serikali

  1. JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa: Serikali imedhamiria kutekeleza dhana ya uchumi jumuishi kwa vitendo

    KASSIM MAJALIWA: SERIKALI IMEDHAMIRIA KUTEKELEZA DHANA YA UCHUMI JUMUISHI KWA VITENDO WAZIRI MKUU Mhe. Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan imedhamiria kutekeleza dhana ya uchumi jumuishi kwa vitendo kwa kuweka vipaumbele...
  2. JamiiForums Tanzania Foleni ya Buguruni ni janga la kimkoa, serikali mko wapi?

    Hili suala la Buguruni foleni naona serikali imeamua kufumbia macho kabisa. Hapa nazungumza nimekaa kwenye gari karibia masaa mawili kiasi cha kutamani kushuka niiache gari yangu nichukue bodaboda lakini sina chaguo. Haya mateso hadi lini? Gharama za mafuta kipengele, traffic wanavyotukata...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji Tume Huru ya Uchaguzi - haya mauzauza yanayofanywa na Serikali ya sasa sio halali

    Serikali iliyopo ipo hapo kwa kuwekwa tuseme kimabavu bila ya kutoana jasho, japo kuna waliopata vilema na waliouliwa ili Chama cha CCM kisimike serikali yake, ambayo ndio imejipa madaraka ya kuongoza wasiotaka kuongozwa na wao. Natija ni kila linalofanywa na serikali hii halikubaliki kwa roho...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Serikali inawasiliana na watoa huduma wa mitandao ya WhatsApp, Facebook na Instagram kuhusu kukosekana kwa huduma

    Msemaji mkuu wa Serikali Bw. Gerson Msigwa ametoa wito kwa wananchi wote kuwa watulivu wakati serikali inawasiliana na makampuni ya WhatsApp, Facebook na Instagram kuhusu changamoto ya kukosekana kwa huduma ya mawasiliano ya mitandao hiyo. Huduma za mitandao hiyo zilikwama kwa saa kadhaa tarehe...
  5. JamiiForums Tanzania EWURA: Serikali imerekebisha tozo mbalimbali kwa taasisi zote zinazotoza tozo kwenye biashara ya mafuta hapa nchini

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Katika kukabiliana na kupanda kwa bei za mafuta katika soko la dunia, Serikali imerekebisha tozo mbalimbali kwa taasisi zote zinazotoza tozo kwenye biashara ya mafuta hapa nchini. Uamuzi huo ulifikiwa leo, tarehe 5 Oktoba 2021, baada ya Mhe. Samia Suluhu Hassan...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Moja kati ya mapungufu ya katiba ni wepesi wa kufanya mapinduzi kwa serikali iliopo madarakani: Msajili ana uwezo wa kupindua nchi

    Kufanya mapinduzi ni kukamatwa na kuondolewa kwa serikali na mamlaka yake. Kwa kawaida, ni kukamata madaraka kinyume cha katiba na kikundi cha kisiasa, jeshi, au dikteta. Hata hivyo vipi katiba yenyewe inaporuhusu kumuondoa raid kutokana na mapungufu ya kisheria..... Hilo ni moja tu kati ya...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Bashe: Serikali itawalinda wakulima kwa gharama zote

    BASHE : SERIKALI ITAWALINDA WAKULIMA KWA GHARAMA ZOTE Tanganyika, Katavi. Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe ameweka wazi msimamo wa serikali juu ya kuwalinda wakulima nchini kufuatia muingiliano wa kisekta wa mara kwa mara ambao husababisha wakulima kubeba mzigo mkubwa zaidi wa gharama...
  8. JamiiForums Tanzania Rasmi: Kibu Dennis ni Mtanzania

    Tutegemee kumuona Kibu akivaa tena jezi ya Taifa baada ya sakata lake kuisha. === Chibu Denis (kushoto) akiwa katika kikosi cha Taifa Stars. Kulia ni John Bocco WAZIRI wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, George Simbachawene, amehitimisha sakata la uraia wa Kibu Denis Prosper kwa kutangaza kumpa...
  9. JamiiForums Tanzania Je, ugaidi anaotuhumiwa nao Mbowe ni ugaidi wa serikali?

    Je Ugaidi anaotuhumiwa nao mh Mbowe ni ugaidi wa serikali? Najaribu kutafakari kimyakimya kwa maandishi kuhusu mashataka aliyofunguliwa mwenyekiti wa CHADEMA mh Freeman Mbowe. Nimejaribu kupitia rekodi mbalimbali za Mbowe tokea akiwa mwenyekiti wa vijana (BAVICHA) taifa, mpaka anakuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Je, kukiwa na brand ya serikali itasaidia kilimo?

