serikali

  1. JamiiForums Tanzania Responded Majaliwa apiga marufuku matumizi ya ving'ora na vimulimuli barabarani kwa madereva wa magari ya serikali

    Yaani ukitaka kujua unachelewa pita njia za Ubungo, Kimara, Mwenge na Tegeta ndani ya dakika 30 utaona ving'ora kama vinne vimepita na vimulimuli Nimejiuliza hivi kila gari linatakiwa kuwa na king'ora na kimulimuli? Na ni wakati gani vinatakiwa kutumika? ---- Waziri Mkuu Kassim Majaliwa...
  2. JamiiForums Tanzania NI LINI SERIKALI ITAWAJIBIKA KWA KUHARIBU PESA YA MIRADI?

    Kuna Miradi mkubwa Magufuli aliacha na Mingine ya awamu ya sita haijazinduliwa mpaka Leo. Ucheleweshwaji wa uzinduzi au kufunguliwa wa miradi hii hupoteza mabilioni ya mapato ya pesa kodi na fursa za kiuchumi Kwa watanzania. Mfano: Masoko Makubwa yalikua yamepangwa kufunguliwa kama la...
  3. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Serikali inajua kila kitu kinachoendelea. Yoyote anayefanya makosa anaweza kufikiwa

    Akizungumza leo kwenye kipindi cha Clouds 360 cha Clouds TV Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo Gerson Msigwa alisema: "Nataka niseme kwamba serikali inajua kila kitu kinachoendelea na tunaweza kupata taarifa na tunaweza kumfikia mtu yoyote...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa Mara ya Tatu na ya mwisho; Naiomba Serikali imuachie Tundu Lissu Kabla ya Septemba 7

    Anaandika, Robert Heriel Kuhani Katika Hekalu Jeusi Kwa heshima yote isiyo na hila, nilianza kuiomba serikali tangu august 13 kuona namna ya Kumuachia Tundu Antipas Lisu. Hii ni kusema mpaka tarehe 7 septemba, zitakuwa sio chini ya siku 24 tangu nitoe ombi hilo. Lilikuwa Ombi la heshima na...
  5. JamiiForums Tanzania Msigwa anapwaya Serikali imchukue Ezekia Kamwaga kuwa msemaji wake

    Mpaka sasa ndo naona anajitutumua na kutamani apate teuzi ili aweze mtetea Samia vizuri. Wengine ni kama wamechoka. Tumsaidie Eze Kamwaga tumtie moyo huyu maana Mtandao kama tunaanza tengwa na sukuma gang
  6. JamiiForums Tanzania Indonesia: Serikali yakata 'marupurupu' ya wabunge kutuliza waandamanaji

    Rais wa Indonesia, Prabowo Subianto, ametangaza kupunguza mishahara na baadhi ya marupurupu kwa wanasiasa wa taifa hilo, ikiwemo wabunge, ili kutuliza maandamano yanayoendelea nchini humo. Hatua hiyo inakuja kutokana na maandamano ya wiki kadhaa katika taifa hilo la Kusini-Mashariki mwa Asia...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kama yale anayoyasema ndugu Polepole kuhusu bei ya gesi ni ya kweli basi Serikali ichukue hatua za haraka kurekebisha bei ya gesi

    PolePole anasema kuwa bei ya kilo 15 ya gesi ya kupikia kwa Tanzania isingezidi Tshs.10,000(elfu kumi). Kama kweli anasema ukweli basi kwa Serikali inayojali wananchi wake basi ni vema ikapunguza bei ya gesi ya kupikia. Mhe. Rais anasema kuwa tupunguze sana kupikia kuni ambayo nchi yetu...
  8. JamiiForums Tanzania Bila mikakati ya kukuza mapato ya serikali ahadi zote ni uongo

    Ahadi za CCM na rais kuhusu huduma bure za Afya, kuruhusu maiti, kununua matrekta nk ni ahadi nzuri sana. Lakini ahadi zote hazina maneno kwa namna gani tutapata fedha za kuweza kuwezesha ahadi zote hizi. Aidha ahadi ya kuepuka kupunguza mikopo mikubwa ya nje, inaenda kuwa supported na nini...
  9. JamiiForums Tanzania Hongera sana mwanariadha Gabriel Geay na inabidi serikali ikuunge mkono

    Hii ndo maana halisi ya kurudisha kwa jamii. Kijana baada ya kufanikiwa kwenye mchezo wa riadha kaamua kurudi kijijini kwao na kujenga kambi ya kisasa ya mchezo wa riadha kisha kuwaweka kambini vijana wadogo wenye vipaji anaowahudumia kila kitu. Ila kanishangaza mno kwa uwekezaji anaoufanya...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali yangu sikivu nihurumieni Mimi Mwalimu Sina nguvu za kumtikia CWT

