serikali

  1. JamiiForums Tanzania Tamko la serikali kuhusu ufafanuzi wa tozo kwenye miamala ya benki na simu, Septemba 1, 2022

    Wizara ya Fedha imetoa ufafanuzi kuhusu tozo ya miamala ya simu na benki Septemba Mosi, 2022 ikiwa ni siku kadhaa tangu kuibuka kwa malalamiko kutoka kwa wadau kuhusu gharama za huduma hizo za kifedha. Waziri wa Fedha na Mipango - Mwigulu Nchemba Chimbuko la tozo ilikuwa ni kwaajili ya...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali ipige marufuku soda na vinywaji vyote vilivyoongezwa sukari

    Juzi nimesikia NIHF ipo karibu kufirisika. Waziri anasema gharama za kutibu magonjwa yasiyoambukizwa ni kubwa sana. Ni magonjwa gani hayo yasiyoambukizwa? Makubwa ni Kisukari, figo na high blood pressure. Haya kwa sehemu kubwa husababishwa na ulaji mbovu na sedentary lifestyle na yanahusiana...
  3. JamiiForums Tanzania Taifa ambalo wananchi wake wamejaa manug'uniko na malalamiko ni taifa ambalo lina serikali iliyofeli kuongoza

    Kwamba wananchi wanalalama juu ya ugumu wa maisha. Biashara ngumu huku mzunguko wa pesa upo chini. Ajira za kugombania kama watoto wanagombania peremende. Tozo lukuki kama vile hakuna vyanzo mbadala vya kulipatia mapato taifa. Watanzania mpaka ifike 2025 mtakuwa watu wa kulialia na kulalama tu.
  4. I

    JamiiForums Tanzania Ni vitu gani serikali ifanye ili iweze kuboresha sekta ya elimu na ajira?

    1. Kubadilisha mfumo mzima wa elimu, kutoka elimu ya mitihani hadi uelewa? 2. Je, ni kutengeneza sera ambazo zitawalinda na kuwasaidia wafanya biashara wadogo? 3. Au kutoa mafunzo zaidi kuhusu biashara na ujasiriamali?
  5. B

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jinsi Serikali inavyoweza kutumia miradi mipya ya kibunifu kuingiza mapato zaidi kuliko kutegemea tozo na kodi zaidi

    Tozo Tozo ni ushuru au kodi ambayo wananchi wanatozwa na serikali. Pia hii ni aina moja wapo ya chanzo cha mapato kwa serikali za sasa hasa zile za ulimwengu wa tatu ambayo pia huchangia maendeleo ya miradi mbalimbali ya serikali kama kujenga hospitali, barabara, shule, mishara na marupurupu...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Baadhi ya maafisa wa Polisi huiba mafuta ya Serikali kuendeshea vyombo vyao binafsi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifungua Kikao Kazi cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Makao Makuu, Makamanda wa Polisi wa Mikoa/ Vikosi katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS) Moshi, leo tarehe 30 Agosti, 2022 == Samia Suluhu Hassan amesema anazo taarifa...
  7. JamiiForums Tanzania Je, ni Sahihi kwa Serikali kuchukua mashamba ya wananchi na kuwagawia Viongozi?

    Naomba kujua kwa wenye ufahamu wa masuala ya ardhi maana jambo hili kwa akili ya kawaida tu naona haliko sawa. Nafahamu kuwa serikali inaweza kuchukua maeneo ya wananchi kwa manufaa ya jamii nzima (for public interest) na sio kwa ajili ya kuwagawia viongozi. Naomba kupata msaada wa mawazo...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Makarani wa sensa ni akina nani?

    Zoezi la sensa kufikia tamati leo wakikusanya taarifa mbalimbali zinazotuhusu. Je, tunajua makarani wa sensa ni akina nani? Kama taarifa zako zikitumiwa vibaya na kuuzwa kwa watu huna pa kumshtaki zaidi ya kulalamika kwasababu mpaka sasa hivi bado hatuna sheria ya ulizi wa data. Lakini siyo tu...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yasema kuna visa 519 vya kipindupindu, kati yao wagonjwa 11 wamefariki mwaka 2022

    Takwimu za Wagonjwa wa Kipindupindu Nchini Tanzania kuanzia Januari 2022 hadi Agosti 2022 ni visa 519 ambapo kati yao 11 wamefariki Dunia, Mikoa ya Katavi, Rukwa na Kigoma ikitajwa kutoa wagonjwa wengi. Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amewataka Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Halmashauri kusimamia...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia Ingilia kati. Kodi zinazolipwa na wananchi zimezidi na haziendani na Miradi ya Maendeleo inayofanywa na Serikali

    Wanabodi, Tumeshuhudia nguvu iliyotumiwa na serikali katika kuhakikisha kwamba kuna tozo kwenye miamala ya kielektroniki inayofanywa na wananchi. Hii inaweza ikawa njia ya serikali kutanua wigo wa kodi ya kuwa wezesha kufanya shughuli zingine za ziada ambazo zinaweza zikawa na manufaa kwa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ili kuondoa tozo Serikali ifanye yafuatayo

    Yafuatayo ni mapendekezo yangu yatayobana matumizi na/ama kuibua/kuongeza makusanyo. 1. Wabunge walipwe sh 45,000/= kwa siku badala ya Tsh 300,000/= kama sitting allowance. Hivyo serikali itaokoa Tsh 255,000/= × 395 (idadi ya wabunge ) kwa siku sawa na TSh 100,725,000/=kwa siku. 2. Tabia ya...
  12. JamiiForums Tanzania Kadhia za wanyamapori kuvamia makazi na mazao, nini Serikali ifanye?

