serikali

  1. JamiiForums Tanzania Maeneo muhimu ambayo wataalamu wa Serikali wanapaswa kuzingatia wakati wa mazungumzo zidi makampuni ya mafuta na gesi

    Uvumbuzi wa rasilimali za mafuta na gesi huleta msisimko mkubwa sana katika taifa. Mataifa yenye utajiri wa rasilimali za mafuta na gesi hutafuta ushiriki wa makampuni ya kimataifa yenye rasilimali za fedha na utaalamu ili kusaidia kuzalisha mafuta na gesi iliyovumbuliwa. Mara baada ya uvumbuzi...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Serikali kuimarisha Usalama wa Huduma Mtandao

    SERIKALI KUIMARISHA USALAMA WA HUDUMA MTANDAO Na Faraja Mpina, WHMTH, DAR ES SALAAM SERIKALI kupitia Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari inaendelea kuhakikisha inaimarisha usalama wa huduma zinazotolewa kwa njia ya mtandao ikiwa ni pamoja na biashara mtandao ili wananchi...
  3. JamiiForums Tanzania Haiti: Serikali yaomba msaada wa kijeshi kukabili maandamano ya kupinga utawala

    Ombi hilo limesainiwa na Waziri Mkuu Ariel Henry kwenda Jumuiya za Kimataifa linaeleza kuwa nchi inakabiliwa na hatari ya mgogoro mkubwa wa kibinadamu na hivyo inahitaji msaada wa haraka kudhibiti uhalifu wa magenge yenye silaha. Tayari Ubalozi wa Marekani umesema Serikali yao haiwezi kwasasa...
  4. JamiiForums Tanzania Sisi kama Serikali tuna mipango kazi mingi ya kupambana na mgao wa umeme na sio IPTL pekee!

    Ndugu zangu watanzania Mgao wa umeme unaoendelea ni matokeo ya kupungua kwa kina cha maji kwa vyanzo vyetu tunavyovitegemea KILA mwaka! Ikumbukwe KWAMBA mvua za Msimu wa mwaka 2021/2022 zilikuwa chini 1500mm hivyo kutokujaza ipasavyo nyanzo vyetu VYA umeme kama kidatu,mtera na vinginevyo,Hali...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Matapishi ya Ndugai na Magufuli yatatesa Bunge na Serikali

    Serikali ina kula matapishi mabaya ya uchaguzi mbovu, kununua wabunge na kunyamyasa wapinzani. Lakini bunge nalo linakuwa matapishi ya Ndugai ya hawa Covid 19 ambao wanaharibu heshima ya bunge kiasi kwamba imekuwa the comedy many series. Ushauri wangu kwa Rais Samia fanya vitu vyako wewe...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Viwango vilivyopendekezwa na Serikali, Bima ya Afya kwa Wote

    Hivi karibuni, Rais Samia Suluhu alisema serikali itapeleka mswaada wa Bima ya Afya bungeni ili uweze kujadiliwa. Wakati mchakato huo unaendelea Serikali kupitia Wizara ya Afya imependekeza viwango vya kulipia kwenye Bima. Prof. Makubi amesema uchangiaji unaopendekezwa ni Sh. 340,000 kwa kaya...
  7. JamiiForums Tanzania Kikwete: Mwaka 95 walinishauri tuunde chama, nikawaambia hatutakuwa registered na Serikali

    Rais wa awamu ya nne leo akiongea na kituo cha redio cha Clouds FM kwenye kutimiza miaka 72 tangu aje duniani, ameongelea uchaguzi wa ndani ya chama cha CCM mwaka 1995. Kikwete amesema baada ya Benjamin Mkapa kuteuliwa na CCM, watu waliokuwa upande wa Jakaya Kikwete walipandwa na Jazba akiwemo...
  8. JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete atahadharisha wanaokwamisha Serikali

    Rais Mstaafu Dk. Jakaya Kikwete, ametahadharisha ya watu wanaokwamisha uwepo wa baadhi juhudi za Serikali katika taasisi nyeti za umma zinazohusika na masuala ya biashara na uwekezaji. Dk. Kikwete amesema ufanyaji kazi kwa mazoea, udokozi, ufinyu wa utafiti, ubora hafifu wa bidhaa ni masuala...
  9. JamiiForums Tanzania Tetesi: Seth wa IPTL kuishtaki Serikali ya Tanzania akitaka arejeshewe umiliki wa IPTL

    Seth, aliyekuwa mmliki wa kampuni ya kufua umeme kwa jenereta almaarufu IPTL anatarajia kuishitaki Serikali ya Tanzania ili imrejeshee u miliki wa mitambo ile. Pia, imlipe fidia ya hasara aliyoipata kwa kipindi chote ambacho mitambo yake ilizimwa na kutaifishwa.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ukatiri dhidi ya watoto unasababishwa na ugumu wa maisha. Wazazi wengi hawana uhakika wa mlo wameathirika kisaikolojia. Serikali iingilie kati

    Watoto wanapigwa kwa kudokoa mboga. Watoto wanachomwa moto kwa kuiba dagaa Watoto wanafinywa kwa visu. Watoto wanashindia uji. Lakini mabwanyenye wa CCM wapo busy kula maisha.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Maji ni huduma ambayo Serikali inafeli vibaya mno, uhaba na mgao karibu kila mkoa japo mabilioni yanatumika. Rais Samia anashindwa wapi?

