serikali

  1. JamiiForums Tanzania LGE2024 Tanga: DC Kubecha apiga kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa

    Mkuu wa wilaya ya Tanga Mhe Japhari Kubecha leo Tarehe 27 Novemba 2024 Ameongoza Wananchi wa Wilaya ya Tanga kwenye zoezi la kupiga kura kuchagua Viongozi wa Serikali za Mitaa katika kata ya Central kituo cha Raskazone.
  2. JamiiForums Tanzania Utekaji Tanzania, Je ni ishara Serikali, na Vyombo vyake na CCM Kukosa Maarifa ya Uwajibikaji Kidemokrasia na Kikatiba?

    Taifa lenye misingi ya maarifa ya ukatiba thabiti na Demokrasia haliwezi kuwa na watu dhaifu katika kuishi kutenda haki na wajibu kwa misingi katiba na sheria, pia kuheshimu muundo wa demokrasia. Taifa lolote hutegemea maarifa ya tasnia ya sheria, political administration, policies...
  3. M

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Zanzibar hakuna Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, tupeane elimu kidogo kuhusu Chaguzi

    Hivi karibuni huko Tanzania Bara kumekuwa na mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo leo Novemba 27, 2024 Wananchi wanapiga kura. Mimi kama mdau wa siasa na mifumo ya Uchaguzi Zanzibar nimekuwa nikipokea maswali mengi kuhusu kwanini Zanzibar kumekuwa hamna shamrashamra za Uchaguzi kama...
  4. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mbunge Festo Sanga ashiriki katika upigaji kura wa Serikali za Mitaa, Kijiji cha Bulongwa

    Mbunge wa Makete (CCM), Festo Sanga ni mmoja kati ya Wabunge ambao wamejitokeza kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaofanyika leo Novemba 27, 2024 katika Mikoa yote Nchini. Sanga amepiga kura katika Jimboni la Makete, Kijiji cha Bulongwa - Kitongoji cha Amani.
  5. JamiiForums Tanzania Nawashauri wahanga wa janga la Kariakoo waishitaki serikali badala ya kupongeza

    Kazi ya kwanza ya serikali ni kulinda uhai wa wananchi. Pili ni kulinda mali zao. Ibara ya 14 ya katiba ambayo ndiyo sheria mama inasema "kila mtu anayo haki ya kuishi na kupata kutoka kwa jamii hifadhi ya maisha yake, kwa mujibu wa sheria." Ni kwa mujibu wa sheria tu uhai wa mtanzania unaweza...
  6. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mbunge Ghati Chomete: CCM Imejipanga Vizuri, Lazima Itashinda kwa Kishindo Uchaguzi Serikali za Mitaa

    MBUNGE GHATI CHOMETE: CCM IMEJIPANGA VIZURI, LAZIMA ITASHINDA KWA KISHINDO UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania Chomete, tarehe 26 Novemba 2024 ahitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kuwaombea kura wagombea wa CCM Wilaya ya Musoma...
  7. JamiiForums Tanzania LGE2024 Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa, Hakuna Kiongozi hata mmoja wa Serikali aliyewahi kutoa karipio Juu ya Uovu Uliokuwa Ukitendeka

    Nchi yetu ya ajabu sana, iliyojaliwa kuwa na viongozi wa ajabu pia, viongozi wanaobariki maovu alimradi maovu hayo yawe ni dhuluma ya kuwanufaisha CCM. Fikiria, waziri Mchemgerwa ndiye mwenye jukumu la kutengeneza kanuni za uchaguzi, akatengeneza kanuni za hovyo kabisa, ikiwemo ile ya kifungo...
  8. JamiiForums Tanzania LGE2024 Polisi Songwe wafanya doria kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Saa chache kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa Serikali za mitaa, vitongoji na vijiji kesho Jumatano tarehe 27 Novemba, 2024 Jeshi la Polisi mkoa wa Songwe mapema leo Novemba 26, 2024 limefanya doria za magari na miguu katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Songwe ikiwemo mji wa Tunduma wilaya ya...
  9. JamiiForums Tanzania LGE2024 Wananchi wa Lupembe wako tayari kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wananchi wa jimbo la Lupembe wameeleza utayari wao kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika leo Novemba 27, 2024 Nchi nzima huku wakiweka wazi Matarajio yao kwa viongozi wapya watakaochaguliwa Wananchi hao akiwemo Fikiria Vicent Kisogole, Salvina Barton Mpolo na Martina Isdol...
  10. JamiiForums Tanzania LGE2024 Tundu Lissu anazungumza kuhitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Ikungi Singida

    Wakuu. Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu anazungumza muda huu huko mkoani Singida kuhitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Fuatilia uzi huu kujua nini kinaendelea Tundu Lissu amesema kuwa mara ya mwisho Tanzania kufanya Uchaguzi ilikuwa nwaka 2014 kwani mwaka 2019...
  11. JamiiForums Tanzania LGE2024 Makonda: Wananchi twendeni tukapige kura ili tutengeneze serikali iliyo bora

