sheria

  1. JamiiForums Tanzania Umekuwa ukisumbuliwa sana na mahusiano basi fata sheria hizi sheria ya 5 itakushangaza

    DATING RULE 01. Usimpe au kumfanyia mwanamke wako mambo makubwa ambayo hauwezi kumfanyia maisha yake yote au ku maintain moja kwa moja. Fanya yaliyo ndani ya uwezo wako utakayoweza kufanya hata ukimuoa. DATING RULE NUMBER 02. Mchumba akikukubali na akawa anakupenda kweli, kazi yake ni...
  2. JamiiForums Tanzania Rais wa Korea Kusini atangaza utawala wa Kijeshi kuanzia leo Desemba 3, 2024. Avunja Bunge, Serikali inapingwa na wananchi

    Muda mchache uliopita Rais wa Korea kusini ametangaza Hali ya hatari na kusema kuanzia Leo serikali inaongozwa chini ya sheria ya kijeshi, amevunjwa Bunge , vyombo vyote vya habari vipo chini ya serikali, hakuna maandamano Wala shughuli zozote za kisiasa. Inasemekana wabunge wa upinzani ambao...
  3. JamiiForums Tanzania Kusoma Masters ya Sheria Chuo Kikuu Huria (OUT), Je, GPA inapatikana?

    Habari za muda ndugu zangu. Binafsi nimewiwa sana kujiendeleza kwa kusoma Masters katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (Open University) kwani mbali na ubora wa elimu inayopatikana napo na kukifanya kiwe Chuo Kikuu cha pili Tanzania kwa ubora nimeamua kupapendekeza hapo kama chaguo langu la...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini sheria inayolinda misafara isi rekebishwe

    Tupo katika dunia ambayo kwa sasa maendeleo ya binadamu, miundo mbinu na ya sayansi yamekuwa yakionekana kuwanufaisha watu hata kiuchumi. Hapa arusha msafara wa viongozi ni kero kwa wataftaji, mnasimamishwa saa 1 kabla ya msafara, kwann wasisimaishe magari na shuguli za barabarani dka 10 tu...
  5. JamiiForums Tanzania Uchaguzi haukuwa wa haki kutokana na matukio ya ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, pamoja na ukiukwaji wa sheria za uchaguzi

    Katika uhalisia ndani ya uchaguzi kulikuwa na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu pamoja na ukiukwaji wa sheria za uchaguzi ikiwemo kuwaandikisha watoto chini ya miaka 18 kinyume cha sheria ikiwemo wananfunzi, ikiwemo wasimamizi wa uchaguzi kutofuata sheria za uchaguzi Kwenye baadhi ya vituo...
  6. JamiiForums Tanzania LGE2024 Freeman Mbowe akamatwa na Jeshi la Polisi akielekea Mbozi mkoani Songwe

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mheshimiwa Freeman Mbowe amekamatwa na Jeshi la Polisi katika mapori ya HALUNGU akiwa njiani anaelekea Mbozi kwenye Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa baada ya kutoka Mlowo ambapo mkutano wale ulizuiwa na Jeshi la Polisi kwa Kutawanya Watu kwa mabomu ya machozi...
  7. JamiiForums Tanzania LGE2024 ACT Wazalendo: Khamis Mbeto Khamis hana haki ya kutupangia njia ya kutumia kupinga Sheria mbovu

    MBETO HANA HAKI YA KUTUPANGIA, NJIA YA KUTUMIA KUPINGA SHERIA MBOVU. Ndugu Wanahabari, awali ya yote nichukue fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu, kwa kutujaalia uhai na uzima, na ukimya katika nchi hii, pia kuwashukuru nyinyi wanahabari, kwa kuitikia wito wetu, kila pale ambapo tumewaita kuja...
  8. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Waziri Mkuu: Aliechangisha milioni 37 za maafa asidhuriwe na sheria serikali imuajiri kwenye kamati ya maafa ana uwezo wa kuhamasisha

    Leo Waziri mkuu katembelea eneo ambalo ajali imetokea huko Kariakoo na baadae akateta na wananchi na viongozi mbalimbali wa mkoa na serikali akiwemo waziri alie chini yake William Lukuvi. Lakini ukweli wabakia kuwa ni uleule kwamba bado wapo watu wamekwama huko chini ya kifusi na hatima yao ya...
  9. JamiiForums Tanzania TBC kwa ili la Kariakoo sioni sababu ya kuundwa sheria ya kuwatambua kama taasisi itakayo jitegemea

    Serikali kupitia Bunge wapo katika mchakato wa kuifanya Shiriki la Utangazji Tbc Kuwa Taasisi itakayojitegemea na kufanya Biashara, Kwa Mujibu Sheria ya Sasa Tbc inatamburika kama Shirika Ła Seriali linatoa huduma, ambapo linategemea kupata Ruzuku Serikalini Kwanini Nasema Tbc hawafai kwenda...
  10. JamiiForums Tanzania Ifikie kipindi sheria za nchi yetu iwe na madaraja ya kesi za ubakaji

