serikali

  1. S

    Kifo cha Sokoine: Watoto wake wataka mwili uchunguzwe kubaini kama alikufa kwa ajali au la!

    Picha: Gari lililosababisha kifo cha Hayati Sokoine Katika hali ya kushangaza, watoto na baadhi ya ndugu wa aliekuwa waziri mkuu wa Tanzania, Hayati Sokoine, wanataka uchunguzi ufanyike wa mwili wa marehemu ili kubaini kama ni kweli kifo chake kilitokana na ajali au laa. Uamuzu huo ulofikiwa...
  2. Serikali Kuwasaidia Wajasiriamali Kuzalisha Bidhaa Bora Ili Kupata Soko la Uhakika

    Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb) amesema kuwa mpango wa Serikali katika kuwasaidia wajasiriamali kuzalisha bidhaa bora ili kupata masoko ya uhakika. Mhe. Kigahe amabainisha hayo Aprili 16,2024 katika Ukumbi wa Bunge jijini Dodoma wakati akijibu swali la msingi la...
  3. Dkt. Nchimbi apinga kauli ya Mwenyekiti wa UVCCM Kagera aliyeahidi "kuwapoteza" wakosoaji wa serikali

    Ndio hivyo, kiongozi anatakiwa kupinga mambo ya kijinga hadharani. Tunasubiri la kijana wa Arusha. --- Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amekemea kauli zinazoweza kutolewa na vijana wa chama hicho juu ya kuwapoteza watu wanaowapinga: “Huyu ni kijana wetu kasema...
  4. CCM ya sasa ingekuwa smart ingemkana Mwenyekiti UVCCM Kagera. Kwa kunyamaza ni kama wanathibitisha ni wauwaji

    Kauli aliyoitoa Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Faris Buruhan ni ya HATARI kwa Usalama wa Nchi na hata Ustawi wa watu wake hivyo kitendo cha CCM Taifa hadi hivi sasa kuinyamazia ni Uthibitisho kuwa kwanza wao (CCM) ndiyo wamemtuma huyu mpumbavu kusema vile. Lakini pia ni Uthibitisho usio na...
  5. Unaposema Serikali acheni dhulma, inamaanisha serikali inadhulumu?kwani hawa parking ni mali ya nani?

    Ni kilio cha jamaa mmoja akilalamikia gari yake kukamatwa kwa deni la maegesho lililofikia tsh 400,000/= kwa muda wa miezi mitatu tu, tena inje ya nyumba anayoishi, Hawa parking walikua wana kifurushi cha siku angalau kilikua fair, ila kwa sasa ni shida kweli kweli Yaani kwa siku ni lazima...
  6. Majibu ya Serikali Kuhusu Vitambulisho vya NIDA Vyenye Ukomo na Visivyo na Ukomo

    SERIKALI KUANZA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI KUHUSU VITAMBULISHO VYA NIDA VYENYE UKOMO NA VISIVYO NA UKOMO Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly James Ntate ameuliza swali lililoelekezwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kuhusu...
  7. Mitume na manabii wa kisasa wasipodhibitiwa wanaweza kusababisha uchonganishi wa kitaifa.

    Wasalaam. Mahubiri mengi kwa hawa mitume na manabii wa kisasa yamejaa uchonganishi, manipulation, saikolojia na neno kidogo. Mengine yote sinashida nayo shida ni hii ambayo pia hata waganga huwa wanafanya. Uchonganishi. Yaani mtu anaenda kuombewa, muombewaji anaaminishwa kalogwa, mlogwaji...
  8. Serikali Kujenga Daraja la Mitomoni - Ruvuma

    Serikali ya Awamu ya Sita, Chini ya Wizara ya Ujenzi ipo mbioni kujenga Daraja la Kisasa na la Kudumu kwenye mto wa Mitomoni, kijiji cha mapotopoto ambalo litaunganisha Wilaya ya Songea Vijijini na Nyasa Mkoani Ruvuma. Hayo yamesemwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa leo tarehe 16 Aprili...
  9. Kwanini magari mengi ya serikali ni TOYOTA?

    Kuna kampuni nyingi duniani zinatengeneza magari bora na imara kama TOYOTA au zaidi ya TOYOTA. Lakini cha ajabu magari mengi yanayoagizwa na serikali ni TOYOTA. Je, ni ushamba na ujima kwamba viongozi wetu hawajui kuwa kuna kampuni nyingine? Kama serikali ingekuwa inanunua gari randomly basi...
  10. M

    Naomba Elimu namna utekelezaji wa bajeti za serikali ulivyo na jinsi Rais anavyoshukuriwa sana na wabunge

