serikali

  1. S

    JamiiForums Tanzania Serikali na CCM wamejua mambo mengi sana kwa muda mfupi tu kuhusu yanayoendelea ndani ya Chadema

    Kwanza imebainika kuwa Mbowe ndio anatafuta hela, anakozitafuta wapi hatujui, serikali ifuatilie Pili, Chadema inalalamika uchaguzi nchini sio huru na wa haki, tutaona ndani ya chadema kama Tundu Lissu hataibiwa kura zake ama nyani haoni kundule na hapa mkiibiana kura tusisikie tena mkilalamika...
  2. JamiiForums Tanzania Ni tahira pekee atakemea udikteta wa serikali juu ya wapinzani huku akiona ni sawa tu Mbowe kuwa mwenyekiti wa CHADEMA kwa zaidi ya miaka 20

    Kila siku wapinzani hasa wana CHADEMA huchukizwa pale viongozi wake wanapowekwa selo kwa makosa madogo madogo au kwa makosa ya kusingiziwa. Lakini si mara nyingi tukiona wapinzani wakilaani udikteta wa Mbowe kukaa kwenye kiti kwa zaidi ya miaka 20. Ina maana hakuna mtu mwingine mwenye maono au...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini serikali inashindwa kulipa madeni ya ndani (extra duties, hela za overtime, malimbikizo nk) shida ni nini au Ni kujiendekeza?

    Wakuu anaejua ukweli huu anisaidie kujibia!
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali ipo na Sisi au imeamua kutuzamisha kabisa?

    Imagine nmehitimu chuo, nikakosa kazi si kwa kupenda, sababu kubwa ni kutokua na uwezo wa kusafiri kwa ajiri ya interview hasa ktk mikoa ya mbali Nmejichanga na kupata kihekali kimoja na kufanya kilimo cha mpunga, nmepata mbegu kwa mbinde Shamba nimekodi kwa pesa nliyoipata kwa mbinde -...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali Kushirikisha Vijana Kupambana na Uhalifu, Bashungwa Atoa Onyo Kali

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amesema Wizara kupitia vyombo vya usalama na taasisi nyingine za Serikali zitashirikiana na Vijana ili kupata suluhu kwa baadhi ya changamoto zilizopo na zinazoendelea kujitokeza katika jamii ikiwa ni pamoja uhalifu, kupambana rushwa, dawa za...
  6. JamiiForums Tanzania Naomba nitoe ushauri huu kwa serikali kuhusu wasanii wa Tanzania.

    Please Moderator msiunganishe huu uzi maana mtakuwa mmefeli big time. First of all naipongeza serikali Kwa kufikiria wazo la kuwasaidia wasanii kuhusu kutibiwa magonjwa ya moyo Hili wazo sio baya Ila napendekeza mjaribu kuliboresha kwa kuhakikisha wasanii wote ambao wanajihusisha na sanaa...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Nashauri serikali isianzishe miradi mipya hadi iliyopoikamilike

    Habarini, Nimetafakari sana na kuona ni vyema serikali ya Tanzania iachane na tabia ya kuibua miradi mipya wakati miradi mingine waliyoianzisha haijakamilika. Ninachokiona miradi mipya ndiyo cha ufisadi na kukwama kwa miradi endelevu kwa sababu miradi mipya husababisha viongozi kujipatia fedha...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini serikali imebariki magari ya viongozi wa serikali kuwa namba feki? Mwanzo nilizani ni uhuni wa madereva kumbe wanapewa wabandike feki

    Asilimia 90 ya magari hasa mashangingi ya serikali yana namba mbili mbili? Yaani ni hivi namba Moja utakuta inasoma vizuri tu STL/SU/W/NW/DFPA n.k lakini ukitazama kuna namba nyingine FEKI huwa inafichwa na kutumika kwenye gari ile ile ikisomeka kwa namba za kawaida kama magari mengine T...
  9. JamiiForums Tanzania Gharama za Maisha Dodoma: Mabadiliko ya Haraka Yanavyowatesa Wakazi Baada ya Serikali Kuhamia, na Ujio wa Sgr

    Gharama za maisha katika Jiji la Dodoma zimekuwa changamoto kubwa kwa wakazi wa jiji hili, hasa baada ya kutangazwa kwa uhamisho wa serikali kuu kwenda hapa. Hali hii imepelekea mabadiliko makubwa katika uchumi wa jiji, ambapo wenyeji wa zamani wa Dodoma walijikuta wakifurahia faida za muda...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wanafunzi tunaosoma Shahada ya Usingizi na Ganzi Salama tupewe haki za kimasomo, Serikali ifanye maboresho katika hii Shahada

    Sisi ni wanafunzi tunaosoma Shahada ya Utoaji Dawa za Usingizi na Ganzi Salama (NURSE ANAESTHESIA) Shahada hii inachukua miaka minne mpaka kuhitimu. Dawa hizo ni mhimu sana katika Huduma za Kiafya hasa katika sehemu ya vyumba vya upasuaji (theater), kwa wagonjwa mahututi, emergency, clinics na...
  11. JamiiForums Tanzania Chuki za Joseph Sinde Warioba dhidi ya serikali zilianza baada ya Kippi Warioba kuondolewa kwenye ukuu wa Wilaya