    Tangu niingie kwenye hii fani nashangaa tu Kila ninapopanda daraja CWT hata simjui Hata juzi mama alivyoniwekea kiasi nilifurahi ila namkuta huyu CWT akikamua tena
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania ina watu wengi magenius sana wenye IQ kubwa hususani vyuoni lakini serikali halijui jinsi ya kuwatumia

    Mbeya University of Science and Technology (MUST) Hiki chuo mnakifahamu? Moja ya vyuo vyenye watu magenius hapa Tanzania ni pamoja na hiki chuo. Ubunifu unaofanyika kwenye hiki chuo unaweza sema ni wanafunzi wa Kichina, kumbe ni wa hapahapa Bongo. Kwa mtu anayejua chuo cha MUST nadhani...
  12. JamiiForums Tanzania Mambo ambayo Serikali inabidi kuruhusu uchunguzi huru hapa Tanzania

    1. Ugonjwa wa ghafla uliompata "Edward Lowassa" kuelekea 2015 2. Kifo Cha Chacha Wangwe. 3. Kifo cha Sokoine 4. Kifo cha Membe 5. Kifo Cha Dr Mengi 6. Kifo cha Mch Christopher Mtikila 7. Kifo Cha Magufuli 8. Kupigwa risasi kwa Lissu 9. Kupotea kwa Bilali Mwisho , humanity, humanity ndo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ni nani alikuwa anahujumu serikali kuhamia Dodoma hadi Magufuli akazira?

    Kwa maelezo ya Polepole ni kwamba mpango wa kuhamishia serikali Dodoma ilikuwa ni vita kamili na kuna vigogo walihujumu mpango huo makusudi kabisa hadi Hayati Magufuli akazira na kuamua kuhamia hivyo hivyo kwenye kijumba kidogo Dodoma. Hili la vigogo kuhujumu mipango yenye masilahi mapana kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali yaimarisha miundombinu ya CNG katika harakati za kuleta mapinduzi ya nishati

    SERIKALI YAIMARISHA MIUNDOMBINU YA CNG KATIKA HARAKATI ZA KULETA MAPINDUZI YA NISHATI 📌 Vibali vya ujenzi wa vituo vya CNG kutolewa haraka ili kuvutia wawekezaji. 📌 Taasisi za kifedha zashauriwa kutoa mikopo kwa wawekezaji kwenye sekta ya gesi 📌 Kituo cha Puma Tegeta kuwa kituo kikubwa zaidi...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Dodoma: Mahakama Kuu yaipa Serikali Siku Tano Kujibu Kesi ya ACT Wazalendo Dhidi ya INEC

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Kuu Dodoma, imetoa muda wa siku tano kwa Serikali kujibu kesi iliyofunguliwa na chama cha ACT Wazalendo na mwanachama wake, Luhaga Joelson Mpina, dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Katika kesi hiyo, ACT Wazalendo na...
  16. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa serikali changamoto

    Yaan uki mkopesha mtu wa serikali au anae tegemea mshahara kulipwa ni changamoto sana lazima msumbuane mshikane mashart sijui kwanini? Kuna namna wanarudisha watu nyumaa sana kwanini mna kuwa wasumbufu emby jibuni hapa
  17. C

    JamiiForums Tanzania Kwamba TANZANIA imekubali kumpa mtu ukubwa na mamlaka kuliko Mh.Rais pamoja na serikali yake yote!?

    Naona kabisa ndivyo ilivyo Na ndicho hili Taifa linapitia kwa sasa.
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini skendo za ufisadi tunawatupia wanasiasa pekee ila WATUMISHI na watendaji wa serikali tumewakalia kimya

    Nchi hii ina raisi mmoja na wabunge wasiozidi 400 ila tujiulize ina matajiri wakubwa wangapi?Ni wazi ina watu wenye mabilioni zaidi ya watu hata 20000 je NI kweli kwamba hao wote wamepata mahela hayo kwa sababu ya kuwa karibu na wanasiasa?rushwa nyingi zinafanyika level ya huku chini Kwenye...
  19. JamiiForums Tanzania Kushindana na CCM, unakuwa unashindana na Serikali na vyombo vyake, usipotumia akili utaishia kuumizwa bure

    CCM sio Chama cha siasa Ila ni Serikali, hivyo kushindana na CCM unahitaji akili Sana . Na sio hivi kama wanavyofanya hawa vijana akina Lissu na wengineo. Binafsi watu ambao hawaulewi ukweli nawapa pole. Hata hapa JF tumejificha kwa I'd fake lengo ni kuikwepa Serikali.
  20. JamiiForums Tanzania Rostam Aziz ndo anaendesha Serikali(?)

    Richmond, Dowans na Symbion ni mali ya mtu mmoja yule yule The King Maker KM- RA. Tozo ya Simbion ilikuwa dola milioni 350 wakakubali kulipwa nusu dola milioni 175 . Blaza alipochomoka jamaa akamvaa Mama na kumuimbisha, Mama akaingizwa kingi, zikalipwa US 385 million!. Jamaa akainunua Petra...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…