serikali

  1. JamiiForums Tanzania NHC yaagizwa kuweka lengo la kutoa gawio la Tsh. Bilioni 10 kwa Serikali

    Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu amelitaka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kuweka lengo la kutoa gawio Serikalini la Tsh. Bilioni 10 kwa mwaka Ujao wa fedha. Kauli hiyo ameitoa katika Kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa NHC kilichofanyika mkoani Pwani mapema, Februari 24, 2025. Akizungumza...
  2. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Serikali imuachie huru Mwenyekiti wa Chama cha Walimu Wasio na Ajira, Joseph Kaheza

  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali yatoa kanuni zitakazotumika kwenye Uchaguzi mkuu wa 2025

    Wakuu, Wakati CHADEMA ikikoleza moto wa ajenda ya No Reforms No Elections, Serikali ya Tanzania imetoa kanuni za Uchaguzi ambazo zitatumika kwenye uchaguzi wa mwaka huu. =========================================================== Serikali ya Tanzania imetangaza kanuni mpya za uchaguzi kwa...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zainab Katimba amezitaka Mamlaka za Serikali za Mitaa Kubuni Miradi Ili Kuondokana na Utegemezi

    Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Zainab Katimba, amezitaka Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini kuendelea kubuni miradi ya maendeleo itakayoziwezesha kujisimamia badala ya kutegemea fedha kutoka Serikali Kuu. Mhe. Katimba ametoa maelekezo hayo...
  5. JamiiForums Tanzania Elon Musk awa mbogo kwa watumishi wakaidi wa serikali kukaidi kumtumia kwa email taarifa zao za kila wiki kuhusu kazi zao!

    Elon Musk amekuwa mbogo baada ya baadhi ya taasisi kukataa kutii amri yake ya wafanyakazi wote wa umma Marekani wawe wanamtumia email kila wiki kuelezea walichofanya wiki iliyoisha! Taasisi zilizokaidi amri yake ni pamoja Pentagon, FBI na State Department(Ofisi ya mambo ya nje) ambao...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali imetangaza kuanza kwa ujenzi wa barabara ya Soni - Bumbuli - Korogwe kwa kiwango cha lami

    Serikali limetangaza imetangaza kuanza kwa ujenzi wa barabara ya Soni - Bumbuli - Korogwe kwa kiwango cha lami. Ujenzi huo utaanza rasmi baada ya kufunguliwa kwa zabuni ya mkandarasi mnamo Machi 6, 2025, ambapo awamu ya kwanza itahusisha kilomita 20 kutoka Soni hadi Bumbuli, hatua inayotajwa...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali kujenga vituo vya polisi Ilala kuimarisha usalama

    Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amesema serikali itaendelea kusimamia na kutekeleza maagizo ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhusu ujenzi wa vituo vya polisi ili kuimarisha ulinzi na usalama wa raia na mali zao. Mpogolo amepongeza hatua za Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuhama kutoka Tamisemi kwenda Taasisi ya Serikali kwa kufanya usaili

    Habari wadau, Ivi mfano wew ni muajiriwa wa serikali Tamisemi, ukabahatika kupata kazi Taasisi kwa kufaulu usaili kama watu wengine, mchakato wa kuhama upo vipi? Naomba muongozo wenu natanguliza shukrani
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tandahimba: Serikali imekamilisha ujenzi wa kituo cha afya cha Maheha kilichogharimu milioni 400

    Baada ya miaka 16 ya kutembea kilomita 40 kutafuta huduma za afya, wananchi wa vijiji vitatu wilayani Tandahimba mkoani Mtwara hatimaye wamepata suluhisho. Kituo cha Afya cha Maheha kilichogharimu shilingi milioni 400 sasa kimeanza kutoa huduma na wananchi wengi hususan wanawake wamejitokeza...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Fisi wenye plate number: Ni kwamba Simiyu wapo mbele ya wakati au serikali ipo nyuma ya wakati?

