Serikali ya Kenya imepiga marufuku shule za bweni kwa ngazi ya msingi, sisi ndiyo kwanza tunakumbatia

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
4,474
8,692
Kenya imetangaza kuanzia mwakani hakutakuwa na Bording school kwa watoto wa shule za msingi na wazazi wanapaswa kuwa wanawapeleka watoto shule asubuhi.

Hii ni kwa ajili poa ya kutaka watoto wawe karibu sana na Wazazi wao kwa swala zima la malezi.

Sasa njoo kwwtu Tz ambako kupeleka mtoto mdogo Bording schoolni sifa kubwa saba mtaaani na pia ni fashion kabisa, huwa nashindwa kuelewa how come mtoto ana miaka 7 anapelekwa Bording school akakae huko na wapo wazazi wanafanya hi vyo ili wawe free wapate muda wa kula bata.

Na hao ndio wa kwanza kulalamika.swala la maadili kwa watoto.

========

The government will from January 2023 do away with boarding primary schools for pupils learning in grades 1 to 9.

New Basic Education Principal Secretary Belio Kipsang' revealed on Tuesday that parents will have to take their primary schools kids to day schools.

The net effect of the radical policy means that pupils transiting to Junior Secondary Schools will join day schools in their home areas.

“We must create a way in which we can be with our children and the only way is through day schooling. The first nine years of learning that are Grades 1 to 9, the direction that the government is taking will be day schooling,” Kipsang' said.

Already the government has ordered that JSS be domiciled at primary schools, meaning that pupils will continue schooling in their current schools – which will now have to be day schools.

Kipsang' said that parents have the primary responsibility as first educators to walk with their children and ensure that they acquire the right values they desire them to have.

“We cannot outsource our responsibility as we parents, we only co-parent with teachers but we cannot outsource parenting from the teachers,” Kipsang' said.

“Going forward, day schooling will be the direction, that’s the only way we shall be able to engage with our children."

Kipsang' made the revelations when he represented President William Ruto for the official opening ceremony of the 18th Kenya Primary School Heads Association (KEPSHA).

The primary school heads are meeting in Mombasa for their Annual General Meeting at the Sheik Zayed Children's Welfare Center.

Kipsang' said that Kenya has the highest percentage of its children globally in boarding schools, standing at 28 percent.

He said this is against the global rate in most countries which stand at 15 percent.

TheStar
 
Kuna wajinga wanapeleka hadi wa miaka mitatu

Haya mambo nilishayakaa,wanangu mpaka miaka 6 ndo anaenda shule,huo muda wa 0 mpaka 5 anakuwa anajifunza stadi mbali mbali katika mazingira anayoishi na akianza shule wakati wa likizo ni marufuku kushika daftari ama kitabu,likizo ni kula bata na kujifunza stadi mbalimbali kama kulima bustani au ufundi wa aina mbalimbali.
 
Sisi tutaendelea kuburuza mikia na kuiga mema ya wenzetu, hatuwezi kubuni. Subiri uone baada ya miaka kadhaa na sisi tutapiga ban boarding schools kwa watoto wadogo.

Ndio maana unakuta mtoto ana three yrs anaanzishwa class one, tunafanya vitu hatuzingatii hata ukuaji wa mtoto. Nikiamua wangu aanze na 2yrs, mwenzangu akiamua wake aanze na 6yrs na mwingine aanze na 7yrs..yaanu tafrani tupu.
 
Kenya kuna vitu akili hawana kabisa wajinga sifuri

Mtu mume na mke wote mfano wote wanajeshi mume mwanajeshi yuko kikosi cha Kenya kilichoko Somalia

Mwingine mwanajeshi mwanamke mkewe yuko Kikosi cha jeshi cha Kenya kilichoko kongo

Mtoto wao unapotaka kuwa awe na wazazi wake asiwe bweni asome wapi congo au Somalia day school?

