serikali

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mikakati ya Serikali ya Rais Samia kuhusu akiba ya Chakula Nchini

    Leo Novemba 22,2022. Rais Samia Suluhu amezindua ghala lenye uwezo wa kuhifadhi nafaka tani 25,000 pamoja na vihenge vyenye uwezo wa kuhifadhi tani 15,000 ambavyo vyote kwa pamoja vina uwezo wa kuhifadhi tani 40,000. Lengo la Serikali ni kujenga maghala mengi zaidi nchini ili kuongeza uwezo wa...
  2. JamiiForums Tanzania Mali yapiga marufuku Mashirika yasiyo ya serikali yanayofadhiliwa na Ufaransa

    Serikali ya kijeshi ya Mali Jumatatu ilipiga marufuku shughuli za mashirika yasiyo ya serikali yanayofadhiliwa au kuungwa mkono na Ufaransa, ikiwa ni pamoja na mashirika ya kibinadamu, huku kukiwa na mzozo unaozidi kuwa mbaya kati ya Paris na Bamako. Waziri Mkuu wa muda wa taifa hilo la Afrika...
  3. JamiiForums Tanzania Suala la umeme Tanzania ni uzembe wa Serikali

    Wanyamwezi tuna usemi "if it ain't broke, don't fix it." Tulikua tunaenda vizuri tu, umeme ukikatika hauendi muda mrefu unakua umerudi. Lakini tukaona hapana, tupindue meza. Kalemani kaa pembeni ili aje January. Makamba tungeweza kumuweka hata wizara ya mambo ya nje, lakini wapiii? Kalemani...
  4. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Simu zapigwa marufuku Magerezani Uganda wakati wa Kombe la Dunia

    Agizo hilo limewataka Wafanyakazi wa Magereza kutotumia 'Smartphone' muda wote wakiwa kazini kwa maelezo kuwa Wafungwa wanaweza kutumia msisimko wa Soka kutoroka. Msemaji wa Magereza Frank Baine amesema "Wafanyakazi wote hawatakiwi kuripoti kazini na Simu kwa sababu zinavuruga umakini na...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini Mabenki bado yanakata Tozo za Miamala zilizofutwa na Serikali?

    Hivi wakuu mmegundua wizi unaofanywa na Mabenki kwenye makato ya miamala? Licha ya Serikali kufuta Tozo za Miamala ya uhamishaji fedha ndani ya Benki, kwenda kwenye Simu pande zote, kutoka Benki moja kwenda nyingine tangu Okt. 1, 2022 lakini bado kuna Benki zimeendelea kukata tozo hizo bila...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini wenyeviti Serikali za mtaa/Vijiji hawashitakiwi mahakamani au kufungwa kwa kushiriki utapeli/wizi wa ardhi?

    Wadau hawa jamaa wanashiriki mno ktk wizi WA ardhi kwa makusudi. Mbona sisikii wakifungwa au walau wakipandishwa kizimbani? Yaani hata akijua mahali ni open space au palishauzwa, maadam tu wamekuja watu wanataka kuuziana, anasaini, anatia mihuri anaomba 10% anasepa. Wanaogopwa? Kunani? Wengi...
  7. JamiiForums Tanzania Nje ya Social media Serikali ya Awamu ya 6 inasemwa ovyo sana

    Heri Yako wewe unaepata nafasi ya kuandika chochote hapá kwenye jukwaa la watu laki sita. Lakini pia ndani kuna chawa wakupaka rangi uongozi wa sa100 kutuamaninisha mambo Yako bomba. Kama watu wote wangekuwa na uwezo/,Uhuru wa kueleza hisia Zao hazarani, basi tungeshuhudia maandamo makubwa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Chuki na uchochezi wa Dr. Bashiru Ally kwa serikali ya Rais Samia

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imekuwa mkombozi kwa wakulima nchini, tunaona jinsi serikali inavyopambana katika kuwainua wakulima kwa kutoa mbolea za ruzuku, kufuta tozo zilizokuwa kero kwa wakulima nchini, kutafuta masoko ya mazao nje ya nchi; tumeshuhudia kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Kuwabagua waliosoma private mikopo elimu ya juu kunaenda kuigharimu Serikali

    Iko hivi. Kama ulisoma O-Level na Alevel au moja wapo private basi kupata mkopo toka Loarn board ni shida. Private secondary school zilikua zinasaidia kupunguza mzigo wa kuendsha elimu kwa serikali. The same vyuo vikuu. Ujue serikali inafadhiri shule zake kwa idadi ya wanafunzi shuleni. Wazazi...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali iendelee na sherehe za kumpongeza Majaliwa

    Serikali naipongeza kwa hili, aendelee kuitwa na kupongezwa kila kona. Arudi tena bungeni kupongezwa. Afanyiwe HBD. Huu ni muda wa kupongeza sio muda wa kuchukua hatua za kudhibiti majanga. Kwanza haiko kwenye ilani ya chama. Pili serikali haijaleta haya majanga. Hata mwezi haijapita dege...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali hamisheni dampo la Pugu Kinyamwezi

    Viongozi wenye dhamana katika hili,nawasalimu! Jana jioni mida ya saa moja nilipita mitaa ya PUGU KINYAMWEZI, nilistushwa na moshi uliotanda kwenye mazingira Yale nyumba zote zimezingirwa na moshi mithili ya ukungu wa usubuhi kwenye safu za milima ya Uluguru. Kiukweli, mimi tu mpita njia Tena...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali haikatazi kufuga mjini lakini inakataza kulima?

