serikali ya ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Mfano leo China na Marekani zikatibuana ikatokea World War 3, Serikali ya CCM itaenda upande wa Mchina au Mmarekani?

    Ni swali tu wakuu, Miaka 15 nyuma hili swali lilikuwa ni rahisi sana kulijibu maana Serikali ya Kikwete ingeenda upande wa Marekani maana mahusiano yetu na watu wa magharibi yalikuwa ni kama Kiredio na Vee Dollarz Baada ya Magu kuingia mambo yakabadilika kidogo. Tukaanza kuwaita marafiki...
  2. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Huu Hapa Utapeli wa Serikali ya CCM

    Hakuna jambo linauma kama kufukuzwa kazi katika kipindi ambacho hujajiandaa. Tumaini linalobaki ni kwenye savings na pension. Lakini baadae wakati wa kufuatilia pension unajikuta katika maumivu zaidi ya ile ya kufukuzwa kazi. Najiuliza Sheria iliyounda NSSF ilipitiswa na nani na kwa bunge...
  3. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Kwa nilichokiona Morogoro, ni sahihi kusema Serikali ya CCM inachelewesha maendeleo ya huu mkoa kwa makusudi kabisa!

    Nina mwaka wa nne kwenye huu mkoa sasa. Tangu nifike hapa kwa mara ya kwanza nilikuwa mtembezi sana, ili kufahamu maeneo, uchumi, na tabia za wenyeji wa huu mkoa. Niligundua mambo yafuatayo: 1. Wenyeji ni watu wasio na makuu na waungwana (kama tu tabia za Wazaramo na makabila ya Pwani), ni...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM ilishawahi kumfanyia figisu Said Salim Bakhresa sababu alidhamini CUF

    Miaka ya 90 ukisikia chama cha CUF kilikuwa moto kwa CCM. Kafu ilifanyiwa figisu sana na polisi,wanachama kununuliwa,propaganda ya udini na mpaka kutishia matajiri. Said Salim Bakhresa alikuwa mzamini mkubwa wa mchango pesa kwa CUF leo CCM wakichangiwa sawa ila wengine wakichangiwa ni wahaini...
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Penye miti hakuna wajenzi kwa nini serikali ya CCM inataka wasio umuhimu wakati tuna mtu Malisa GJ anaweza kuwa chachu waziri wa vijana na wananchi

    Nimekuwa nikimfatilia bwana Malisa GJ ambaye ndio msaada wa watu wengi kwa vijana na wananchi. Kuna kijana alivunjwa miguu kipindi cha October 29 na alikuwa ana msomesha mdogo wake ila jamaa alivyoweka ujumbe alichangiwa na kufikisha milion 15. Baada ya siku watu wakaomba na huyu achangiwe...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Video: Samia, serikali na CCM bila shaka wanajuta sana kwa kutozingatia ushauri huu uliotolewa na Lissu/CHADEMA kwa kinywa cha Mzee Joseph Warioba

    https://youtu.be/OmrvErw90Fc?feature=shared Haina shaka kuwa wasingekuwa kwenye wakati mgumu wa msongo wa mawazo na kuchanganyikiwa wanaupitia sasa huku wengine wakianza kupatwa na ukichaa kabisa kwa sababu ya damu zisizo na hatia zinazomlilia Mungu toka ardhini zikiomba kulipa kisasi Katika...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini serikali ya CCM na wafanyakazi wa TCRA huwa fikra zao hazina uelewa kuhusu JAMII FORUMS

    Hoja inaeleweka sana, na hisia zangu zinawakilisha malalamiko ya watumiaji wengi wa JamiiForums. Kwa kifupi, sababu kuu zinazofanya serikali ya CCM na baadhi ya watendaji wa TCRA kuonekana kutokuwa na uelewa wa kina kuhusu JamiiForums ni hizi: 1. Uelewa mdogo wa dhana ya majukwaa ya mtandaoni...
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kujisafisha kwa mataifa mengine zinvyozidi kuonesha udanganyifu wenu serikali ya CCM. Na hili la UN limebuma

    Picha anayoonyesha Kombo baada ya kumbabatiza Katiba Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayosema ni ofisini kwa Katibu Mkuu, siyo kweli. HAIKUWA OFISINI kwa maana nyingi, hakuna, Mkutano rasmi wa Kombo na Katibu Mkuu uliofanyika hili alipokea document tu Mazingira ya ofisi za Katibu Mkuu wa UN ni...
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM mmetengeneza mazingira ya utendaji ambayo kesho yakiwakuta hakuna lawama.