Wakenya kwa hili hopeless kabisa

Unakuta mfano mama changudoa malaya anajiuza chumba anakitumia kujiuza humo humo wanachokaa na mtoto anaishi na mtoto uwanja wa fisi kwa malaya usalama wa huyo mtoto ni bweni

Factors za kupeleka watoto bweni ziko nyingi mno mojawapo ni kuhakikisha mtoto anaondoka eneo hatarishi kwa mtoto

Kuna day mtoto anasafiri umbali mrefu mno kwenda shule

Pia kuna wafugaji huhama hama kutoka eneo moja kwenda lingine ambalo hata shule hizo za day hazipo solution yao ya watoto wao kusoma ilikuwa bweni

Kuna Wakenya Diaspora mume na mke wako nje watoto husomesha Bweni Kenya sababu hawawezi afford kusomesha watoto wao nchi waliko Anataka wasome day ipi? Uamuzi wa kijinga Ruto na serikali yake wa wamefanya

Kenya wamefanya uamuzi wa kijinga sana .Tanzania tusije kuiga.uamuzi huo Utamlipukia puani Ruto sio muda mrefu utelekezaji ukianza.Mark my words.
 
Kenya imetangaza kuanzia mwakani hakutakuwa na Bording school kwa watoto wa shule za msingi na wazazi wanapaswa kuwa wanawapeleka watoto shule asubuhi.

Hii ni kwa ajili poa ya kutaka watoto wawe karibu sana na Wazazi wao kwa swala zima la malezi.

Sasa njoo kwwtu Tz ambako kupeleka mtoto mdogo Bording schoolni sifa kubwa saba mtaaani na pia ni fashion kabisa, huwa nashindwa kuelewa how come mtoto ana miaka 7 anapelekwa Bording school akakae huko na wapo wazazi wanafanya hi vyo ili wawe free wapate muda wa kula bata.

Na hao ndio wa kwanza kulalamika.swala la maadili kwa watoto.

View attachment 2437749View attachment 2437750
Hii ni kwa shule za serikali tu. Private boarding zitaendelea.
 
Sisi tutaendelea kuburuza mikia na kuiga mema ya wenzetu, hatuwezi kubuni. Subiri uone baada ya miaka kadhaa na sisi tutapiga ban boarding schools kwa watoto wadogo.

Ndio maana unakuta mtoto ana three yrs anaanzishwa class one, tunafanya vitu hatuzingatii hata ukuaji wa mtoto. Nikiamua wangu aanze na 2yrs, mwenzangu akiamua wake aanze na 6yrs na mwingine aanze na 7yrs..yaanu tafrani tupu.
Watanzania sio copy cat kwa taarifa yako huo uamuzi wa Kenya wa kijinga na utaleta vurugu Kenya muda si mrefu utelekezaji ukianza tutaheshimisna kuwa Tanzania tuna akili na huwa hatuigi vitu kibwege.

Subiri waanze implementation ndipo utatujua Watanzania tukisema kitu no tuna uhakika.

Ruto hilo kachemka yeye na serikali yake maamuzi ya kukurupuka.
 
Wasingezaaa mkuu,
Mtoto ni zawadi ni jukumu letu sote, wapo wengi wanapitia changamoto nyingi sanaaa kwenye mahusiano ya malezi hasa wale wote walio na watoto, iwe wazazi wanaishi pamoja ama hapanaaa.

Manyang'auu waweza kuwa ndugu/majirani/taasisi waendazo kikazi-elimuu etc
 
Actually kupeleka mtoto chini ya miaka 12 boarding ni bad parenting.

Kenya wako mbele sana kwenye kufikiri, ni ukabila tu unawatia doa.

Hata mtaala wa elimu ni wa aina yake, sio huu wa kwetu wa kukomalia ufaulu tuu.

Wakenya wakiwa kitu kimoja ni rahisi kutawala Afrika mashariki.
 
Kenya imetangaza kuanzia mwakani hakutakuwa na Bording school kwa watoto wa shule za msingi na wazazi wanapaswa kuwa wanawapeleka watoto shule asubuhi.

Hii ni kwa ajili poa ya kutaka watoto wawe karibu sana na Wazazi wao kwa swala zima la malezi.

Sasa njoo kwwtu Tz ambako kupeleka mtoto mdogo Bording schoolni sifa kubwa saba mtaaani na pia ni fashion kabisa, huwa nashindwa kuelewa how come mtoto ana miaka 7 anapelekwa Bording school akakae huko na wapo wazazi wanafanya hi vyo ili wawe free wapate muda wa kula bata.

Na hao ndio wa kwanza kulalamika.swala la maadili kwa watoto.