    Tuziite plate number au chapa, kwa vyovyote ni utambulisho wenye mfumo unaoeleweka na wenye kuonesha umiliki. Kama kuna MALLA N7, basi MALLA N1, N2, N3, etc wapo pia, pengine kuna MALLA N2347, nani anajua? Huu mfumo wa utoaji plate number au chapa kwa fisi nani anausimamia? Tumezoea kuona plate...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali yaendelea kutoa mafunzo kwa Walimu wa Sayansi na Hisabati, kupunguza uhaba wa Wataalam

    Mratibu wa Mafunzo Kituo cha Shule ya Sekondari Bagamoyo, Winchslaus Balige akizungumza katika mafunzo hayo. SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imechukua hatua madhubuti kukabiliana na uhaba wa wataalamu wa sayansi nchini kwa kuanzisha mafunzo endelevu kwa walimu wa...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Serikali yaipongeza Benki ya CRDB kudhamini mashindano ya Quran

    Dar es Salaam. Tarehe 24 Februari 2025: Serikali imeipongeza Benki ya CRDB kwa kudhamini Mashindano ya 33 ya Kimataifa ya Kuhifadhi Quran yaliyofanyika Uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es Salaam. Pongezi hizo zimeetolewa na Waziri Mkuu, Mheshimiwa Kassim Majaliwa aliyemwakilishwa Rais Samia...
  13. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Serikali ya JMT ambaye pia ni mgombea wa CCM akiwakilisha Serikali amepokea tuzo ya Bingwa wa Vichekesho Tanzania

    -
  14. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Serikali ya JMT akiwakilisha Serikali amepokea tuzo ya Bingwa wa Vichekesho Tanzania

    Kiongozi mkuu wa Serikali ya watu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayeiwakilisha serikali ya watu wa Tanzania akipokea tuzo ya Bingwa wa vichekesho (Champion of comedy).Hongera serikali, Hongera Mheshimiwa kuwa Bingwa wa vichekesho.Tuendelee kucheka kwa pamoja! Modes naomba uzi huu...
  15. JamiiForums Tanzania Viashiria vya rushwa ICT commission na YAS - serikali ichunguze

    Tarehe 21 Feb ,ICT commission ilitoa tuzo muhimu tatu kwa kampuni ya YAS(zamani Tigo) Walishinda Tuzo tatu kama zilivyo hapa chini 1. Huduma Bora za Intaneti (Best Internet Service Provider) 2. Kampuni Bora ya Mawasiliano (Best Mobile Network Provider) 3. Mtumiaji Bora wa TEHAMA & Manufaa kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali ya DRC, kwa ukatili huu, inastahili nini???

    https://x.com/andrewmwenda/status/1893355999680921990?s=46 Watu wakichukua silaha zao, wengine wanavimba na kutunisha misuli.
  17. JamiiForums Tanzania Serikali inashindwaje kuongeza EMS zake? Temeke kuna ipi, Ilala ipo ipi? Kwanini zinejaa mjini?

    Wizara ya elimu ina maprofesa wapuuz mno. Inaamini maskini wa Tabata, Buza, Goba, mbezi hawawez kupeleka watoto shule za laki 5? Mkenda na wezako wa TAMISEMI mnashida ipi? Mkiigeuza Jica primary mnashindwa nini? Acheni hizo. Hii nchi ni as if tuanza kiushi nyumba ya kupanga.
  18. JamiiForums Tanzania Mpaka leo tarehe 23.02.2025 huyu mama hajapeleka watoto shule kisa hana ada, ukimwambia shule za serikali zipo anasema hawezi kufanya huo ujinga

    Leo ndio nimehitimisha kuwa wazazi wengi wanaopeleka watoto EMS ni wale washamba, mostly ni watu ambao wameishia shule za msingi. Wanadhani elimu ni KIINGEREZA. Mtoto makubwa yuko darasa la nne na mdogo darasa la pili. Lakini hawajaanza bado. Huyu mama anafanya kazi za kuhudumia mifugo ya mtu...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali kuanza ujenzi na ukarabati wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga (Bombo)

    Serikali kupitia Wizara ya Afya imejipanga kuanza ujenzi na ukarabati wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga (Bombo) kwa kuanzia na jengo la wodi ya mama na mtoto kabla ya mwezi Mei mwaka huu, ili kurahisisha upatikanaji wa huduma za uzazi mama na mtoto na kuwa katika muonekano mpya. Kauli hiyo...
  20. JamiiForums Tanzania Baada ya Tuzo ya Wachekeshaji. Serikali na wadau iandae Tuzo za waandaji bora wa Maudhui Mitandaoni.

    BAADA YA TUZO YA WACHEKESHAJI. SERIKALI NA WADAU IANDAE TUZO ZA WAANDAJI BORA WA MAUDHUI MITANDAONI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Niwapongeze waandaji wa Tuzo za Wachekeshaji 2025, serikali na Wachekeshaji wote walioshinda Tuzo hizo. Mimi ni mdau wa vichekesho hasahasa Standup Comedy...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…