Waziri wa Fedha na Mipango, Juma Malik Akil, amebainisha kuwa Zanzibar inaendelea kupata manufaa makubwa na hadhi ya kipekee ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hasa katika uimarishaji wa uchumi wake. Akizungumza wakati akitoa ufafanuzi wa hoja mbalimbali zilizowasilishwa na Wajumbe wa...
Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Emmanuel Kingu, amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uwekezaji mkubwa katika sekta ya afya nchini, hatua inayofanya huduma za tiba kuboreshwa kwa kiasi kikubwa katika maeneo mbalimbali ya Tanzania Bara na Visiwani.
Kingu ameeleza kuwa ni jambo...
Kaimu Waziri wa Afya Zanzibar, Saada Mkuya Salum amesema Serikali ya Mapinduzi Zanzibar haiwezi kugharamia matibabu kwa Watu wasio Wazanzibar.
Saada ametoa kauli hiyo Juni 8, 2026 wakati akijibu hoja kwenye Baraza la Wawakilishi Zanzibar kupitia vikao vinavyoendelea vya kujadili bajeti...
Kwa mujibu wa taarifa ya habari iliyowasilishwa na Rais wa mapinduzi wa Zanzibar Dr.H.Mwinyi kauhabarisha umma kwamba serikali yake ina uwezo wa kukopa pesa sehemu yoyote pasipo dhamana ya serikali ya Muungano wa Tanzania, kwakuwa kwa sasa benki ya CRDB ndio itakuwa inadhamini mikopo yote...
Ujumbe kutoka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) na Shirika la Nyumba la Zanzibar (ZHC) umetembelea miradi mitatu ya kimkakati inayotekelezwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC.
Ziara hiyo iliyoratibiwa na Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imefanyika leo tarehe 17 Disemba 2024...
Muswano mdau.
Pichani ni moja ya ndizi tamu sana ijulikanayo kama malindi, ndizi hii ambayo huwa inakuwa na vidoadoa vidogo hutofautisha ndizi hii tamu na zile nyingine pichani chini.
Nchini Zanzibar, serikali ya mapinduzi Zanzibari iliwahi kupiga marufuku uagizaji na kuingiza mazao na miche...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika Kongamano la Kiimani kwa Viongozi na Watendaji Wakuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar lililoandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais na kuratibiwa na Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar ukumbi wa...
Salaam,Shalom.
Nadhani swali linajieleza.
Kwamba Serikali ya MAPINDUZI Zanzibar Ina dini?
Ikiwa Ina dini, dini Gani?
Na issue ya mtu KUFUNGA ni Tendo la Siri au la hadhara?
Karibuni🙏
MH. RAIS,
POLE KWA MAJUKUMU MAZITO UNAYOKABILIANA NAYO TANGU UTWISHWE JUKUMU HILI ZITO LA KUONGOZA VISIWA HIVI VYA ZANZIBAR pale wakazi wa visiwa vya Unguja na Pemba walipokuchagua kuwa kiongozi wa visiwa hivi katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Hadi sasa sisi wakazi wa visiwa hivi tunaziona...
Nilimsikia majuzi Rais wa SMZ akishukuru kwa SJMT baada ya SMZ kupewa ofisi katika ikulu mpya ya Dodoma.
Je, ni kwa sababu ni ikilu mpyaaa au hata pale magogoni SMZ wana Premise zao?
Isitoshe niliwahi kusikia pia kama SMZ walipewa eneo la kujenga Ofisi zao pale Dodoma.
Binafsi najiuliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.