    Za ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya. Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho.
  12. JamiiForums Tanzania Serikali imeendelea kuwashika mkono wachimbaji wadogo

    Serikali imeendelea kuwashika mkono wachimbaji wadogo Katika kipindi cha mwaka 2020 hadi 2024 kupitia Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) kwa kununua mitambo midogo mitano (5) ya uchorongaji maalumu kwa ajili ya wachimbaji wadogo. Wachimbaji 17 wamepata huduma ya uchorongaji kwa kuchimbiwa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania TRA inakusanya kodi hadi kwa Maduka ya Mtaani wakati Madalali wapo Mitaani wanaingiza fedha ndefu bila makato yoyote

    Juzi kati nilikuwa katika mishe zangu za harakati za kupambania mkate wa kila siku ambayo ilihusisha uuzaji wa nyumba. Biashara ikafanyika vizuri na mwisho wa siku dalali akaondoka na Shilingi 10. Tangu siku hiyo nimekaa nikiwaza ni kiasi gani cha mapato Serikali inapoteza kama kodi kutoka...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kwa nini JECCS construction anapendelewa sana tenda za ujenzi na serikali?

    Hi huyu mwenye hii Kampuni ya Jeccs construction ni nani na nani yupo nyuma yake ? Takukuru waichunguze maana anapendelewa sana na serikali na ana miradi zaidi ya 800 nchi nzima ya thamani zaidi ya trillioni 4 kwani hakuna kampuni zingine za wazawa?
  15. JamiiForums Tanzania Kampuni ya magazeti ya serikali (TSN) yatangaza mnada , kazi kwenu kuna Range Rover wagon

    Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) imetangaza kuwa itapiga mnada magari mbalimbali ambayo hayatumiki ikiwemo Range Rover Wagon siku ya Ijumaa Desemba 13, 2024. Mnada huo utafanyika katika Jengo la TSN lililopo Mtaa wa Isimani Upanga, Dar es Salaam utahusisha pia pikipiki, vifaa vya TEHAMA...
  16. JamiiForums Tanzania Wagonjwa wa Kipindupindu wafikia 22 Mbeya, na Serikali imepiga kimya!

    Wagonjwa wa Kipindupindu Wafikia 22 Mbeya: Mamalishe na Vilabu vya Pombe Hatarini Katika mji wa Mbeya, Tanzania, hali ya afya imekuwa ya wasiwasi kufuatia ripoti za wagonjwa 22 walioathirika na kipindupindu. Ugonjwa huu, unaosababishwa na bakteria wa Vibrio cholerae, unenea kwa urahisi kupitia...
  17. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Mteule Kariakoo, Mushi: Nikipewa ushirikiano na Serikali migomo itaisha Kariakoo

    Mwenyekiti Mteule wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Kariakoo, Severin Mushi ameahidi kuhakikisha anatatua changamoto za wafanyabiashara hao akishirikiana nao pamoja na serikali jambo litakalosaidia kuondoa kabisa migomo ambayo imekuwa ikitokea. Mushi ameyasema hayo leo Disemba 11,alipokuwa akitoa...
  18. JamiiForums Tanzania POTOSHI Video clip: Suleyman Al-Assad Jenerali wa Serikali ya zamani ya Syria anyongwa mubashara

    Binamu wa rais wa zamani wa Syria, Bashar al-Assad aliukiwa kwa kunyongwa na baada ya kupandishwa juu na crane. "Baada yakuwasili kwa vikosi vya waasi wa Syria katika mji wa Latakia, ilitangazwa kuwa Suleiman al-Assad, ambaye alikuwa kiongozi wa Vikosi vya Ulinzi wa Kitaifa, aliuawa. Kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Hatupeleki ndugu zetu hispitali ili wakafe, Serikali ielewe hilo

    Kuanzia utawala wa Magufuli Na huu wa Samia kuna hali moja ya kishetani sana inaendelea. Mgonjwa wako akifa hata kwa uzembe wa madaktari utazuiliwa kuchukia mwili wa nduguyo hadi ulipe mamilioni. Sisi hatupeleki wagonjwa wakafe, tunataka wapate afya na warudi nyumbani wakiwa wazima. Idadi ya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali, mna mpango gani na Usafiri wa Treni? Mnatuwekea siku maalum ya kukata tiketi, halafu tukifika kukata, mnasema nafasi zimeisha?

    Wana JF mmelala? Jamani hivi hizi train zipo kwaajiri Gani? Ukiachana na SGR Kuna Train inaitwa Deluxe, watu WA kigoma mwanza Tabora mtakuwa mnanielewa. Hii Train inaelekea mkoani kutoka dares salaam, mara Moja Kwa week, ambayo ni Alhamis. Na nauli Huwa ni elfu 36 third class na elfu 48 second...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…