“Tathmini inaonesha kuwa wananchi walio wengi wanaridhishwa na utendaji wa serikali katika kutekeleza programu na miradi ya maendeleo. Kwa mfano, utafiti uliofanywa na Taasisi ya Afrobarometer mwezi Juni – Julai 2024 ulionesha kuwa asilimia 71 ya wananchi waliohojiwa walisema wanaridhishwa na...
Kauli aliyotoa Waziri wa Kilimo Hussein Bashe jana Juni 11,2025 Dodoma
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, amesema kuwa Serikali itanunua tani 200,000(Laki mbili) za mbolea ili kuzipeleka katika maeneo ambayo matumizi ya mbolea bado ni madogo, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kulinda viwanda vya...
Leo Juni 12, 2025 Waziri wa Fedha Dr. Mwigulu Nchemba atawasilisha Bajeti Kuu ya Serikali 2025/2026, nini vitakuwa vipaombele vya serikari? Matarajio ya Wanachi, Taasisi na Asasi za Kiraia yatafikiwa?
Kabla ya kuwasilisha hotuba hiyo, Bunge linapitisha hali ya uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024 na...
Hii ni barabara ya Njombe Songea, upana wake hata barabara za mataani zina nafuu. Kila siku tunalalamika ajali, ila kwa wembamba huu wa barabara lazima tuendelee kufa tu.
Sasa sijajua kwa barabara ilikuwa kwa ajiri ya majaribio (demo) au ni kitu gani!
Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) taifa, Hashimu Rungwe ameitaka Serikali kutoa ruzuku kwa hospitali zote nchini pamoja shule zote za msingi na sekondari ili wagonjwa wasio na ndugu wapate chakula bure huku wanafunzi ambao wazazi wao hawana uwezo wa kuchangia chakula shuleni...
Mlio wekeza Tanzania kwenye kampuni kubwa tuambieni changamoto mnazo pitia mnashauri nini kwa hii serikali au tukawekeze kwa kupitia ulaya.
Kwa yanayoendelea Tanzania ni wazi nchi inanuka rushwa sasa na haki hakuna tena, kuwekeza Tanzania alafu ni raia ni sawa na kujiwekea kitanzi au mnasemaje...
Mbunge wa Jimbo la Makete (CCM) Festo Sanga ameitaka serikali kutoa kauli kuhusu mvutano unaoendelea kuhusu Dabi ya Kariakoo inayohusisha klabu za Simba na Yanga.
Akijibu swali hilo Jumatano Juni 11,2025 Bungeni Jijini Dodoma Naibu Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma amesema...
Serikali imeendelea kuboresha miundombinu ya elimu nchini ikiwa ni pamoja na kujenga uzio katika shule mbalimbali za msingi kwa kuzipa kipaumbele shule zenye watoto wenye mahitaji maalumu.
Hayo yamesemwa bungeni Jijini Dodoma na Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa...
Ile ya Simba SC kusema / kutangaza kuwa Mechi na Yanga SC ya tarehe 15 Juni Ipo ni Geresha / Zuga tu.
Hata hizi Press Conference mbili za juzi za Yanga SC na zenyewe ni Zuga / Geresha tu.
Kwakuwa Yanga SC wamegomea Kucheza na Simba SC tarehe 15 Juni, 2025 kama ilivyopangwa na Bodi ya Ligi na...
Something is wrong somewhere!
Kwa muda wa miaka miwili na zaidi sasa takwimu zinazotolewa na Serikali na vyombo mbalimbali vya habari vya ndani na nje ya nchi zinadai kuwa Tanzania tunaongoza kwa kupokea idadi kubwa ya Watalii wanaotembelea nchi yetu ikiwemo mbuga zetu za wanyama na vivutio...
Hivi kila kilichofanyika wakati wa Magufuli ni lazima kidumishwe?
Kipindi cha Magufuli wahuni wachache ili kulinda nafasi zao wakaona wamkoshe Rais kwa kutoa gawio kwa serikali. Mashirika mengi yanajiendesha kwa hasara, watumishi wana hali ngumu na wale wanaoonekana kuwa super basi wako mahali...
Hello, wanaJF;
Sote tunajua Serikali imefungia mtandao wa X (Twitter) lakini wao Serikali wanaendelea kuutumia kwa kutoa matangazo yao kwenda kwa Wananchi na watumiaji wa mtandao huo.
Sababu zao wanasema ule mtandao unaruhusu Ngono, maana yake kila anayeingia mule anaenda kuangalia ngono...
Katika kipindi hiki muhimu kwa mustakabali wa taifa letu, sauti ya wananchi inazidi kuwa wazi na isiyoweza kupuuzwa: “No Reforms, No Election”. Hii si kauli ya jazba bali ni ujumbe wa kizalendo kutoka kwa Watanzania wanaotaka misingi imara ya demokrasia, uwazi wa uchaguzi, na uongozi wa haki...
Mpo salama!
Ukishatafuta utajiri wa kafara, ukamtoa Mke au mtoto mmoja na watu wakajua na watoto waliobakia. Hata uwajengee watoto ghorofa, uwanunulie Range Rover, au ukawasomeshe Marekani.
Kamwe hawatakutaja kama Baba Bora, wala hautasifiwa kwa lolote zuri.
Hakuna Jambo kubwa kwenye maisha...
Watanzania huwa tunafuatilia hotuba za kiongozi wetu mkuu wa nchi, from A-Z tunajua Rais alichozungumzia. Jana Rais alikuwa kwenye ibada ya Iddi Kinondoni-Dsm, mashehe walisisitiza amani, utulivu wa nchi, umoja wa kitaifa, kaangalie gazeti la Mwananchi leo "BAKWATA yataka haki uchaguzi mkuu"...
kwema ndugu zangu wa kitanzania
Hivi serikali imeshindwa kabisa kuendesha mwendokasi
Hivi Tanzania nzima hakuna kichwa/mtu wa kuweza kusimamia mwendokasi
Hivi UDSM inazalisha wasomi kweli au ni chuo cha siasa, yaani Chuo cha TAIFA kimeshindwa kutoa akili moja ya kusimamia Mwendokasi
Hivi...
Serikali ikianza kukwepa majukumu yake na kukimbilia vitu vya kisiasa visivyo na maana mtu masikini hugeuka kuwa kama mpira wa kona.
Mwl Nyerere alishaonya kwenye moja ya hotuba zake za mwaka 1995 kuwa serikali ikiwa corrupt ( serikali ya wala rushwa) watu masikini hawanaa kitu kabisa kwenye...
Serikali ikianza kukwepa majukumu yake na kukimbilia vitu vya kisiasa visivyo na maana mtu masikini hugeuka kuwa kama mpira wa kona.
Mwl Nyerere alishaonya kwenye moja ya hotuba zake za mwaka 1995 kuwa serikali ikiwa corrupt ( serikali ya wala rushwa) watu masikini hawanaa kitu kabisa kwenye...
Serikali ikianza kukwepa majukumu yake na kukimbilia vitu vya kisiasa visivyo na maana mtu masikini hugeuka kuwa kama mpira wa kona.
Mwl Nyerere alishaonya kwenye moja ya hotuba zake za mwaka 1995 kuwa serikali ikiwa corrupt ( serikali ya wala rushwa) watu masikini hawanaa kitu kabisa kwenye...