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda amewahimiza wakazi wote wenye sifa Mkoa wa Arusha kujitokeza kwa wingi kupiga kura hapo Kesho Jumatano Novemba 27, 2024 ili kuwachagua Viongozi wa serikali za Mitaa watakaoshirikiana na Viongozi wengine kujiletea maendeleo kwenye maeneo yao. Makonda...
  12. JamiiForums Tanzania LGE2024 Msemaji Mkuu Wa Serikali: Ukishapiga kura rudi nyumbani

    Mkuu, Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania Thobiasi Makoba akitoa ujumbe kwa wanahabari na Watanzania kuhakikisha wanajitokeza kupiga kura kesho, Jumatano Novemba 27.2024 ili kuchagua viongozi wanaowataka Soma pia: Msemaji Mkuu wa Serikali azungumzia mafuriko nchini, miaka 60 ya muungano na...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kama jengo la Kariakoo ni miongoni ya yaliyosemwa kujengwa kinyume cha kanuni na Tume ya Lowassa, serikali ishitakiwe ili ifidie wahanga mabilioni!

    Kamati iliyoteuliwa mwaka 2006 na Waziri Mkuu wa wakati huo Edward Lowassa, ilibaini kuwa majengo 147 kati ya 505 yaliyokaguliwa jijini hayakuwa nyaraka na vibali sahihi vya ujenzi. Yalijengwa kiholela na bila viwango na kuwa hatarishi kwa uhai wa watu. Mnamo mwaka 2008, Waziri Mkuu, Mizengo...
  14. JamiiForums Tanzania KERO Hivi shughuli za namna hii, Serikali imezibariki?

    Kuna hizi shuguli za wakina mama wanaziandaa sijui birthday nakadhalika, humo ndani ni kutukanana, kusutana na sherehe hizo ndani mashoga wanajiachiaaa tu, yaani humo ndani full laana Naona haya mashuguli yanazidi kushamiri na kuwa fashion. Naona Serikali kama imezibariki au! kweli nchi inaenda...
  15. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwananyanzala awahamasisha mashabiki wa Soka nchini kupiga Kura uchaguzi Serikali za Mitaa

    Mwanachama maarufu wa klabu ya Wananchi, Yanga na shabiki wa soka, Hussein Makubi Mwananyanzala, amewataka wapenzi wa soka nchini kujitokeza kwa wingi kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji, na vitongoji.
  16. JamiiForums Tanzania LGE2024 Dorothy Semu amuonya Mtendaji wa Kijiji kutoipendelea CCM Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu, amemuonya mtendaji wa Kijiji cha Angalia kutopendelea Chama cha Mapinduzi (CCM) wajibu wake nikutumikia wananchi sio ubaguzi wa itikadi katika uchaguzi. Kauli hiyo ameitoa baada ya mtendaji huyo kuzuia mikutano ya chama hicho kutumia maeneo ya Umma, Semu...
  17. JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Msemaji Mkuu wa Serikali kutoa taarifa kuhusu mwenendo wa Uokoaji maafa ya Kariakoo na siku ya kufungua maduka

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaamm, Albert Chalamila, amesema kuwa Msemaji Mkuu wa Serikali atatoa taarifa rasmi kuhusu mwenendo wa zoezi la uokoaji katika eneo la Kariakoo, ambapo maafa yalitokea hivi karibuni. Chalamila ameeleza kuwa zoezi la uokoaji linaendelea na taarifa kamili kuhusu hali ya...
  18. JamiiForums Tanzania LGE2024 Tamko la CCM kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

    TAMKO LA CCM KWA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeandaa tamko maalum kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2024. Uchaguzi huu ni muhimu kwa maendeleo ya nchi yetu, kwani utahusisha kuchagua wenyeviti wa mitaa, vijiji, vitongoji, wajumbe wa kamati za...
  19. JamiiForums Tanzania LGE2024 Dkt. Doto Biteko ahimiza Watanzania kupiga Kura Novemba 27, 2024 asema ni Haki ya Kikatiba

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewahimiza Watanzania kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024. Dkt. Biteko ametoa rai hiyo leo Novemba 25,2024 akiwa mkoani Geita ambapo amesema uchaguzi huo ni muhimu hususan kwa ukuzaji wa demokrasia...
  20. JamiiForums Tanzania LGE2024 ACT Wazalendo Tunduru: Kuna vijana wamepangwa kupiga kura za mapema, tunawaonya...

    Mwenyekiti wa ACT Wazalendo wa Jimbo la Tunduru Kaskazini mkoani Ruvuma, Yasin Mohamed Mawila, ametoa onyo kali dhidi ya jaribio lolote la udanganyifu katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024. Akizungumza Jumapili, Novemba 24, 2024, kwenye mkutano wa kampeni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…