serikali ya ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. WOWOWO

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM na mkakati wa kuua “opposition generation” kupitia “election fraud”

    Mwaka 2014 na Mwaka 2015 Chama cha Mapinduzi (CCM) kilikuwa kimeingia rasmi kipindi cha kuanguka na kutoweka katika medani za siasa. Matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu, mtawalia pamoja na kuhujumiwa sana, yalionesha wazi kushindwa vibaya kwa CCM na kama isingekuwa...
  2. tpaul

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa Trump ni habari mbaya kwa Tanzania na serikali ya CCM

    Ijapokuwa Rais Samia atamtumia Rais Trump salamu za pongezi kinafiki, ushindi wa Trump ni mwiba mkali kwa serikali ya Tanzania na CCM. Sote tunafahamu kuwa serikali ya CCM inapenda misaada na mikopo kutoka Marekani na nchi nyingine tajiri za dunia na kisha kuitumia misaada hiyo kwa manufaa ya...
  3. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM na wahusika wote wanaohusika kuhujumu mradi wa SGR wafikishwe mahakamani

    July 04, 2022 Rais Samia Suluhu Hassan alisema serikali ya CCM itanunua vichwa na mabehewa vilivyotumika (mtumba) na vyenye hali nzuri watavitengeneza.Mradi mkubwa wa thamani ya Sh16 trilioni kutumia mabehewa na vichwa (used), hii sasa ndiyo hujuma yenyewe. Hata hakuna ambaye anahujumu mradi...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Benki Kuu iliyo chini ya Serikali ya CCM imeamua kubadili Noti za Tanzania mwakani ambako pia kuna Uchaguzi Mkuu?

    Endeleeni tu kudhani Watu wote hatukunywa Maziwa na hatukula Samaki wa Sato na Sangara ili tuwe na Akili Kubwa za Kuwatangulieni kujua kile mlichokipanga au kuna mbinu gani mmeitumia hapa kwa Zoezi hili na hasa kuelekea huo mwaka wa Uchaguzi Mkuu (2025)
  5. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM haitaki kabisa kuwekeza kwenye maendeleo ya watu, wanawekeza kwenye vitu, Umasikini ni mtaji wao

    Hii nchi zinaimbwa miradi kuchwa nzima kuanzia Madaraja,mara Barabara mara reli na kadhalika. Ila huko huko kwenye hizo Barabara, Madaraja, reli kuna umasikini wa kutisha kabisa, Kule Kigongo Busisi vuka ingia hapo Sengerema kuna Poverty ya kutisha kabisa, Sogea hapo Geita kwa Msukuma kuna...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) yakemea vitendo vya utekaji, ukatili na mauaji yanayoendelea nchini

    Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) imekemea vitendo vya utekaji, ukatiili na mauaji yanayofanywa na genge la watu wasiojulikana na kulaani tukio la kuchukuliwa na kuuawa kikatili kwa kada wa Chadema, Ally Kibao. CCT ni Taasisi inayowakilisha Umoja wa Madhehebu ya Kikristo ya Kiprotestanti pia...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Nitamtetea na kumsemea Rais Samia na Serikali ya CCM mpaka dakika ya mwisho bila kukatishwi tamaa kwa namna yoyote ile

    Ndugu zangu Watanzania, Mimi nilishajitolea kwa dhati ya moyo wangu na kwa hiyari yangu pasipo kulipwa kama ambavyo wengine wanafikiria hivyo. Mimi nilishaamua kama mwana CCM kuwa sitakaa kimya wala kunyamaza wala kuona aibu wala kuogopa kumtetea Rais Wangu Mama Samia. Nilishakataa kabisa...
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kituko cha serikali ya CCM: Wanajenga Zahanati vijijini za kuombea kura si za kutatua changamoto za kiafya katika jamii

    Sasa karibu kila kijiji kina zahanani na kwenye kata kuna kituo cha afya. Nadhani lengo la CCM ni kupata kura ili waendelee kutawala na si kutatua changamoto za wananchi ndani ya jamii. Sasa zahanani ina watumishi wawili tu itaendeshwaje? Kijijini kwetu huko ndani ya wiki moja lazima angalau...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM huwa inapokea ushauri wa Mbowe? Sasa kwanini huwa anashauri? Kwani ule ushauri wake wa "never and never again" ulipokelewa?

    Rais Kikwete ndiye rais aliyekuwa akisikiliza kelele za wapinzani. Walikuwa wakisema anawaita ikulu kwa ajili ya mashauriano na kutafuta suluhu. Rais Magufuli alipoingia madarakani, alitangaza hadharani kabisa akasema "mimi huwa sishauriki na huwa sipangiwi. Tena ukinishauri ndiyo unaharibu...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Rais Samia asianzishe Wizara maalum ya Soka huku Sanaa na Utamaduni zikibaki Pekee?"Kwakuwa Serikali ya CCM imewekeza zaidi upande huo

    Na akimaliza Kuiunda hii Wizara Mawaziri wake Wakuu Hamisi Mwinjuma (kama Waziri) na Naibu Waziri awe Gerson Msigwa huku Katibu Mkuu wa hiyo Wizara akiwa ni Ali Mayai Tembele na Msemaji wa hiyo Wizara awe Amos Makalla?
  11. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Kwanini serikali ya CCM haitaki uchaguzi wa serikali ya mtaa usimamiwe na TUME HURU YA UCHAGUZI?