    Wakuu nawasalimu, niende moja kwa moja kwenye swali , linahusu budge ya serikali na utekelezaji wake , bunge na Mheshiwa Rais nianze na maelezo kidogo, Nijuavyo mimi, budget zote hupitishwa na bunge, na wabunge huwa wakali sana kwa mawaziri kama watekelezaji wa maamuzi ya bunge , mambo ya...
  11. S

    Yanayoendelea ndani ya uongozi wa CCM na serikali yanatafakarisha

    Kuna siasa za majibizano zinaendelea ndani ya uongozi wa juu kabisa wa CCM na serikali kuu. Mheshimiwa Nchimbi haonekani kufurahishwa na hulka za kikazi za RC wa Arusha na hakai na kitu moyoni mwake, anaweka wazi kabisa kutofurahishwa na kauli pamoja na tabia za Paul Makonda. Wakati Makonda...
  12. P

    Serikali yataka umakini na tafiti juu ya kuruhusu matumizi ya bangi

    Haya yameelezwa leo April 15,2024, Bungeni na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Nkenge, Florent Laurent Kyombo aliyeuliza msimamo wa serikali baada ya baadhi ya nchi kuruhusu matumizi ya bangi kama tiba. Serikali...
  13. T

    Kauli za fedha imetolewa na Serikali na Rais tunazisikia je miradi inatekelezwa

    Kimsingi wanasiasa wanatoa kauli kuwa Rais amekwisha toa shs billion kadhaa kukamilisha miradi lakini ukifuatilia kauli hozo haziendani na uhalisia wa vitendo kwenye site je ni ulaghai wa wanasiasa na watendaji kupata promo za kiuchaguzi. Waelewe kuwa wananchi wa leo wameelemika mno ni vizuri...
  14. N

    Mbunge Byabato: Serikali imetoa Sh Bilioni 15 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya Bukoba

    Zaidi ya shilingi Bilioni 15 zimetolewa na Serikali kuu kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera na kuchangia ukuaji wa sekta mbalimbali za kijamii na kiuchumi. Hayo yamebainishwa na Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Wakili Stephen Byabato...
  15. Ripoti Kuu ya Mwaka ya Ukaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Mwaka wa Fedha 2022/23

    Ripoti ya mwaka ya ukaguzi wa Tawala za Mikoa na Setikali za Mitaa kwa mwaka wa fedha 2022/23 kwa mujibu wa Ibara ya 143(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 na Kifungu cha 34 cha Sheria ya Ukaguzi wa Umma, Sura ya 418. Ripoti hii inawasilisha matokeo ya ukaguzi na...
  16. Ripoti kuu Mwaka ya Ukaguzi wa Serikali Kuu kwa Mwaka wa Fedha 2022/23

    Ripoti ya mwaka ya ukaguzi wa Serikali Kuu kwa mwaka wa fedha 2022/23 kwa mujibu wa Ibara ya 143(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, na Kifungu cha 34 cha Sheria ya Ukaguzi wa Umma, Sura ya 418. Ripoti hii inawasilisha matokeo ya ukaguzi na mapendekezo ya hatua za...
  17. Ripoti ya mwaka ya Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali kuhusu ukaguzi wa Mashirika ya Umma kwa mwaka wa Fedha 2022/23

    Ripoti hii ya mashirika ya umma kwa mwaka wa fedha 2022/23 imetolewa kwa mujibu wa Ibara ya 143(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 na Kifungu cha 34 cha Sheria ya Ukaguzi wa Umma, Sura 418. Ripoti hii imeangazia matokeo ya ukaguzi na mapendekezo ya hatua stahiki za...
  18. A

    Serikali ya Tanzania na Malawi waharakishe Kutatua suala la ziwa Nyasa

    Malawi questions Tanzania on port Malawi has faulted Tanzania for embarking on a project to upgrade and expand Mbamba Bay Port on Lake Malawi without seeking consent as the lake boundary dispute between the two countries remains unresolved In a confidential diplomatic note dated February 2...
  19. Norah Mzeru: Rais Samia ametuheshimisha wanawake, Serikali na CCM katika kipindi cha miaka mitatu aliyokaa madarakani

    MHE. NORAH WAZIRI MZERU, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Asifu Utendaji Kazi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa Kuheshimisha Wanawake, Serikali na CCM Katika Kipindi cha Miaka Mitatu Aliyokaa Madarakani. Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru amesema kuwa Rais...
  20. B

    Mungu wa Lissu ni Mungu aliye hai, kumbe wanaotukana Serikali na Viongozi ni Wao wenyewe

    Kwa miaka mingi kumekuwa na jitihada za kuhadaa umma kwamba watu wanaotukana serikali na viongozi ni Wapinzani. Ukifatilia kwa umakini utaelewa kuwa wapinzani kazi yao imekuwa ni kukosoa, kushauri, kupendekeza na inapobidi kutekeleza na kutoa majibu ya Changa moto mbali mbali zinazoikabili Nchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…