sheria

  1. JamiiForums Tanzania Je, Mahakama Yetu Inashindwa Kufanya Tafsiri Sahihi ya Sheria au Inatumika Kisiasa?

    Kesi ya Tundu Lissu inaendeshwa kihuni, bila kuzingatia principles of fair trial. Badala ya mahakama kuwa independent interpreter of the law, imejigeuza political tool. Mawakili wa Jamhuri wanatumia vifungu kama s.89 & 384 Penal Code ambavyo havihusiani na hoja ya msingi. Huu ni ukiukwaji wa...
  2. JamiiForums Tanzania Wizara ya Katiba na Sheria Yahudumia 3,000 Msaada wa Kisheria Sabasaba

    Wizara ya Katiba na Sheria Yahudumia 3,000 Msaada wa Kisheria Sabasaba Watu zaidi ya 3,000 wamepatiwa msaada wa kisheria na Wizara ya Katiba na Sheria, ndani ya siku 13 kwenye Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF), Sabasaba, yanayoendelea. Kauli hiyo imetolewa na...
  3. JamiiForums Tanzania Tetesi: Makosa 10 Lissu Mahakamani Jana, Apuyanga Sheria, Ni Kheri Alivyojivua Uwakili kwa Muda!!

    Makosa 10 Lissu Mahakamani Jana, Apuyanga Sheria, Ni Kheri Alivyojivua Uwakili kwa Muda!! Na Mwandishi Wetu Kiongozi wa Chadema Tundu Lissu jana ameendelea kufanya makosa ya msingi mahakamani ambayo yataendelea “kumcost” kisheria na hata kisiasa. Twende moja kwa moja sasa. Kuendelea...
  4. JamiiForums Tanzania Wakili wa Serikali hana mihemko na amevimeza vifungu vya Sheria

    Leo tumejionea utofauti kati ya wapiga kelele na mawakili tulivu wa Serikali ambao wamevisoma vizuri vifungu vya sheria.
  5. JamiiForums Tanzania Nahisi hakimu wa kesi ya Lissu ni Layman katika sheria hana anachoelewa je kwanini Lissu asimkatae maana hajui anachofanya.

    This guy is layman kwanini Chadema hawalioni hili swala.?
  6. JamiiForums Tanzania Je ni kweli kwamba Wale waliosilimu na kutaka kurejea katika imani yao ya asili lazima wauawe kwa mujibu wa sheria ya Kiislamu?

    hamis77
  7. JamiiForums Tanzania Nahitaji Scholarship ya kusoma SHAHADA YA SHERIA (LL.B) Nje ya Nchi -Naomba Ushauri wa Wadau

    Habari za wakati huu wapendwa wanajukwaa, Natumaini wote mko salama. Kwa heshima na unyenyekevu, naomba msaada wa ushauri, taarifa au hata fursa yoyote kuhusu scholarships (ufadhili wa masomo) zinazopatikana kwa ajili ya kusomea Shahada ya Sheria (Bachelor of Laws – LL.B) nje ya nchi. Nina...
  8. JamiiForums Tanzania Wadau wajuvi wa sheria hivi polis wa Tanzania wana operate kwa kutumia sheria zipi zinazobagua yupi akamatwe na kupewa mashitaka?

    - vijana mbalimbali wa ccm pamoja na kaka yao makala wameonekana wazi wakitoa kauli za uchochez . Mfano👇 1. Mwenyekiti wa uvccm alitamka kuwapoteza wapinzani na kwamba polis wasiwatafute. Polis kimyaa!! 2. Kuna wana uvccm walionekana kwenye video wakiimba wapinzani wakifa tutawatupa kagera wawe...
  9. JamiiForums Tanzania NIKIWA RAISI NTAWEKA SHERIA MWANAUME ATAKAE OA SINGLE MOTHER AKATWE KICHWA

    Shalom shalom Niende kwenye mada Moja Kwa Moja Najua wengi watanishangaa lakin kwa mustakabali wa maendeleo wa Taifa lolote lile vijana ndo Kila kitu hasa wanaume hivo kuwatoa katika wimbi la stress zisizo na kichwa wala miguu ntaweka sheria kuwa kijana yeyote under 60 age of years hakuna kuoa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo Zito na ACT kushinikiza kubadili sheria na kanuni za uchaguzi kwao siyo issue, issue ni kulinda kura?