    Ni kutokana na kukithiri kwa biashara za ngono, ulevi, utumiaji wa madawa ya kulevya kwa upande akina dada, Sasa ni wakati sahihi kwa sheria za nchi yetu kubadilika., Hasa pale linapokuja suala la matukio ya kingono na visa vyake. Nchi yetu kwa sasa imeingia katika wimbi kubwa la...
  11. JamiiForums Tanzania Kuepusha majengo kuanguka hivyo; Itungwe Sheria ya nyumba na kanuni za ujenzi

    Sheria zilizopo za maendeleo ya miji si mahususi kama Kanuni za Ujenzi, Wakati sheria zilizopo zinahitaji tu jengo kupewa cheti cha kufuata taratibu baada ya kukamilika, Kanuni zinataka jengo lipate uthibitisho kama linastahili kwa makazi ya binadamu au la. Sheria zilizopo ambazo ni pamoja na...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: sheria na utawala bora ukivurugwa hakuna yeyote atakayesalimika

    Waliofariki kwenye jengo lililoporomoka Kariakoo, hawakuwa kwenye maandamano , lakini katika maeneo yao ambayo standard ya ujenzi imekuwa compromised ! My take: Ni ngumu kuona connection ya andiko la Lema huko X , kati ya haya yanayotokea Kariakoo na utawala bora, utawala usio fuata sheria...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Je tunatakiwa kufuata sheria au maamuzi ya mtu fulani?

    Sheria, Kanuni na taratibu zimetungwa kwa ajili ya chaguzi za Serikali za Mitta. Iweje leo tunaziacha na kufuata uamuzi wa mtu binafsi. Kama mgombea kakosea sheria, kanuni na taratibu kwa nini asiondolewe kwenye uteuzi. Nashauri tufuate sheria, kanuni na taratibu. Tusiwe na double standards.
  14. JamiiForums Tanzania Sheria iliyopitishwa na bunge inayowaruhusu maafisa usalama kutenda jinai na wasihojiwe ndiyo inatuletea matukio haya ya watu kuuawa na kutekwa.

    Very painful Karne ya ishirini na moja unaruhusu binadamu mwenziyo kuuawa na kuteswa kwa kisingizio Cha kutekeleza majukumu. Nani asiyejua Kuna bahati mbaya na ndiyo maana kwenye makosa ya mauaji yapo ya kukusudia na Yale ya kutokusudia. Sasa inakuwaje bunge letu, Baraza la mawaziri pamoja na...
  15. JamiiForums Tanzania Sheria ambazo hazizungumzwi lakini zipo

    Unapokuwa na kampani ya watu katika mazungumzo yenu,endapo utapigiwa simu basi usiongee na simu kwa mda mrefu Unapoenda kumtembelea mtu, baada ya kitambo kidogo ukisikia mwenyeji wako anasema anajisikia kuchoka, basi ujiongeze mda wa kuondoka umefika Mtoto mdogo anapokuonyesha kitu basi...
  16. JamiiForums Tanzania Tetesi: Sheria mpya: Mwisho polisi kuvaa kiraia wakiwa kazini

    Kutokana na matukio yanayo husisha watu wenye silaha na vifaa vya kijeshi/police kuhusika na matukio ya mauaji pamoja na utekaji.. kuna uwezekano mkubwa serikali kuja na sheria inayo zuia police kuvaa kiraia wanapo kuwa kazini. Mdai mmoja anasema hii ki kutikana na serikali kuchafuliwa na pia...
  17. JamiiForums Tanzania SI KWELI Meta yatangaza Mabadiliko ya Sera kwenye Mtandao wa WhatsApp kwa Mawasiliano Binafsi pamoja na Makundi Sogozi kuanzia Machi 22, 2024

  18. JamiiForums Tanzania Serikali ya Kiislamu ya Iraq yapendekeza sheria Watoto Miaka tisa kuolewa

    Sheria mpya inayopendekezwa nchini Iraq inayolenga kupunguza umri wa ridhaa ya Ndoa kwa Wanawake hadi miaka tisa jambo linalolenga kuruhusu Wanaume Nchini humo kuoa Wanawake wakiwa na Umri mdogo, imepingwa vikali na Wanaharakati Nchini humo wakidai kuwa ni yenye kuhalalisha udhalilishaji wa...
  19. JamiiForums Tanzania Sababu kubwa inayomfanya mwanamke aonekane kama victim mbele ya sheria ni ipi?

    Ukiachana na asili ya dunia kumuonea huruma mwanamke, je, ni ipi sababu ya msingi inayopelekea mwanamke aonekane kama mhanga pale anaposimama kwenye vyombo vya sheria? Mwanamke na mwanaume ambao ni wanandoa wanapigana-ugomvi wa kawaida, baada ya kufika kwenye chombo cha sheria ghafla chombo cha...
  20. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mbeya: Jeshi la Polisi lawataka Wananchi, Wagombea kutii Sheria bila shuruti ili kuepuka kuchukuliwa hatua za kisheria

    Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, Jeshi la Polisi linawataka wananchi, wagombea na wafuasi wa vyama vya siasa kutii sheria bila shuruti ili kuepuka kuchukuliwa hatua za kisheria ikiwemo kukamatwa na kufikishwa mahakamani. Aidha, Jeshi la Polisi Mkoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…