    Watanzania huwa tuna mambo ya ajabu sana. Tupo kinyumenyume sana. Kulima mazao kama mahindi mjini hakuna madhara yoyote, zaidi zaidi ni faida kwa mazingira ya mjini. Ni kama bustani mjini. Lakini utakuta miji mingi inasheria ya kutoruhusu mazao kama mahindi kupandwa mjini, wakitishia kuyakata...
  13. JamiiForums Tanzania Wazo kwa Serikali yetu kupitia kwa Waziri wa Mambo ya Ndani

    Kuundwe kikosi kazi madhubuti kwa ajili ya kupambana na majanga. Tumezoea kuona kuwa Jeshi la zima moto ndio liko kwa ajili ya kupambana na majanga hasa ya moto lakini kiukweli kuna majanga zaidi ya moto ambapo yanapotokea jeshi hilo haliwezi kuingilia kati. Sasa nashauri hivi kama ilivyo kwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wito wa Maandamano makubwa kulaani Serikali kushindwa kuleta maji ya uhakika kwa miaka 60

    Hivi hii serikali ya CCM iko madarakani kwa Uhalali upi? Miaka 60 ya Uhuru imepiga marktime na kufanya mambo mengi yasiyo ya maana na kuacha mengi ya maana. 1. Hivi Wakati Serikali ya CCM inavumilia ufisadi wa EPA , Rada Meremeta, Kagoda, Richmondi Ndege ya Rais, hizo pesa zisingeweza kusaidia...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri Serikali sitisheni machine za kamari kwa manufaa ya umma

    Nilienda Bagamoyo Kidomole kuangalia shamba langu. Wakati nasubiri wafanyakazi wangu waje njia panda nikaona gari lina park na wachina wawili wakashuka wakaenda kwenye kibanda na kurudi na mfuko. Nilishangaa kuona wachina wako huko. Nilivyo uliza watu wa pale wakasema ni wamiliki wa machine za...
  16. JamiiForums Tanzania RC Makalla: Serikali haitaweza kufanya kila kitu, mengine fanyeni wenyewe

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Amos Makalla amewaasa wakazi wa wilaya ya Ubungo kuacha kuwaza kila kitu kitafanywa na Serikali badala yake katika baadhi ya mambo wanatakiwa kufanya wenyewe kwa kushirikiana na wadau kutoka sekta binafsi. Hayo ameyasema leo Jumanne Novemba 15, 2022 baada ya...
  17. JamiiForums Tanzania Maelfu Iran waendelea kuamsha popo, maandamano yako pale pale licha ya serikali kuwaua kisa dini

    Leo jumanne wananchi wa Iran wametikisa kote kote... Protesters in Iran led a fresh bout of demonstrations on Tuesday to commemorate 2019 Bloody November protests over fuel prices — protests which were ultimately put down by government force. It comes after more than two months of protests...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali yaeleza sababu ya daraja la juu VETA kupinda

    Dar es Salaam. Serikali imefafanua kuhusu kupinda kwa daraja la juu la makutano ya barabara za Nyerere na Kawawa eneo la taa za Veta - Chang'ombe ikisema limejengwa hivyo kutokana na usanifu wake. Akizungumza leo Novemba 15 wakati wa ziara ya Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali yafuta Vikosi Kazi vya ukusanyaji mapato TRA

    Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania, Uledi Mussa amesema Vikosi hivyo vimeondolewa ili kuhakikisha kunakuwa na Haki katika ukusanyaji mapato nchini. Amesema TRA inataka watu walipe Kodi bila Shuruti na hivyo Mamlaka hiyo imeagiza Maofisa wake wakusanye kodi bila...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali ina lengo gani kutetea Sheria ya Ndoa inayoruhusu watoto wenye miaka 14 kuolewa?

    Mapungufu na changamoto zilizopo katika Sheria hii zinaleta mkanganyiko katika kusimamia na kutafsiri masuala yanayohusu ndoa nchini Tanzania. Kwa mfano Sheria ya Ndoa inakinzana na Sheria ya mtoto ambayo inamtafsiri mtoto kama mtu yoyote alieko chini ya umri wa miaka 18, wakati Sheria ya ndoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…