    Habari zenu wana JF wenzangu. Niende moja kwa moja kwenye majadiliano ninayo yaleta mbele yenu. Sasa imekuwa ni kama kawaida kila iitwapo leo katika vyombo vya habari kuna ripotiwa majanga chungu nzima ya madhila ya wanyamapori wanayofanya katika jamii, tembo wanaharibu mazao, juzi kati tuu...
  13. JamiiForums Tanzania Hashim Rungwe: Serikali ya CCM hatari sana, ahoji wingi wa tozo kwenye simu na mafuta

    Mwenyekiti wa CHAUMMA, Hashim Rungwe Spunda amesema kwenye simu zimejaa tozo na kwenye mafuta ni tozo tupu zinazofikia nane kwenye kila lita ya mafuta. Rungwe amehoji sababu ya kuwa na tozo zote hizo akiwa kwenye kipindi cha medani za siasa kinachorushwa na kituo cha televisheni cha Stra TV...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali imejipangaje kukabiliana na wimbi zito na la kutisha la njaa mwaka huu? Nfra inahifadhi yoyote ya chakura mpaka Sasa?

    Kwa kifupi tu! Siuoni mkakati wowote wa kukabiliana na wimbi la njaa mwaka huu na dalili zote zinaonesha hakuna akiba yoyote ya chakura na Wala hatusikii mpango wowote wa tafadhari kunusuru Hali hii. Jakaya katika mhula wake wapili kulitokea Hali kama hii lakini alifanya mbinu ya kuagiza mchele...
  15. JamiiForums Tanzania SoC02 Serikali imfutie Mwananchi Tozo za Moja kwa Moja

    Faustine Kimath, katika chapisho lake la Julai 01, 2021, anasema, mfumo wa kodi nchini Tanzania unajumuisha aina mbalimbali za kodi zikiwemo Kodi za Moja Kwa Moja (“Direct Taxes”) na Kodi zisizo za moja kwa moja (“Indirect Taxes”). Historia Fupi ya mfumo wa Kodi Tanzania Kwa mujibu wa chapisho...
  16. JamiiForums Tanzania Sababu ya wananchi kususia vikao serikali za mitaa

    Wakati vumbi la uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2019 likiwa bado halijatulia, baadhi ya wenyeviti wa mitaa na vijiji nchi nzima wanashindwa kuitisha mikutano ya kila robo mwaka kutokana na wananchi kudaiwa kuisusia. Mbali na wananchi kususia mikutano hiyo katika baadhi ya mitaa na vijiji...
  17. JamiiForums Tanzania Libya: Mapigano ya kudhibiti Serikali yasababisha vifo 23

    Wizara ya Afya imesema mapigano kati ya Wanamgambo wanaoungwa mkono na Serikali zinazopingana, yamesababisha vifo vya takriban watu 23 na wengine zaidi ya 80 kujeruhiwa Makundi hasimu yalipambana ndani ya mji mkuu wa Libya, #Tripoli, katika mapigano ya udhibiti wa serikali yaliyotajwa kuwa...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Ya NEC, ZEC au Jecha si ndiyo haya ya IEBC?

    Hizi ndiyo zile nchi sasa akiziita Trump lile jina letu pendwa. Mola akawalinde ma commissioner hawa waliosimama imara na katiba ya nchi. Yale yale ya kura pigeni mnakotaka ila washindi tutatangazwa sisi. "Chebukati names top govt officials who wanted to influence Presidential results...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Wananchi wanaunga mkono vipaumbele vya serikali ya awamu ya sita

    Wananchi wanaunga mkono Vipaumbele vya Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu, Vipaumbele hivyo ni; Vituo vya Afya Kilimo Maji Usafiri na Usafirishaji Elimu Ajira Usalama wa Chakula Huduma ya Umeme N
  20. JamiiForums Tanzania Serikali na ununuzi wa mawe makubwa

    Wataalamu, ni ipi hasa sababu ya serikali kuyanunua madini yenye uzito mkubwa/thamani kubwa, je labda kunayo madhara yoyote endapo mchimbaji akiyapeleka sokoni mwenyewe badala ya kuiuzia serikali? Na je mchimbaji anapata malipo mazuri zaidi kuliko sokoni? Huo utaratibu maanake nini
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…