    Nime msikiliza waziri mkuu mwiguru japo uchaguzi mliofanya ni haramu na wadamu. kuwa unasimamia maadili ambayo kampuni ya Ester ya mabasi sio yangu ila jina la kampuni ni la mke wangu ambaye ni neema. Kwa serikali ya CCM ambayo sasa inawatafuna wenyewe sasa haya ni mambo ambayo muwezi kufanya...
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Seneti ya Mambo ya Nje ya Marekani yasema Serikali ya CCM lazima Iwajibishwe Kwa Matendo yake

    Wakati Mwenye Elimu ya Pakistani akiwa Anatafakari Rungu la Leo la Marekan kuhusu Kutathimin Uhusiano. Ikapigwa tena kombora na Wataalamu wa HAKI za Binadamu wa Umoja wa Mataifa . Muda huu, Seneti ya Masuala ya mambo ya Nje ya Marekani, Imepigilia Msumali mzitoooo.
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Yanaanzaga makanusho na vitisho ila mfahamu walishapanga serikali ya CCM

    Kuhusu bodaboda wapewe mwisho lita 2 lilikuwa suala kupitiwa wakati wakiwa wanasikiliza maelezo toka kwa wakubwa wao. Makanusho ya serikali ya CCM ni kwamba wanachotaka kukifanya kilisha link na ndio maana wanatoa vitisho kwa njia yoyote. Walikanusha mfumo wa NIDA na CCM na tume ya uchaguzi...
  12. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Huyu ndiyo Msigwa, msemaji mkuu wa serikali ya CCM

    KI VIPI MSEMAJI WA SERIKALI GERSON MSIGWA NI FIELD JOURNALIST? AU FIELD MARSHALL JOURNALIST? Kwa testimonies zake baada kumaliza sekondari alifanya biashara kuuza mahindi na duka Songea Alianza mtangazaji trainee RTD Songea chini ya waandamizi watangazaji Chisunga Stephen na Seleman Muhogora...
  13. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM ilifikia kipindi ikawa kama imechanganyikiwa, kwanini iliwanyang'anya mihuri wenyeviti wa vitongoji?

    Kuna mambo ukiyawaza sana unabaki unawaza hawa watu wamekuwa je?. Baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024 ambao ulikuwa ni sehemu ya waharifu kujitangazia ushindi wa kishindo wa uongozi kwa kutumia mbinu za miaka ya 1200 huko. Waliopewa ushindi walianza kulalamika kuwa hawana mamlaka...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini kutoa Pesa kwenye Mabenki kutachochea Kuanguka kwa Serikali ya CCM. Katika jicho la Kiuchumi na Sayansi ya Siasa

    Mimi ni mmoja ya watu ninaounga mkono Maandamano yoyote yatakayotangazwa nchini hadi CCM ianguke na nchi ipate katiba mpya, hakuna shaka kabisa utawala uliopo umefitinika na hauna uhalali mbele ya watu na Mungu. Leo nitaelezea njia mojawapo ya kuchochea kuanguka kwa Serikali ya CCM, njia hii ni...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 BAVICHA: Yalitokea Oktoba 29, Serikali ya CCM wameharibu msingi wasitafute wa kumuangushia Jumba bovu"

    Baraza la Vijana wa CHADEMA Taifa kupitia kwa Katibu Muenezi wa BAVICHA Taifa, Felius Festo kinimi watoa tamko juu ya yaliyotokea yaliyotokea Oktoba 29, 2025, "wameharibu msingi wasitafute wa kumuangushia Jumba bovu"
  16. G

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM ina uchungu na waliondamana kuliko watekaji wa raia wana uchungu na mali na miundombinu kuliko makumi ya vijana waliokufa

    HAKI ya kwanza na ya muhimu kwa raia yoyote ni haki ya kuishi. Hakuna mali wala miundombinu wala maendeleo yoyote yanaweza kulinganishwa na uhai wa raia mmoja TU. Uhai wa mtu hauna mbadala tunao mara Moja TU. Kama maendeleo ni Kwa ajili ya watu ,ukishaua raia wako hayo maendeleo Yana faida gani...
  17. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jinsi serikali ya CCM ilivyokataliwa ndani na nje ya Tanzani mpaka aibu

    Yaani sijui CCM ilijiamini vipi kufanya hayo iliyofanya, maana imejichafulia ndani ya inchi mpaka nje, hata yale yaliyokuwa yamefunikwa huko nyuma hatimaye yametoka hadharani. Lakini ukiangalia kwa jicho la kawaida inaonekana kama yalikuwa maamuzi ya mtu mmoja mwenye ndiye aliyeyapanga haya...
  18. canular

    JamiiForums Tanzania Watanganyika wote wazalendo, naomba tuishitaki Serikali ya CCM katika mahakama ya ICC tumia link hii

    Kulingana na mauwaji ya watanganyika yalio fanywa na serikali ya ccm ninaomba watanzania wazalendo wote tufungue mashitaka katika mahaka ya ICC link yao ni https://otplink.icc-cpi.int/ Tuma email ya kushitaki uuwaji wa watanganyika uliofanyika unao fanyika mpaka sasa tuma email yako weka na...
  19. M

    JamiiForums Tanzania John Heche akamatwa akiwa Mahakama Kuu akijiandaa kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu

    Makamu Mwenyekiti Bara wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) John Heche mapema leo asubuhi amekamatwa na jeshi la Polisi Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam, alipofika kwa ajili ya kufuatilia shauri la uhaini linalomkabili Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu. Pia soma > John...
  20. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM hawawezi kutupa Katiba Mpya nzuri

    Nasema hivi kupitia sababu zifuatazo Katiba hii ya mwaka 1977 ilitengenezwa na mwalimu julius Nyerere, ila cha ajabu miaka ya mbeleni kwa nyakati tofauti Nyerere amekuwa akionyesha mapungufu ya hii katiba ila hakujaribu kuibadilisha sanasana aliiendelea kuifanyia amendment mpaka anafariki...
Back
Top Bottom