serikali

  1. JamiiForums Tanzania Mbona Dkt. Mwigulu haeleweki? Yaaani madeni ya sekta binafsi ni ya Serikali? Mmemuelewa Watanzania?

    Haeleki kabisa
  2. JamiiForums Tanzania Hivi haiwezakani sisi na Serikali kila mtu akawa na maisha yake tusiingiliane?

    Tunapoelekea ni kubaya sana naona madeni yanazidi kila kukicha, niliwaza tu ifikie hatua Serikali iwe private na sisi tuishi maisha yetu ,barabara zilizoko zinatosha shuleni za serikali igeuze ziwe private tutalipa ada kama kawaida. Masuala ya michango yafe maana shule private huwa hatukuwa...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kwa mwaka 1 na miezi 9 Serikali ya Samia imeokoa Trilioni 20

    Kwa miaka 5 Magufuli alikopa Trilioni 36, wastani wa Trilioni 7 kwa mwaka. Magufuli alipofariki mwaka jana mwezi March aliacha Deni la Taifa liko Trilioni 71. Toka mwaka jana Mwezi Aprili hadi October mwaka huu kwa mujibu wa ripoti ya Benki kuu ya Tanzania Deni la Taifa limeongezeka kwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ubaya wa Hayati JPM ni kudhibiti mianya ya rushwa na kusimamia vyema mapato ya Serikali?

    Watanzanzania sio watoto wadogo. Wanaakili timamu. Tamko lako kuwa wabaya wanakufa na wema wanasurvive lilimlemga mojamoja kwa moja hayati JPM. Kisa cha wewe kumlenga ni kwa sababu alidhibiti mafisadi ? Alihakikisha hakuna mgao wa umeme unaoletwa na January? Alihakikisha kuwa pesa za umma...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Kama Wizara ya Maliasili na Serikali hawana mkakati wa kutokomeza kunguru weusi, tuwape tenda wachina

    Kama nchi ningeshauri tujifunze kushughulika na kero hata kama hazina madhara ya moja kwa moja! Huko ulaya wenzetu huwa wanafanya oparesheni ya kuondoa paka, mbwa na ndege wasio natija! Hata hapa kwetu sioni kama inashindikana kuwaondoa kitaalam hawa kunguru weusi! Historia inasemekana wazo la...
  6. JamiiForums Tanzania Ni hujuma kwa Taifa

    Hii ni dharau kwa Rais samia pamoja na serikali yake kwa ujumla. Ni jambo lenye fedheha kabisa rais anapotoa maelekezo yasizingatiwe. Mkuu wa nchi anapoongea inakuwa ni amri. tumekosa mvua kwa muda mrefu na kumekuwepo na uhamasishaji kutoka kwa mheshimiwa Rais, makamu wa rais, waziri mkuu na...
  7. JamiiForums Tanzania Iran: Mfungwa aliyekamatwa kwa kuipinga Serikali anyongwa

    Serikali imetangaza ni tukio la kwanza la kunyongwa hadharani kwa Mohsen Shekari aliyekutwa na hatia ya kufanya uhalifu ikiwemo kumshambulia Askari kwa Kisu na kufunga Barabara Adhabu hiyo inakuja wakati wafungwa wengine pia wakikabiliwa na uwezekano wa kuhukumiwa kifo kwa kuhusika katika...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kwenye Mahakama za Haki, Serikali dhalimu haziwezi kutoboa

    Tumezisikia kesi zikiihusisha serikali ya Tanzania.Tumeyasikia madege yakishikiliwa. Hivi serikali yetu inasimamia haki wapi? 1. Angalia hili la kuwafutia watoto wadogo matokeo ya mitihani. Wapi hukumu za jumuiya zinakubalika? Kwa nini hawakuwakamata wahalifu na kuwashughulikia kikamilifu hao...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali ya Ujerumani yanusurika kupinduliwa

    Watu kadhaa wamekamatwa nchini Ujerumani katika jaribio la mapinduzi. Zaidi ya polisi 3000 wamesambazwa kwenye miji mbalimbali ya nchi hiyo tokea Berlin mpaka Hamburg. Mpaka sasa jumla ya viongozi 22 wa mapinduzi hayo wameshakamatwa na jeshi linaendelea kufuatilia mtandao wa wapangaji hao wa...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Serikali haipo kwa maslahi yetu bali kufanikisha upigaji wao

    Haiko hivi katika nchi zingine. NIsiache kumkumbuka yoga, kwetu ni kampuni la watu na familia zao. Mifano ni mingi hata hivyo tuanzie na elimu ya juu, tuelewe ya loan board. Elimu ya juu rasmi ni private education isiyokuwa na ruzuku popote. Wanafunzi wanalipa malipo yote in full. Tuition fees...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya imepiga marufuku shule za bweni kwa ngazi ya msingi, sisi ndiyo kwanza tunakumbatia

