Buna shimeji (Hypsizygus tessellatus) is an edible mushroom native to East Asia. It is cultivated locally in temperate climates in Europe, North America and Australia and sold fresh in super markets. In nature, shimeji are gilled mushrooms that grow on wood. Most often the mushroom is found on beech trees, hence the common name, beech mushroom. They are often small and thin in appearance and popular in many nations across the world.Two variations are known:
Buna-shimeji (ja:ブナシメジ), Hypsizigus tessellatus, (Brown Beech Mushroom , Beech Mushroom, BeechBrown Clamshell Mushroom);
Bunapi-shimeji (ja:ブナピー), (White Beech Mushroom, White Clamshell Mushroom); bunapi was selected from buna-shimeji and registered by Hokto Corporation.
Yaani mimi nimekuja kusalimia ukweni baada ya nyie shemeji zangu kunichinjia Mbuzi au Ng'ombe ndiyo kwanza mnanikaribisha na ugali wa dona na Nsasa hii ni kweli jamani mbona yule shemeji yenu mwingine akija hapo kwenu mnamchnjia Mbuzi wawili na inakuwa na sherehe kabisa au kwasababu ni msukuma...
Tayari nimeshaharibu kwa dada yenu.
Mhehe.
Sasa mimi na nyie dugu tayari.
Hii ni baada ya wamatengo wa songea na waluguru wa Morogoro.
Naam, zaeni mkaongezeke.
Reje kichwa cha haba ri hapo juu. Huyu mke wa binamu yangu alitaka kuniharibia ndoa yangu ila kilicho mkuta haamini.
Binafsi kabla sijaoa hakuna nimesha date na wanawake wengi sana walio nijengea uwezo wa kuwamudu wanawake na kujua jinsi gani ya kudili nao.
Hivyo katika hizo harakati zote...
Habarini wana jukwaa!!! Tujikumbushe tu oktoba hakuna uchaguzi utayeyuka shwaaa🤓
Nina shemeji yangu wa miaka ishirini ambaye yuko chuo cha uuguzi likizo hii yupo kwangu
Anapenda mitandao ya kijamii balaa hasa hii ya kuitwa Tiktok, toka likizo ianze dogo kawa mtu wa kuingia live...
Clouds Media wameharibu siku yangu mapema sana leo majira ya saa 0600Hrs nikiwa nimelala nawaza nikapige mishe wapi za kuniingizia chochote maana kwa leo nimeamka sina ramani yoyote, sasa nikiwa nasikiliza radio iliyokua imewashwa sebuleni kwa sauti ambayo kila aliechumbani anaweza kuiskia ndo...
Kwanza sipo hapa kukubeza au kukutukana bali kukumbushana kama wanaume Tegemewa wa leo na kesho pia nataka kujua hasa uwezo wako wa akili upo kiasi gani kichwani mwako!
Ni kweli una elimu Ni kweli mfumo wetu wa Elimu una mjenga msomi kuwa tegemezi wa ajira tu hilo sipingi lakini bado haiindoi...
Huyu dogo ana 30s nashangaa kwann Hawa watoto wanaishi kama digidigi.
Ni wawili hawana kazi mmoja ana 29 na kaakaaake na 33. Wanaishi kwa dadaayao ywaninkwangu. Huwa nampelekeanmoto da da yao na wanasikia.
Hikinkizaz Cha kijinga sana. Unaona dadaako anwliwa na unakaa hapohapo.
Mmoja...
Yaani kila nikimtazama labda nitaona kitu spesho juu yake lakini wapi.
Najiuliza maswali mengi hizi pesa zilizomwagwa hapa mbona haziendani na mwomekano yani apiarensi ya shem wetu?
Kwakweli najifariji moyoni najisemea labda ndio wale wa "usimuone hivyo huyo .....".
Yaani kwa apiarensi huku...
Habari za muda mrefu wana jukwaa. Iko hivi nina rafiki yangu yeye ana mtoto mmoja yaani single mum, sasa ana mwanaume wake. Huyo mwanaume wake kipindi wanaanza mahusiano hata mimi nilikuwa nawaona mpaka sasa wamefikia kama miaka kadhaa ya mahusiano yao.
Huyu mwanaume siyo baba wa mtoto wake...
Ipo hivi.
Hizi njegere nimezibandika kuchemsha tangu saa 6 na nusu hadi saa 8 kamili, ni ngumu hazilainiki.
Huyu shemeji yenu hapendi njegere ngumu, sikuwa na jinsi nimeunga hivyo hivyo nikamtengea ale, nipo mahali nimekaa nasubiri bomu lilipuke maana najua atafoka hadi kesho.
Msaada tafadhali...
Halafu ilikuwaje katika Harusi yako ukanisahau kabisa Kunialika Mimi Kaka yako kutoka Mkoani Kwetu Mara kwa Wababe?
ANGALIZO
Tafadhali ukijijua Wewe ni Mhaya, Mnyaturu, Mrangi, Mnyiramba, Muha, Mnyamwezi na Mkara kaa mbali na huu Uzi Okay?
Wakuu jana nimefika hapa kwa dada yangu ambaye ameolewa nikitokea kwetu huko mikoani. Kusema kweli ujio wangu uliwafurahisha hasa shemeji yangu ambaye kila siku alikuwa analalamika kwa Nini siwatembelei. Tuliongea mambo mengi sana hasa kuhusu maisha.
Basi, baada ya maongezi nikaonyeshwa chumba...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,Una ndugu yako ambaye kaoa mke kimeo, Anamuibia pesa ndugu yako anamsaliti ndugu yako na ameapa kamwe hatazaa na huyo ndugu yako (yeye ana watoto wawili aliozaa kabla ya kuolewa)
Lakini Kila mkimwambia ndugu yenu haelewi na anaenda kumwambia mkewe,Inakuwa...
Wakuu kwema
Hizi mvua mvua zinazonyesha hapa Bariadi leo nimeshuhudia graduates anayeishi kwa dada yake akipewa maelekezo na shemeji yake (mme wake na dada yake), ahamishe trip nne za mchanga (matipa/malori manne) kutoa nje kifusi cha mchanga kuingiza uwani (ndani ya fensi/ uzio).
Sababu...
Wakuu tujadiliane hili kidogo
Hivi karibuni nilizama kwenye dimbwi la mapenzi na mrembo mmoja hivi mtaani kwetu, wakati penzi likiendelea kunoga kaka yake ambaye ni shimeji yangu alishtukia kuwa natoka na mdogo wake. Cha kusangaza alitafuta namba yangu na kunicheck na kunichimba mkwara mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.