    Tumjadili Zitto, kweli huyu ana akili timamu? Kama ana akili timamu basi amekula kitu kutoka CCM Soma pia: Pre GE2025 - Je, ACT Wazalendo watakubali kushinikiza maboresho ya sheria ya uchaguzi kupitia msimamo wa Chadema?
  11. JamiiForums Tanzania Mali: Assimi Goïta atangaza sheria inayompa mamlaka bila kikomo

    Mkuu wa utawala wa ijeshi nchini Mali Assimi Goïta siku ya Alhamisi ameidhinisha sheria inayompa mamlaka ya miaka mitano ya urais, ambayo yanaweza kufanyiwa upya "mara nyingi inavyohitajika" na bila uchaguzi. Mkuu wa serikali ya Mali amejipa mamlaka ya miaka mitano ya urais, ambayo yanaweza...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwijaku: Nikipita kwenye ubunge, sikosi nafasi ya unaibu waziri wa Katiba na Sheria

    Mtangazaji na mtia nia ya ubunge Mwemba Burton (Mwijaku) amefunguka kuwa kwa elimu yake aliyonayo na endapo akapata bahati ya kuingia bungeni basi hawezi kukosa unaibu Wazari hususani Naibu wa Katiba na Sheria...
  13. JamiiForums Tanzania Kifo cha DIOGO JOTA kuleta Sheria mpya TFF

    Habari waungwana, Napenda kutoa pole kwa wapenzi wote wa soka ulimwenguni ( hasa familia na klabu yake) kwa kuondokewa na kipenzi chao. (Mwenyezi mungu ampe pumnziko la milele - RIP). Kama mdau nimeona Kuna mambo ya kupitia kuona ni changamoto gani walizopitia/wanazopitia "familia" za wachezaji...
  14. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia, Nakushauri (Mimi kama Mwana CCM Mwenzako) tuahirishe Uchaguzi ili Tufanye Mabadiliko ya Katiba na Sheria

    Kama uchaguzi utafanyika hiyo Mwezi Oktoba,madhara ya kisiasa,kiuchumi na kidiplomasia yatatokea kama ifuatavyo; 1. Mvurugano ndani ya CCM utakuwa wa wazi na mkubwa sana, 2. Uhasama baina ya vyama vya upinzani na CCM utaongezeka, 3.Uzalishaji wa mali ndani ya nchi utazorota na huduma kwa umma...
  15. JamiiForums Tanzania Esta Bulaya atahudhuria kikao Cha kuvunja bunge August 3 kama Mbunge wa chama Gani?

    Wakuu ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni. Taifa letu Sasa limekuwa kituko tena kituko haswa kwa haya yanayoendelea. Sasa huyu Esta Bulaya atahudhuria kikao Cha kuvunja bunge August 3 kama mwanachama wa chama Gani? Haya ni maajabu.
  16. JamiiForums Tanzania Zitto acha kupotosha umma kura hailindwi kwa maneno yako bali kura inalindwa na sheria zinazopiganiwa hivi sasa

    Kiongozi mstaafu wa ACT wazalendo abazunguka mikoa yote tanzania na kuhadaa umma kuwa october wapige kura na kwamba kura hizo zutalindwa baadhi ya wadau wamemuuliza ni mbinu gani atatumia kulinda kura swali hilo analikwepa! Sasa Zitto kabwe maoni yangu ni kwamba kura hailindwi kwa mbinu...
  17. JamiiForums Tanzania DPP akikaa Mwaka mzima au hata miwili hajaamua kuhusu hii Kesi ya Uhaini, Ni sawa tuu? Kuna Sheria inambana.?

    Maana jana Hakimu Mkazi kasema hakuna sheria inayoipa nguvu mahakama ya kumamuru DPP atoe maamuzi kuhusu hii Kesi. Sasa mimi nauliza Wanasheria Ukomo upo kisheria?, au hilo file linaweza kukaa kwa DPP hata Miaka 2, 3 hadi 5 bila kufanyiwa maamuzi.?? Kama ni hivyo mfumo wetu wa utoaji haki una...
  18. JamiiForums Tanzania Wabunge waondolewe jukumu la kutunga sheria - DP World & Madini wameua kisheria

    Kwa yaliyotokea Bunge linalomaliza muda wake kwa kupitisha Sheria ya kuuza rasilimali za Taifa kwa wageni (DP World, Madini na mbugan/misitu). Nadhan wabunge wabaki na jukumu la kuitetea Serikali tu linawatosha. Wakimaliza walipwe pensheni Hata bilioni 2 wawaze mengine
  19. B

    JamiiForums Tanzania Je kuoa mwanamke aliyesoma sheria linaweza kuniletea madhara siku Za mbeleni?

    Wakuu, tupeane uzoefu kwa walio wahi kuwa kwenye mahusiano ya muda mrefu na wanawake waliosoma sheria Mapungufu yao yapo wapi🤔 Je mwanamke akipata kazi hawezi kunisaliti na kutaka wenye elimu zaidi phds na maboss? Vipi kuhusu ujuaji ndani ya family? Vipi ikitokea nimetumia mabavu na ukali...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje kwa wabunge wanapohama vyama vyao kipindi hichi?

    Ester Bulaya atimkia CCM, kuchukua fomu kugombea Bunda Mbunge Kaboyoka: Nimekuja ACT Wazalendo na watu, tutaishangaza dunia Oktoba 2025. Jee ubunge wao unakoma na posho na stahiki zake zote zinapotea?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…