    Kenya imetangaza kuanzia mwakani hakutakuwa na Bording school kwa watoto wa shule za msingi na wazazi wanapaswa kuwa wanawapeleka watoto shule asubuhi. Hii ni kwa ajili poa ya kutaka watoto wawe karibu sana na Wazazi wao kwa swala zima la malezi. Sasa njoo kwwtu Tz ambako kupeleka mtoto mdogo...
  12. JamiiForums Tanzania Anachokifanya Hamisi Kingwangalla kuhoji kuhusu mabehewa yaliyonunuliwa ni kwa nia ovu, ni vyema ajibiwe

    Hamisi Kingwangala (Mb), Nzega Vijini, amekuwa akitoa maneno yenye nia ya kuchonganisha kuhusu mabehewa yaliyonunuliwa katika ukurasa wake wa tweeter. Kwa nafasi yake anapowauliza Watanzania kama mabehewa ni ya mtumba? Na kuonyesha tumepigwa bila ushahidi, huku akisema hajayaona mabehewa hayo...
  13. JamiiForums Tanzania Kigwangalla: Kwanini Serikali imenunua mabehewa ya SGR yaliyotumika (used)?

    Mbunge wa Nzenga Vijijini Dr. Hamisi Kigwangalla kupitia mtandao wa twitter amehoji kwanini Serikali imenunua mabehewa “used” Amesema “Hili behewa moja (tena used) limenunuliwa kwa sh ngapi? Tumeambiwa yapo haya mabehewa 54, yamenunuliwa kwa us$ 59mn. Kwa hiyo behewa moja ni us$ 1,092,592...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kuikosoa Serikali ukiwa madarakani ni kazi ngumu mno

    Kufupisha Uzi nitatoa mfano! Chukulia ukiwa na njaa Kali, umepigika, jua kali halafu ukapewa lifti ya gari na dreva ambaye katika safari yenu kuna sehemu akakosea! Kama huwezi kumsema vibaya dereva wako au kumkosoa kwa uderevawake mbovu! Ndivyo ilivyo vigumu kuikosoa serikali inayokulipa...
  15. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mafundi wengi huikimbia miradi ya serikali ya ujenzi kutokana na mlolongo mrefu wa malipo!

    Wakuu Katika kipindi HIKI cha ujenzi wa madarasa nchini unaoendelea, nimefanya mazungumzo na mafundi wakuu na wakuu wa shule mbalimbali na kukutana na malalamiko kuhusu mlolongo mrefu sana wa upatikanaji wa fedha za malipo kwa mafundi wakuu na vibarua wao! "Unajuta day worker anaomba hela yake...
  16. JamiiForums Tanzania Lugha chafu, dharau na rushwa kwenye huduma za kijamii, hospitali, idara ya maji, TANESCO na ofisi nyingine za Serikali hata hili serikali mshindwa?

    Kwanini haya masuala yamerudi kwa kasi kwa hawa watoa huduma? Mbona mengine hata hayaitaji fedha kutasimamia lakini wananchi wanakumbana na hii janga la kudharauriwa, kunyanyapaliwa, kukejeli, kutojaliwa na wala kutoheshimiwa... na ukitaka ukwepe hayo yote basi TOA RUSHWA.. Tunaenda wapi sasa...
  17. JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini viongozi wengi na Taasisi nyingi hasa za Serikali hawapendelei sana kufanyia kazi Tafiti zinazofanyika hasahasa vyuo vikuu?

    Kwa taarifa tu ni kwamba, Wakufunzi ( Wahadhiri) wa Vyuo mbalimbali hasahasa vyuo vikuu, mojawapo ya majukumu yao ya msingi ni kufanya Tafiti mbalimbali. Ukiangalia kwenye google scholar kisha ukaanza kutafuta research zilizofanyika hapa nchini na wahadhiri wetu, utakutana na utitiri wa tafiti...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Serikali kwa kuanzia kutekeleza Ugawaji wa Vishikwambi kwa Walimu

    Mapema wiki hii inayoishia, nimefurahi sana kuona Serikali ikigawa bure kwa walimu wa VETA vishikwambi ( tablette) vilivyokuwa vinatumika ktika zoezi la Sensa la mwezi Agasti. Baada ya zoezi la Sensa kutamatika, Serikali hii tukufu ya Mama Samia iliahidi kugawa vishikwambi vilivyokuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali ya DR Congo yamuonya Kagame kumuongelea vibaya Rais Tshisekedi

    Msemaji wa Serikali Patrick Muyaya amesema Rais Paul Kagame ana lengo la kumdhoofisha Rais Tshisekedi kwenye Uchaguzi ili aendelee kufanya uporaji wa madini kwenye maeneo yenye migogoro Muyaya amesema Kagame hana sifa ya kuongelea masuala ya Utawala Bora kwa kuwa kwenye suala la Demokrasia...
  20. JamiiForums Tanzania Harmonize anahamasisha matumizi ya madawa ya kulevya kwenye nyimbo zake. Serikali hamlioni hili?

    Harmonize ametoa wimbo unaohamasisha matumizi ya bange lakini cha ajabu mpaka sasa serikali bado haijamchukulia hatua zozote za kinidhamu. Huyu jamaa ulimbukeni na ushamba vinampeleka puta sana, hayo mambo ya mabangi yake angebaki nayo huko huko lakini si kuja kututangazia upumbavu wake.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…