    Nilitegemea kwamba serikali inayosema inapigana na kupambana sana kuhudumia watu wake ingefanikiwa sana katika suala la kutoa maji kwa watu wake. Lakini inasikitisha sana kwamba hadi leo Tanzania inafeli sana katika kutoa huduma hii kwa wananchi. Na kinachosikitisha hata zaidi ni kwamba hii ni...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini ndoa nyingi za Bomani (Serikalini) zina Afya 'Kimahusiano' kuliko zile za Makanisani mwetu?

    Ngoja nimtafute mrembo hapa hapa JamiiForums ili nikafunge naye ndoa ya Bomani ili niishi kwa afya, amani na furaha. Hiyo ya Kanisani nawaachia tu wengine.
  13. JamiiForums Tanzania Australia: Serikali yabadili Sheria ya Taarifa Binafsi baada watu Milioni 9.8 kudukuliwa

    Kwa sasa kampuni za Mawasiliano ya Simu ikiwemo Optus zitatakiwa kushirikiana na Taasisi za Fedha na Serikali ili kuchunguza na kupunguza hatari ya matukio ya Usalama wa Mtandao, Udanganyifu, Ulaghai na Matishio mengine ya Kimtandao. Uamuzi huo wa Serikali unalenga kuwalinda Wateja waliokutwa...
  14. JamiiForums Tanzania RIPOTI: UN yasema 44% ya ukiukaji wa haki za binadamu ulifanywa na Serikali ya Congo DR

    Ripoti hiyo inasema idadi kubwa ya matukio ya ukatili na mateso imetokea katika maeneo yaliyoathiriwa zaidi na migogoro ya kivita ambapo 44% ya mateso yalifanywa na maafisa wa Serikali wakiwemo Jeshi la Polisi na Jeshi la Ulinzi. Ofisi ya Haki za Binadamu pia imesema kwa kipindi cha Juni 1...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia Suluhu yaahidi kuimarisha uhusiano wake na Asasi za Kiraia (AZAKI)

    Ni siku 565 tangu Rais Samia Suluhu aingie madaraki, na Serikali yake imekuwa mstari wa mbele katika kuimarisha uhusiano wake na asasi za kiraia nchini katika kutambua mchango wa asasi hizo katika ujenzi wa Taifa. Kupitia Mwenyekiti wa Mashirika yasiyokuwa ya Kiserikali, Mwantumu Mahiza...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali ijiridhishe kwanza kabla ya kusukuma jambo kwa wananchi

    Serikali sio kitu cha mchezomchezo kinachopaswa kutiliwa mashaka na wananchi. Watu wote wanaojiita "sisi Serikali" lazima mfanye utafiti wa kina kabla ya kutamka, kuagiza na kuutekeleza jambo kwa wananchi ili kuepuka wananchi kuitilia mashaka Serikali Yao. Sio jambo Jena kwa Serikali kuomba...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali Ina Jukumu la Kuwekeza kwa Kiwango Stahiki Katika Elimu na Vipaji vya Wananchi Wake

    Miongoni mwa mambo yanayopaswa kupewa kipaumbele zaidi na serikali ni uwekezaji katika elimu na vipaji vya wananchi wake. Hii ina maana kwamba afya, elimu na lishe ni muhimu katika kukuza uchumi wenye nguvu, ushindani na unaostawi. Hivyo basi, serikali inapaswa kuwekeza katika miundombinu ya...
  18. JamiiForums Tanzania Iran: Wanafunzi Vyuo Vikuu na Sekondari wachachamaa kupinga udhalimu wa kidini, huku serikali ikilaumu Marekani na Israel

    Badala ya rais na mayatollah wasklize wananchi wao, wameamua kulaumu Marekani na Israel..... DUBAI, United Arab Emirates (AP) — Iranian President Ebrahim Raisi on Tuesday appealed for national unity and tried to allay anger against the country’s rulers, even as the anti-government protests that...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali haitafunga mpaka wake na Uganda kisa Ebola

    Serikali imesema itajikita katika kutoa elimu kwa umma kuhusu namna ya kujikinga na mlipuko wa Ebola badala ya kufunga mipaka mkoani Kagera. Hayo yalielezwa juzi na mkurugenzi msaidizi kitengo cha elimu ya afya kwa umma, Dk Ama Kasangala katika kikao na wadau wa afya mjini Bukoba, kilicholenga...
  20. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Serikali za Mtaa wanajichukulia poa hawafanyi majukumu yao stahiki

    Baadhi ya wakazi wa Kijiji cha Uchira, wilayani Moshi, mkoani Kilimanjaro, wamekusanyika kulalamikia uongozi wa serikali ya Kijiji hicho, kudaiwa kuuza maeneo ya barabara pasipo kuwashirikisha, hali inayowafanya kukosa njia za kwenda kutafuta huduma za kijamii. Chanzo: ITV ***** Nimesoma hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…