serikali

  1. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali ndio iwe mwamuzi wa nani awe mwandishi wa habari na nani asiwe?

    Wakati Serikali ikitangaza kuwepo kwa mpango wa kuwatambua waandishi wa habari wakongwe ambao hawakusomea uandishi wa habari kwa ngazi ya stashahada, swali linalogonga vichwa ni kwa nini Serikali ndiyo iwe mwamuzi wa nani awe mwandishi wa habari na nani asiwe? Hivi karibuni, Msemaji Mkuu wa...
  2. JamiiForums Tanzania Nakataa kuihusisha serikali na mauaji ya Kijana James Temba

    Pamoja na uana Chadema wangu na kupenda haki kwangu ila haya mauaji ya Kijana mdogo mwanafunzi wa IFM Bado nagoma kwenye akili yangu kuyahusisha na serikali au Kisiasa Kijana James Temba hakuwa na threat yoyote Kwa watawala na inasemekana yeye na familia yake ni makada wa CCM Nadhani waharifu...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali yatoa Ruzuku ya Dizeli kulinda Wananchi

    Serikali ya Tanzania imechukua hatua ya kulinda wananchi dhidi ya ongezeko la bei ya mafuta duniani kwa kutoa ruzuku ya takribani shilingi 259 kwa kila lita ya dizeli. Kwa mujibu wa taarifa ya EWURA, mabadiliko ya bei za mafuta kwa mwezi Mei 2026 yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na hali ya soko...
  4. JamiiForums Tanzania Ruzuku ya Dizeli: Serikali Yalinda Wananchi

    Serikali ya Tanzania imechukua hatua ya kulinda wananchi dhidi ya ongezeko la bei ya mafuta duniani kwa kutoa ruzuku ya takribani shilingi 259 kwa kila lita ya dizeli. Kwa mujibu wa taarifa ya EWURA, mabadiliko ya bei za mafuta kwa mwezi Mei 2026 yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na hali ya soko...
  5. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Finance Bill 2026: Serikali Yalenga Mitumba, Simu na Magari — Je, Mwananchi wa Kawaida Ataumia Zaidi?

    Finance Bill 2026 imeleta mjadala mkali sana miongoni mwa Wakenya, especially kwa sababu inagusa vitu za everyday life kama mitumba, simu na hata juice. Serikali inasema hii ni njia ya kuongeza revenue, lakini wananchi wengi wanaona mzigo unaongezeka. Kwa mfano, wafanyabiashara wa mitumba sasa...
  6. JamiiForums Tanzania Kinachowasaidia yanga ni UCHAWI na siasa za watu Fulani wa serikali, ila Hawana UWEZO WOWOTE KIMPIRA.

    Huo NDIO ukweli. Ukifanikiwa kujua mitego yao ya kichawi, kisiasa kimipango, basi umewashika makendeni. Kuna nguvu kubwa kichawi inafanyika Sasa mvua inyeshe sana na pia nguvu kubwa kisiasa na wanasiasa baadhi watumie ushawishi na nguvu zao kimaamuzi mechi iharishwe halafu mechi ijayo...
  7. JamiiForums Tanzania Wito kwa serikali kuhusu uzingatiaji wa sheria ya takwimu (sura ya 351

    Kwa kuzingatia masharti ya Kifungu cha 37 cha Sheria ya Takwimu, kinachokataza utoaji na upotoshaji wa takwimu rasmi kwa nia ya kuwahadaa wananchi, Serikali inapaswa kuimarisha usimamizi kwa wanasiasa na viongozi wa kijamii wanaotoa takwimu bila weledi. Nukuu ifuatayo inapaswa kuwa muongozo...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kwenye hii Dunia, unatakiwa kuheshimu Dola na serikali, uki Mess Up hata Mungu Hana cha kukusaidia

    Ukitafakali kwa undani Mwenyezi Mungu hana muda wa kuhangaika na mambo ya duniani, yeye ni Mtakatifu ktk Mambo ya Mbinguni tu. Hahangaiki na mambo ya ulimwengu huu, uki mess up imekula kwako Je wewe umejifunza nini kwenye dunia ya leo?
  9. JamiiForums Tanzania Serikali mmeweka WIFI masokoni na stendi ila mmezipiga pin( password)

    Serikali mmefanya jambo zuri kuweka kufunga public WIFI masoko makuu na stendi lakini cha ajabu mmeweka password , lengo lenu kuweka ilikuwa ni nini kufunga WIFI kwa matumizi yenu binafsi? Kama mmeamua kuweka free Internet basi tueni password ili abiria waweze kutumia huduma ya Internet na sio...
  10. JamiiForums Tanzania Watumishi Geita waomba serikali kuwawezesha bando

    Wafanyakazi kutoka idara tofauti mkoani Geita, wameiomba Serikali kuangalia uwezekano wa kutenga fedha kwaajili ya vifurushi vya Intaneti, ili kuwawezeaha utumaji wa taarifa na madokezo kwa waajiri wao kwa wakati. Kutokana na kupanda kwa gharama za maisha nchini na baadhi ya watumishi kuishi...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wenye magari ya Serikali wanaowasha ving’ora wao ndio wanaharaka kuliko wengine kila siku?

