaendelea kuamini kuwa siasa za amani mshikamano na kuheshimu sheria ndizo msingi wa ustawi wa taifa letu. Ndiyo maana kumekuwa na wito mkubwa kwa vyama vya siasa hususan Chama cha Demokrasia na Maendeleo kuhakikisha kuwa shughuli zao za kisiasa hazigeuki chanzo cha...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Serikali iunde sheria kwa makampuni ya ulinzi Tanzania

    Wamiliki wa makampuni ya ulinzi binafsi wanapaswa kuwasilisha kilio chao kwa njia ya kitaalamu, kisheria na yenye hoja nzito kuhusu umuhimu wa kutungwa kwa sheria maalum ya kusimamia sekta hiyo pamoja na madhara ya kucheleweshwa kwa muswada husika. Wanapaswa kueleza kuwa kucheleweshwa kwa...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Sheria hairuhusu kutoa Nywila yako hata kwa mpenzi wako

    Mhadhiri Msaidizi wa chuo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (COICT), Merina Lumbalo, anasema kisheria nywila ni ya mtu mmoja na haishauriwi kushirikishwa, hata kwa mtu wa karibu. Ameeleza kuwa simu au kompyuta inaweza kuwa na taarifa binafsi au za kazi, hivyo kutoa nywila kunaweza...
  14. JamiiForums Tanzania Vijana wasio na adabu wachapwe bakora kwa Mujibu wa Sheria na sio utashi binafsi wa viongozi

    Hamjambo! 1. Kuwanyoosha vijana ni jukumu la wazazi, walezi na Mahakama. 2. Msingi Mkuu wa Malezi na kunyoosha Tabia ni kwa Viongozi na wazazi ambao hapa watakuwa role model kwa vijana wao 3. Kama Wazazi na viongozi wanafanya mambo yasiyo na uadilifu wanapoteza haki ya kuwanyooshea vidole...
  15. JamiiForums Tanzania Hii ni sheria kandamizi kwa Mwanamke

    Tuangalie kwenye Kitabu cha Sahih Bukhari kipengere Kitabu cha Ndoa Hadithi ya Aisha (r.a) kuwa mtu Fulani alimwacha mkewe talaka tatu, yule mwanamke akaolewa na mwanamme mwingine ambaye vile vile alimuacha. Mtume (s.a.w) akaulizwa kama mwanamke huyu anaweza au hawezi kuolewa na mume wake wa...
  16. JamiiForums Tanzania Wito kwa serikali kuhusu uzingatiaji wa sheria ya takwimu (sura ya 351

    Kwa kuzingatia masharti ya Kifungu cha 37 cha Sheria ya Takwimu, kinachokataza utoaji na upotoshaji wa takwimu rasmi kwa nia ya kuwahadaa wananchi, Serikali inapaswa kuimarisha usimamizi kwa wanasiasa na viongozi wa kijamii wanaotoa takwimu bila weledi. Nukuu ifuatayo inapaswa kuwa muongozo...
  17. JamiiForums Tanzania Content Creators wawekewe sheria hii

    Leo kila mtu ana simu, data na account ya TikTok, YouTube, Instagram au Facebook. Hilo ni jambo zuri kwa uhuru wa taarifa. Lakini pia limeleta tatizo kubwa: Watu wengi wanafundisha mambo nyeti bila ujuzi wowote. Tunashuhudia: Watu wanafundisha uwekezaji wa uongo Watu wanashauri dawa bila...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Madeleka: Tume iliundwa kwa mujibu wa sheria, ilipaswa yote wanayofanya yawe kwa mujibu wa sheria

    Wakili Peter Madelekea ameyasema hayo leo Aprili 27, 2026 wakati akichambua ripoti ya Jaji Chande kuhusu matukio yaliyotokea kabla na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025.
  19. JamiiForums Tanzania Sheria ya kunyongwa mpaka kifo na kifungo zaidi ya miaka 20 visiwepo

    Habari Tanzania !. Nawaomba watanzania wenzangu tuamue kwa pamoja kuwa katika Sheria zetu hasa upande wa Jinai; tuondoe vifungo vya zaidi ya miaka 20 pamoja na kufuta kifungo cha maisha jela au kunyongwa mpaka kufa. Uhalisia ni kuwa; hakuna aliyemkamilifu isipokuwa ni Mungu pekee. Ikumbukwe...
  20. O

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwa Ripoti hii ya Chande, Je, Samia ataweza kuukwepa mkono wa Sheria wa ICC?

    Wachache wenye uelewa hatukutegemea jambo jipya kutoka kwa Tume ya Jaji Chande. Hata hivyo, ukifuatilia kwa makini uwasilishaji wa ripoti hii, unaonekana kama utetezi kwa Samia na serikali yake mbele ya jumuiya ya kimataifa. Kwa wataalamu wa sheria, je, ripoti hii inamaanisha kwamba Samia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…