    kipara kipya, Lucas Mwashambwa, the big boss, CHAWA, ChawaWaMama na wengine. Naomba majibu. Kwanini hamjiamini? Je ni kweli bila figisu CCM haishindi?
  12. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Tukiweza kutenganisha Serikali na Chama ndipo Nchi itakaa sawa na mambo ya hovyo ikiwemo mauaji yatakoma

    Tuliosoma vyuo vikuu tuliona. Vijana waliokuwa UVCCM ndo wengi wao walikuja kuajiriwa Serikalini na kuingizwa kwenye vyombo vya dola ikiwemo usalama wa Taifa. Mimi niliosoma nao waliokuwa mstari wa mbele huko UVCCM wengi saivi ndo Watendaji Wakuu katika taasisi mbalimbali za Serikali na wana...
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka kwa Zitto Kabwe kujiunga na serikali sikivu ya CCM kwa kazi maalumu ya maendeleo ya Watanzania

    Ni dhahiri katika masuala ya siasa na uchumi Zitto Zuberi Kabwe ni mzoefu na anaweza kua bora kwa kiwango cha juu zaidi huenda ukalinganisha na nanma ambavyo David Kafulila anaperfom vizuri katika viwango bora vya juu zaidi vya kimataifa kwenye wadhifa na jukumu muhimu sana katika uchumi wa nchi...
  14. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kauli ya Nape na Mkuu wa Wilaya ya Longido kuwa serikali ya CCM inalazimisha ushindi katika uchaguzi zinahalalisha kuindoa CCM madarakani kwa nguvu

    Kawaida, chama cha siasa kilichopo madarakani kwa kuchaguliwa ki-demokrasia, hakipaswi kuondolewa madarakani kwa nguvu. Uhalali wa kuiondoa serikali madarakani unapaswa uwe kupitia sanduku la kura katika uchaguzi wa kidemokrasia, na kama kuna ukiukwaji wa haki za uchaguzi, mfumo wa sheria wa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Arusha hatuhitaji elimu yeyote kutoka viongozi wa serikali ya CCM

    Mwenyekiti wa CHADEMA aelezea vituko vya chama dola kongwe CCM MWENYEKITI WA CHADEMA MKOA WA ARUSHA ATOA MAZITO MKUTANO WA HADHARA https://m.youtube.com/watch?v=e2Ikimr7f60 Hatuwezi kuwaelewa Prof. Palamagamba Kabudi wala William Lukuvi waliotumwa na serikali ya CCM maana serikali ya CCM...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Serikali ya CCM kujifungulia kesi, kujitetea mahakamani na kujihukumu

    Hiki ndicho kilichotokea huko Arusha kwa serikali kupitia Wakili Peter Njau kujifungulia kesi ya kupinga amri ya Waziri kufuta vijiji Ngorongoro kwa kutumia jina la mtu Isaya Ole Posi ambaye amekanusha kuhusika na kufungua kesi hiyo na kujisikiliza mahakamani na kujiwekea zuio! Hakika Serikali...
  17. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Dar es Salaam kuna kikosi kazi cha utekaji

    “Kama Chama tumechunguza kutoka vyanzo vyetu vya ndani na vingine vya ndani ya Jeshi la Polisi na Vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama, nitaeleza kwa kifupi tulichogundua na tunaowaonyooshea vidole ili Polisi na hao wengine watusute watuambie Mbowe mnasema uongo, uchunguzi wetu unatupeleka wapi...
  18. kavulata

    JamiiForums Tanzania Aliyewakamata akina Mbowe ameturudisha nyuma miaka 3

    Serikali ya CCM tuliipa nchi yetu tangu 1961 tulipopata Uhuru. Tumewapa Kodi na rasilimali zetu zote ili watupatie huduma kwa miaka yote hiyo. Bila shaka wamefanya mengi yanayoonekana kwa macho ya nyama na yarohoni. Wana hofu gani inayosababisha kuwaogopa na kuwakamata akina Mbowe? Tanzania...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Makalla: Wapo wanasiasa walikuja wakasema maneno ya uchochezi kwamba Serikali ya CCM inanyanyasa wavuvi

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema chanzo cha Ziwa Tanganyika kufungwa kwa muda ni kuongeza mazalia ya samaki na si kuwanyanyasa wananchi kama baadhi ya wanasiasa wanavyodai. Makala amesema hayo jana Jumapili Agosti 4, 2024 katika ziara ya...
  20. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Dorothy Semu: Sera ya elimu bure inayopigiwa kelele na Serikali ya CCM ni ulaghai mtupu

    Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu amesema sera ya elimu bure inayopigiwa kelele na Serikali ya CCM ni ulaghai mtupu. Haitekelezeki kwa ufanisi kiasi cha kurejesha tena michango lukuki kwa wazazi. “Wazazi wanachangishwa fedha kwa ajili ya mitihani, vitabu, chakula, walinzi, ukamilishaji wa...
Back
Top Bottom