    Naomba kuuliza swali, Hivi haya magari (basi) ya Taasisi na Serikali yanayowasha taa na ving'ora ili kufanya Wananchi na Watumiaji Barabara, kuwapisha nyakati zote tena hasa wakati wa foleni - je, ni sawa? Wao ndio wana haraka muda wote kuliko Wanachi wengine wa kawaida? Au mimi ndio sielewi...
  12. JamiiForums Tanzania Prof. Nagu: Serikali imewekeza zaidi ya Shilingi Trilioni 1.34 kuboresha Huduma za Afya Msingi

    Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia afya Prof. Tumaini Nagu amesema kuwa, Serikali imewekeza zaidi ya Shilingi Trilioni 1.34 kuleta mageuzi katika utoaji wa huduma za afya msingi ndani ya kipindi cha miaka minne iliyopita ya uongozi wa...
  13. JamiiForums Tanzania Tetesi: AZAKI ndiye mpangaji na mfadhili mkuu wa matukio ya kigaidi na vurugu za Okt. 29.2025

    Asasi za Kiraia hususani zile zilizotajwa na tume ya jaji chande ndie mpangaji, mratibu na mfadhili mkuu wa magaidi na wa matukio yote ya vurugu za Okt 29.2030. Ndizo zilizotoa mafunzo ya nadharia na vitendo kwa magaidi waliosababisha uharibifu na maafa mabaya sana yaliyotokea nchini kuanzia...
  14. JamiiForums Tanzania Mbona siku hizi serikali haipewi gawio kama kipindi cha JPM

    Crdb yapata faida ya bilion 206 robo ya mwaka huu. Nategemea serikali itakapo kuja na mambo ya kusema kwenye mei mosi waje na hili . Sio mnapokelea vichakani hizo gawio then mnagawana watu wachache....
  15. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Mkuu Usalama wa Taifa (DGIS), Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Wakuu wa mikoa wapo ofisini hata baada ya mauaji ya Oktoba 29, 2025

    Tukubali "ghasia" zilipangwa, kuratibiwa, kufadhiliwa na kutekelezwa. Tukubali watu 518 tu ndio waliouwawa, 758 wamepotea na 448 hawajulikani walipo ( 518+758+448=1,724! Namba 8 imependwa sana na Tume). Jumla watu 1,724 HAWAPO kama matokeo ya hicho kilichopngwa, kuratibiwa, kufadhiliwa na...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Makonda: Kabla hujainyooshea kidole Serikali tafakari kwanza familia yako

    Itakua ni ngumu sana kupiga vita madawa kulevya kama familia haijakaa sehemu yake, itakuwa ngumu mno kuwapata viongozi bora kama familia haijakaa sehemu yake, kwa hiyo ni wito wetu kama Serikali ya kwamba jukumu walilonalo kila mwananchi ni kuitafakari kwanza familia yake kabla hajanyoosha...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali ipige marufuku hawa madalali holela wa viwanja mitaa

    Kuna hawa jamaa unakuta mtu ana eneo kubwa anataka kuliuza wao wanaamua kuwa madalali, yaani viwanja vinakatwa vidogo halafu barabara wanakwambia hatua tatu. Hivi hatua tatu za miguu nd barabara ije kujengwa njia za watembea kwa miguu, taa za barabarani, two lane road au ndo mwanzo wa bomoa...
  18. JamiiForums Tanzania Dkt. Festo Dugange: Serikali imetenga Sh Bilioni 200 kuwawezesha Wananchi Kiuchumi

    Serikali imetenga kiasi cha Shilingi Bilioni 200 kwa ajili ya kuwezesha shughuli mbalimbali za kiuchumi nchini kote, ikiwemo sekta za kilimo, ufugaji wa mifugo pamoja na uvuvi wa samaki, Ili kuwawezesha wananchi kiuchumi kupitia fursa mbalimbali za kifedha zinazotolewa na Wizara pamoja na mifuko...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini serikali isi-focus miaka mitatu miji wa mkoa mmoja mmoja kama ilivyofanya kwa Dodoma

    Kwamba 2026 mpaka 2029 tunakwenda na Mtwara tunatenga trillion 5 kwa ajili ya mtwara tu viwanja vya michezo yote, vya ndege, bustani mijini kupanda miti katikati mwa miji maana HALMASHAURI zimeshindwa kuboresha miji tuwe kama ulaya, barabara zote za mjini kupigwa lami, Veta au workshop kama ile...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali yapiga hatua kubwa kutatua migogoro ya Ardhi na kuboresha Huduma

    Dodoma, Tanzania Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, inaendelea kuandika historia mpya katika sekta ya ardhi kwa kuhakikisha migogoro ya muda mrefu inapatiwa suluhu ya kudumu na huduma kwa wananchi zinaboreshwa kupitia teknolojia ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…