View attachment 2437749View attachment 2437750
kenya ndiyo wametangaza kupiga marufuku boarding school na hawajaanza kupractice hiyo marufuku, lakini cha ajabu umeshaanza kuponda nchi yako. Unaona kenya ni mbinguni?

I pity you
 
Actually kupeleka mtoto chini ya miaka 12 boarding ni bad parenting.

Kenya wako mbele sana kwenye kufikiri, ni ukabila tu unawatia doa.

Hata mtaala wa elimu ni wa aina yake, sio huu wa kwetu wa kukomalia ufaulu tuu.

Wakenya wakiwa kitu kimoja ni rahisi kutawala Afrika mashariki.

Actually kupeleka mtoto chini ya miaka 12 boarding ni bad parenting.
Hiyo ni vita ya kibiashara tu kati ya wamiliki wa shule za day schools na boarding schools nothing else

Kwa Kenya ni just business war

Hakuna cha bad parenting wala nini

Mtoto mara ingine kwenda bweni mfano Christian Schools za bweni akiwa anatokea kwenye faithless parents ambao hawana mpango na dini inamsaidia kumjenga kiimani kuanzia asubuhi,mchana,jioni na usiku.Anaishi kwenye good environment ya faith society
 
Kenya kuna vitu akili hawana kabisa wajinga sifuri

Mtu mume na mke wote mume wanajeshi yuko kikosi cha Kenya kilichoko Somalia

Mwingine mwanajeshi mwanamke yuko Kikosi cha jeshi cha Kenya kilichoko kongo

Mtoto wao unapotaka kuwa awe na wazazi wake asiwe bweni asome wapi congo au Somalia day school?

Wakenya kwa hili hopeless kabisa

Unakuta mfano mama changudoa malaya anajiuza chumba anakitumia kujiuza humo humo wanachokaa na mtoto anaishi na mtoto uwanja wa fisi kwa malaya usalama wa huyo mtoto ni bweni

Factors za kupeleka watoto bweni ziko nyingi mno mojawapo ni kuhakikisha mtoto anaondoka eneo hatarishi kwa mtoto

Kuna day mtoto anasafiri umbali mrefu mno kwenda shule

Pia kuna wafugaji huhama hama kutoka eneo moja kwenda lingine ambalo hata shule hizo za day hazipo solution yao ya watoto wao kusoma ilikuwa bweni

Kuna Wakenya Diaspora mume na mke wako nje watoto husomesha Bweni Kenya sababu hawawezi afford kusomesha watoto wao nchi waliko Anataka wasome day ipi? Uamuzi wa kijinga Ruto na serikali yake wa wamefanya

Kenya wamefanya uamuzi wa kijinga sana .Tanzania tusije kuiga.uamuzi huo Utamlipukia puani Ruto sio muda mrefu utelekezaji ukianza.Mark my words.
Mtoto kuwa day ni gharama kubwa, vilevile sio rahisi kucontrol tabia yake, mtoto anarejea nyumbani saa 9 mwingine mpaka saa 2 hajaonekana nyumbani. Kwa ufupi madhara ya watoto kuwa day ni makubwa mno. Nimeongezea tu mkuu.
 
Nachoamini Elimu ni kila kitu.
Lakini sio sawa kuwa na mabweni kwani Kuna shida kadha watoto huzipatia,
 
Mtoto kuwa day ni gharama kubwa, vilevile sio rahisi kucontrol tabia yake, mtoto anarejea nyumbani saa 9 mwingine mpaka saa 2 hajaonekana nyumbani. Kwa ufupi madhara ya watoto kuwa day ni makubwa mno. Nimeongezea tu mkuu.
Ni sahihi kabisa mzazi wala shule hakuna anayekuwa na udhibiti wa tabia ya mtoto hapo katikati.Bweni mtoto akikabidhiwa unajua nani responsible na mtoto na answerable kipindi yuko shule

Day school mtoto kwenda shule na kurudi yuko dunia yake ambayo mzazi na shule wala hawana control na tabia yake huko njiani katongozwa na konda wa daladala au bodaboda wamechepuka kufanyana nk nobody is responsible atakwambia usafiri ulikuwa mgumu kumbe wametoka kufanyana huko

