serikali

  1. Utakuta Mtu Ameajiriwa Tayari Serikalini Lakini Bado Anafanya Maombi ya Ajira: Hawa Nao Wanasababisha Upungufu wa Ajira Nchini

    Utakuta Mtu Ameajiriwa Tayari Serikalini Lakini Bado Anafanya Maombi ya Ajira: Hawa Nao Wanasababisha Upungufu wa Ajira Nchini Kuna watu ambao tayari wamepata ajira serikalini, wamepangiwa vituo vya kazi, na wanaendelea kupokea mishahara kila mwezi. Lakini jambo la kushangaza na la kusikitisha...
  2. Mnataka kunambia serikali haijui kuwa Bakhressa na MO wanawalipa watu Elfu tatu mpaka elfu nne kwa siku?

    Huwa na jiuliza. Serikali kuanzia Rais mpaka mawaziri Kazi yao hasa ni nini? Yaani wao wakipokea kodi wamemaliza Kazi. Bakressa na Mo hawa wote ukiwafatilia utajiri wao Unatokana na kunyonya watu. Huwa nacheka Sana ninapoona Eti matajiri wa Tanzania ndio hawa wanalipa watu elfu tatu mpaka nne...
  3. Serikali ya Zanzibar Yashindwa Kulipa Fidia kwa Nyumba Zinazotakiwa Kupisha Barabara – Maendeleo Yakwama

    Ndugu wanajamvi, Napenda kuibua hoja kuhusu jambo linaloumiza wananchi wengi – suala la kutolipwa fidia kwa nyumba zinazotakiwa kupisha upanuzi wa barabara visiwani Zanzibar. Mfano halisi ni barabara ya kuelekea Paje (Unguja Kusini). Kuna nyumba moja imebaki katikati ya ujenzi wa barabara, hali...
  4. S

    GE2025 Kama Serikali itamkamata Polepole kwa ajili ya barua ya kujiuzulu na kauli zake, basi huo ni udhihirisho kamili kwamba tuna serikali ya kidikteta

    Hebu niambeni, nyie wote mnaoshabikia na mnaotarajia Polepole akamatwe, akamatwe kwa kosa gani alilofanya? Hadi sasa hebu tuseme wazi, Polepole amevunja sheria ipi ya nchi? Kusema hawezi kufanya kazi na serikali inayokiuka taratibu? Au serikali yenye makandokando yasiyoeleweka kuhusu utekaji na...
  5. GE2025 Serikali yatoa bilioni 298 kugharamia matibabu ya Kifua kikuu, UKIMWI na Malaria nchini

    Serikali ya Tanzania kwa kipindi cha mwaka 2024/25 na 2025/26 imetoa jumla ya Dola Milioni 114 sawa na Shilingi Bilioni 298 za kitanzania kuongeza manunuzi ya dawa na vifaa tiba ili kufidia fedha zilizokuwa zikitumika kupambana na magonjwa ya Kifua Kikuu, UKIMWI na malaria nchini. Hayo...
  6. Serikali na TCRA Kuna shida gani Kutumia neno NIDA,Sms ukiituma ikiwa na neno NIDA haiendi kabisa,tatizo ni nini!?

    Wasalaamu Wapendwa. Kuna changamoto nimeanza kuiona toka Jana,nilikuwa natuma sms kwa wateja wangu ambao nawaombea mikopo kwenye bodi ya mikopo na elimu ya juu(Heslb). Wakati nawasiliana nao na kuwaambia nitumie namba ya NIDA,sms ikiwa na neno NIDA haiendi kabisa, naomba watu wa TCRA...
  7. Jenista Mhagam: Serikali imepanga kutumia Sh Bilioni 161. 3 za Mfuko wa pamoja wa Afya kuboresha na kuimarisha mifumo ya afya

    Serikali imeazimia kutumia Shilingi Bilioni 161. 3 za Mfuko wa pamoja wa Afya kwa ajili ya kuboresha na kuimarisha mifumo ya afya nchini ili kutoa huduma bora za afya ya msingi kwa wananchi sambamba na kupunguza vifo vya watoto vitokanavyo na uzazi na kuimarisha huduma za bima ya afya kwa wote...
  8. Je, Mitandao ya Simu Inawatumikia Wateja au Serikali? Hoja Kuhusu Kuzimwa kwa Mitandao Wakati wa Matukio ya Kisiasa

    Katika siku za karibuni, tumeendelea kushuhudia hali ya wasiwasi na maswali mengi kutoka kwa wananchi kuhusu kuzimwa kwa mitandao ya kijamii kama Facebook, YouTube, na X (zamani Twitter), hasa pale ambapo kuna matukio ya kisiasa yanayowahusisha wapinzani wa serikali au wanaharakati wanaoikosoa...
  9. GE2025 Serikali yatoa zaidi ya Shilingi Bilioni 98 kuimarisha sekta ya elimu Mbeya na Mtwara

    Serikali imetoa zaidi ya Shilingi Bilioni 98.893 kwa ajili ya kuimarisha sekta ya elimu katika mkoa wa Mbeya na Mtwara. Fedha hizo zimetolewa kupitia Mradi wa kuboresha Ubora wa Elimu ya Sekondari-SEQUIP kwa ajili ya kukarabati shule kongwe, kujenga shule mpya, madarasa, nyumba za walimu, na...
  10. D

    CHADEMA kubalini yaishe kutunishiana misuli na serikali mtaumia nyie, Shauri yenu

    Chama kinaisha na kinaibuka chauma kwa kasi na kwa msaada wa serikali watapata viti vichache vya ubunge na udiwani ili wapindue meza na kuwa chama kikuu cha upinzani. Duniani kote hakuna serikali submissive mbele ya chama cha upinzani ispokuwa mbinu tu za kuwawin. Lisu anatumia mabavu na kamwe...
  11. SERIKALI ifike hatua tuache kutumia majina ya viongozi wa kisiasa kwenye miradi mipya.

    Tunatia aibu kila mradi unapewa majina ya viongozi wa kisiasa. Inamaana hamna majina mengine mpaka hao viongozi majina yao yatumike kila sehemu🤔🤔🤔🤔. Hata kama ndio utamaduni basi tumezidisha kipimo kwakweli. Na ni uchawa ndio unasababisha yote haya siamini kama hao wahusika walidhamiria au...
  12. M

    H Polepole: Serikali ni kama nyumba isiyo na mwenyewe

    Balozi msitaafu Humphrey Polepole amewaomba watanzania wasimuhukumu kwa kushindwa kutoa matokeo mazuri kwenye kazi yake ya Ubalozi wa Tanzania nchini Malawi na baadae nchini Cuba kwa sababu alikuwa hapati ushirikiano wa kutosha kutoka kwa watendaji wa Serikali ya Rais Samia kwani wengi...
  13. Aibu kubwa kwa Mhimili wa Mahakama: Kwa mara ya kwanza Watanzania wafikiria Kuandamana kupinga Mahakama kuingiliwa na Serikali.

    Tangu wakati wa Chama kimoja, hakuna kipindi ambacho Watanzania waliwahi kufikiri kuwa Mhimili wa Mahakama unaingiliwa na Serikali. Ni bahati mbaya sana, baada ya Mhimili huu kuwa compromised kiwango cha kutisha na kutoa maamuzi ya hovyo isivyo mfano Watanzania wameanza kufikiria kuandamana...
  14. A

    Hongera TCRA, Serikali kwa kuzuia uozo wa Polepole siku ya leo

    Nitoe pongezi za dhati kabisa kwa Mamlaka ya mawasiliano nchini na serikali kwa kutoruhusu uchafu wa huyo mtu,nimeiangalia Tanzania ya Mwl Nyerere haikuwa na vijana wapumbavu kama hili jitu,Tanzania ina misingi yake ya uzalendo pamoja na kazi Lijitu limekosa nidhamu sijui liliokotwa wapi(Tuwe...
  15. Serikali iache collective punishment!

    Leo mitandao ilpata shida sana, ila naamini watendaji wa serikali wanafanya kazi kwa hofu, mfano TCRA kama wasingechukua hatua, wangeshughulikiwa, wala siwalaumu, wangeulizwa kwa nini mliruhusu mitandao wakati polepole anaongea? Maria sarungi na wanaharakati wengine walikuwa wanatumia twitter...
  16. Polepole hawezi kukemea utekaji na mambo mengine ya kihuni ya serikali ya sita. Maana yote yanayotendeka sasa yalitendeka pia 2015-2021

    Atazunguka zunguka tu kutaja mchakato wa mgombea wa Urais na mchakato wake but hawezi kugusa mambo mengine. Mambo mengi ya hovyo ya kipindi hichi ni reflection ya kipindi cha Magufuli ambacho Polepole alikuwa mezani akila pamoja na Rais Magufuli. Hazungumzii jinsi wapinzani wanavyonyimwa haki...
  17. Hakuna watu wanaonaga wameyapatia Maisha, kama watumishi wa serikali wakiwa wamepanda kwenye hizi gari

    Hakuna watu wanaonaga wameyapatia Maisha, kama watumishi wa serikali wakiwa wamepanda kwenye hizi gari V8 Land Cruser Range Rover G-wagon Harier n.k...
  18. Baada ya Kumsikia Polepole kupitia Facebook; Serikali isihangaike kuwazuia

    Nilishindwa kumfuatilia YouTube na Zoom ambazo ndiyo applications alizokuwa ame share. Finally nikampata Facebook. Kulikuwa wasikilizaji 9,000+. Nimesikiliza hadi aliporuhusu maswali kwenye swali la 3. Kimsingi hakuna kitu kipya alicho ongea kinachoathiri usalama wa Taifa letu. Ameongea vitu...
  19. Mnatufungia mtandao Facebook unahusika nini na siasa zenu?

    Wengi Tunategemea sana kutangaza biashara zetu kupitia mtandao mnazima ili iweje ..nmepoteza hela. Mmefunga Twitter (x) , sasa hivi mmehamia Facebook. Fungueni hii mitandao, wengine siasa hatuzitaki ni ujinga tu.
  20. R

    Raia wa Liberia waandamana wakidai Haki, Ajira na uwajibikaji kutoka kwa Serikali yao ya Rais Joseph Boakai

    Mamia ya raia wa Liberia waliandamana jijini Monrovia wakiongozwa na kiongozi wa upinzani Mulbah Morlu, Wakitaka serikali ya Rais Joseph Boakai kuwajibika kwa ahadi za kampeni na maisha bora waliyohahidiwa tangu alipoingia madarakani mwaka jana Waandamanaji walilalamikia kupoteza ajira...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…