    Habarini JF! Sijui kama hili wazo lishawahi kufanyika kwingine duniani ama ni kitu kinachowezekana Ningependa Tanzania sababu tuna eneo kubwa sana lenye rutuba (arable land), Kufanyike mapinduzi/movement ya kilimo. Wananchi tulime. Serikali itafute masoko. I just think serikali ikiwa na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Njia ya Kuwatimua Machinga ni Serikali Kutengeneza Ajira Mpya

    Njia rahisi ya kuwatimu wamachinga ni serikali kutengeneza ajira mpya. Haina maana kabisa kuwa na mji msafi halafu watu wanakufa na njaa, watu wanashindwa kuhudumia familia zao. Tatizo liliopo siyo machinga kuteka mitaa, tatizo liliopo ni hakuna ajira mbadala. Tengeneza ajira umachinga utakufa...
  12. JamiiForums Tanzania Naomba serikali ituruhusu tulime bangi Ila tuuze nje na kuwe na udhibiti

    Naiomba serikali ituruhusu tulime bangi Ila tuuze nje Mimi ni mkulima wa mahindi na mpunga Nina jumla ya hekta 290 Ila za mahindi ni 150. Kilimo cha mahindi kimenitia hasara Sana na kwa mwaka huu mbolea imepanda mno mfuko wa kilo 50 unauzwa laki na ishirini nahisi naenda kufilisika. Ila...
  13. JamiiForums Tanzania Ajali za mabasi ya abiria zaanza kuitikisa serikali ya Tanzania

    Kwa kipindi cha awamu ya tano , ajali za mabasi ya abiria Tanzania ilibakia Kurwa historia. Sasa kila kona ya nchi ni vifo vya wapendwa wetu na serikali imepiga kimya. IGP uko wapi?
  14. U

    JamiiForums Tanzania Serikali ya jiji la Dodoma Ondoeni Machinga barabara ya One way na barabara ya Nyerere square

    Ukienda Ulaya hata Asia nchi nyingi, Machinga wanakuwa na soko lao maalumu kubwa, na pia wenye maduka wanabaki madukani, Sasa inakuaje Machinga hataki fremu anataka akakae barabarani Tena mtaa wenye maduka, njia hazipitiki hili halikubaliki. Serikali ya jiji la Dodoma nawaasa muwaondoe Hawa...
  15. JamiiForums Tanzania Matumizi ya ndege za kukodi kwenye safari za serikali za viongozi ni kwa faida ya nani?

    Mwaka mmoja uliopita Sasa anatumia za kukodisha Ambazo gharama ni kubwa na ukizingatia tuna ndege za serikali na marubani wa serikali kwa ajili ya usafiri wa viongozi ukiacha wahandisi na wahudumu! Huu ndo uzalendo kweli? MY TAKE Mishahara ya wafanyakazi wa shirika la ndege la serikali...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini Waziri Mkuu anatumia ndege za kukodi za Serikali zimeenda wapi?

    Mwaka mmoja uliopita Sasa anatumi za kukodisha Ambazo gharama ni kubwa na ukizingatia tuna ndege za serikali na marubani wa serikali kwa ajili ya usafiri wa viongozi!
  17. S

    JamiiForums Tanzania Nani dikteta ? Kiongozi au serikali ?

    Ni bora mkatudadavuliya ili tujue ni nani na kipi kinatofautisha udikteta. Vipimo vitasaidia na kuwasaidia waamuzi wanapoamua ili watazamaji wasione kuna upendeleo. Kuna mtu alimwita jamaa dikteta uchwara kisha akatoka baru ,sikuelewa hadi leo hajarudi ,nikimaanisha akimuogopa Dicteta au...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali ya Canada yahukumiwa kuwalipa fidia wakazi asili wa nchi hiyo

    Mahakama ya Haki za Binadamu ya Canada ambayo mwaka 2016 iliituhumu serikali ya nchi kuwa imefanya ubaguzi wa kimbari, kutumia mabavu na kuua Wahindi Wekundu wenyeji wa nchi hiyo imeitaka serikali ya Ottawa kuwalipa fidia Wahindi Wekundu kwa kupatikana na hatia ya kukiuka haki zao za kibinadamu...
  19. JamiiForums Tanzania Makalla: Serikali haitojihusisha kwa namna yoyote kuwasaidia Wananchi waliovamia eneo la Kiwanda cha Wazo

    RC MAKALLA AWATAKA WANANCHI KULIPA FEDHA KUEPUKA UTEKELEZAJI WA HUKUMU YA MAHAKAMA ARDHI KIWANDA CHA WAZO. - Asema serikali haitoendelea kuwatetea Watakaokaidi kulipa Na hukumu ya mahakama Kuu itatekelezwa. - Awahakikishia Usalama wote waliolipa. - Awataka Wavamizi wapya kuondoka. -...
  20. JamiiForums Tanzania Shinikizo laongezeka dhidi ya serikali ya Ethiopia kuhusu jimbo la Tigray

    Marekani yasema itaiwekea vikwazo Ethiopia baada ya serikali ya nchi hiyo kuwafukuza maafisa saba wa mashirika ya kutoa misaada ya Umoja wa Mataifa ambao wanadaiwa kujihusisha na maswala ya ndani ya nchi hiyo. Wizara ya mambo ya nje ya Ethiopia imewapa maafisa saba wa Umoja wa Mataifa muda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…