Control ya character ya mtoto in between those movements hata awe anatumia school bus ngumu kuna issues unless mzazi awe na private car au ampeleke mtoto shule mkono kwa mkono na kwenda kumchukua mkono kwa mkono

Mtoto kupeleka Bweni wazazi wapelekaji sio wajinga kama serikali ya Kenya inavyotaka kuwaona.Ni wazazi watu wazima wenye akili zao

Pili Ruto ana ujinga mkubwa mno kwenye huo uamuzi anaua soko la kimatsifa la shule za bweni za kenya za chekechea na msingi

Nchi zote za Africa mashariki ikiwemo Tanzania, Uganda, Burundi, Rwanda, South Sudan, na Congo na nchi kama Somalia na Ethiopia hupeleka watoto nursery na Primary shule za Kenya sababu huamini kuna Elimu bora

Sasa akifuta bweni nursery na primary atajijua hao wakenya waliowekeza shule za private za chekechea na Primary zinazopokea wanafunzi kibao toka nchi za East African Community mibasi kibao na ndege zikishusha watoto toka nchi hizo akifuta atajijua.Kwa hiyo anataka wasome day?

Huo uamuzi wa Ruto na serikali yake hopeless na utapata resistance kubwa
 
Kipsang' said that parents have the primary responsibility as first educators to walk with their children and ensure that they acquire the right values they desire them to have.

“We cannot outsource our responsibility as we parents, we only co-parent with teachers but we cannot outsource parenting from the teachers,” Kipsang' said.
Kwa hiyo watoto wote kutoka nchi zingine za East African community wanasoma hizo shule za Primary za kenya za Bweni wasikanyage tena kenya wakasome kwenye nchi zao kwa wazazi wao nchi waliiko

Kenya Primary schools are for Kenyans only whose parents are in Kenya .Ok ?

The rest January 2023 ikifika wasilete watoto kenya sababu hakuna bweni tena kwa ajili yao primary school
 
Kenya imetangaza kuanzia mwakani hakutakuwa na Bording school kwa watoto wa shule za msingi na wazazi wanapaswa kuwa wanawapeleka watoto shule asubuhi.

Hii ni kwa ajili poa ya kutaka watoto wawe karibu sana na Wazazi wao kwa swala zima la malezi.

Sasa njoo kwwtu Tz ambako kupeleka mtoto mdogo Bording schoolni sifa kubwa saba mtaaani na pia ni fashion kabisa, huwa nashindwa kuelewa how come mtoto ana miaka 7 anapelekwa Bording school akakae huko na wapo wazazi wanafanya hi vyo ili wawe free wapate muda wa kula bata.

Na hao ndio wa kwanza kulalamika.swala la maadili kwa watoto.

========
The government will from January 2023 do away with boarding primary schools for pupils learning in grades 1 to 9.

New Basic Education Principal Secretary Belio Kipsang' revealed on Tuesday that parents will have to take their primary schools kids to day schools.

The net effect of the radical policy means that pupils transiting to Junior Secondary Schools will join day schools in their home areas.

“We must create a way in which we can be with our children and the only way is through day schooling. The first nine years of learning that are Grades 1 to 9, the direction that the government is taking will be day schooling,” Kipsang' said.

Already the government has ordered that JSS be domiciled at primary schools, meaning that pupils will continue schooling in their current schools – which will now have to be day schools.

Kipsang' said that parents have the primary responsibility as first educators to walk with their children and ensure that they acquire the right values they desire them to have.

“We cannot outsource our responsibility as we parents, we only co-parent with teachers but we cannot outsource parenting from the teachers,” Kipsang' said.

“Going forward, day schooling will be the direction, that’s the only way we shall be able to engage with our children."

Kipsang' made the revelations when he represented President William Ruto for the official opening ceremony of the 18th Kenya Primary School Heads Association (KEPSHA).

The primary school heads are meeting in Mombasa for their Annual General Meeting at the Sheik Zayed Children's Welfare Center.

Kipsang' said that Kenya has the highest percentage of its children globally in boarding schools, standing at 28 percent.

He said this is against the global rate in most countries which stand at 15 percent.

TheStar
Kwa Tz sheria imelekebishwa watoto wanaotakiwa kukaa bording ni kuanzia darasa la iv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom