sheria

  1. JamiiForums Tanzania Kuwe na somo la katiba na sheria za nchi kuanzia kidato cha kwanza hadi chuo kikuu

    Wakuu mimi nashauri tui"shape" vizuri vizazi vijavyo vya JMT kwa kuwafundisha katiba na sheria za nchi na umuhimu wake. Hii itawasaidia watoto kuelewa vizuri hata wakiwa watu wazima, mithali inatufundisha hivyo. (A) Itawasaidia watoto wetu kuelewa: 1.wakati wa kusema mambo fulani yahusuyo...
  2. JamiiForums Tanzania Kutoka Bungeni: Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Vyama vya Siasa wapitishwa kuwa Sheria

    Spika Ndugai ameipongeza Serikali kwa kazi nzuri na Muswada umepita kwa kura za Ndiyo ====== BAADHI YA NUKUU (KUTOKA UPINZANI) Kambi ya rasmi ya upinzani bungeni imekosoa muswada wa marekebisho ya sheria ya vyama vya siasa wa mwaka 2018 ikisema ni uonevu mkubwa dhidi ya vyama hivyo...
  3. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 2018

    Kwanini tunajali kuhusu marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa? 1: Marekebisho yanampa Msajili mamlaka kubwa isiyo na mipaka. Kimsingi, marekebisho yanayopendekezwa hayatoi fursa ya ushindani huru kwenye jukwaa la kisiasa. Msajili anateuliwa na Rais, ambaye ni mwenyekiA wa chama kimoja cha...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Umoja wa vyama 10 vya upinzani nchini Tanzania vimefungua kesi Mahakamani Kuu kupinga muswada wa sheria ya vyama vya siasa

    Viongozi waandamizi wa vyama mbalimbali vya upinzani leo watazungumza na waandishi wa habari. Watazungumzia maazimio ya #Azimio la Zanzibar. Muda: Saa tano kamili asubuhi Eneo: Makao Makuu ya CHAUMMA, Makumbusho, Dar es salaam. ====== UPDATES; Viongozi Waandamizi wa Vyama mbalimbali vya...
  5. JamiiForums Tanzania Tamko la Marekani kuhusu hali ya kisiasa, uminywaji wa sheria Tanzania

    U.S. Embassy Tanzania Kuzorotoa Kwa Haki Za Kiraia Na Haki Za Binadamu Tanzania Serikali ya Marekani imesikitishwa sana na matukio ya mashambulizi yanayoshamiri na hatua za kisheria zinazochukuliwa na serikali ya Tanzania, ambazo zinakiuka uhuru wa raia na haki za binadamu, na zinazojenga...
  6. JamiiForums Tanzania Itungwe sheria wanaume waende kliniki

    BAADHI ya wakazi wa kijiji cha Muhalala katika Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni mkoani Singida wameiomba serikali kutunga sheria kali itakayowadhibiti wanaume wanaokataa kuambatana na wake zao kwenda kliniki wakati wenzi wao hao wakiwa wajawazito. Rai hiyo imetolewa na wakazi hao wakati timu ya...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Mahakama yamuumbua waziri Magufuli na sheria zake za uongo

    Katika siku za hivi karibuni umeibuka mgogoro mkubwa wa kijamii hapa nchini uliosababishwa na maamuzi ya kibabe ya Mhe John Magufuli kuhusiana na malori na mabasi, hivi sasa mgogoro huo unapelekea kuathiri vibaya uchumi wa nchi na kusababisha mfumuko wa bei na kuathiri ajira za wananchi wengi...
  8. JamiiForums Tanzania Kama ulikuwa hujui hizi ndio sheria 10 za kufanya mapenzi kwa baadhi ya nchi

    1.Usaliti nchini China inaruhusiwa kwa mwanamke aliyesalitiwa na mume wake kumuua mume wake,lakini sharti amuue kwa mkono wake 2.Kwa sheria za Nervada ni kosa kubwa sana kisheria kama utakutwa una urembo wowote katika uume wako(mwanaume) 3.In Bahrain,daktari wa kiume anaruhusiwa kumtibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…