serikali ya ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM wacheni kutembeza masuti ughaibuni

    Hizi ziara mnazofanya na anazofanya Raisi wetu huko nje hazionyeshi kuwa na tija yeyote ile ya kimaendeleo na kielimu. Leo nimeskia nchi ya Mali imekubaliana kushirikiana katika nyanja za mambo ya satalaiti na Urusi na kenya nayo imeweka makubaliano ya kielimu. Viongozi wetu mnaenda kufanya...
  2. tpaul

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM wanaua elimu; wanabadili mfumo wa elimu bila walimu

    Sitaki salamu nimevurugwa, naingia kwenye mada moja kwa moja. Nchi hii ina maamuzi ya ovyo na ya kipumbavu sana. Kila kitu kinafanyika ovyo ovyo! Ni juzi tu serikali imeuza nchi kwa warabu wa DP World. Na ni jana tu Rais Samia ameenda India kuwaomba wahindi waje kununua kipande cha nchi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Peter Madeleka atua Kizimkazi Zanzibar ili kusikiliza kero, manyanayaso na uonevu wa serikali ya CCM chini ya ras Samia.

  4. sammosses

    JamiiForums Tanzania Eneo serikali ya ccm imeupiga mwingine ni kwenye teuzi na tenguzi

    Katika eneo ambalo CCM na serikali yake ina upiga mwingi kwa msemo wa machawa na wafuasi wake ni kwenye uteuzi na utenguzi. Hii ni moja ya sera yao ambayo hakunadiwa katika ilani yao lakini wasimamizi wake wa ilani wanaishadadia sana. Huu ni mfumo ambao unazoeleka lakini hatuoni impact ya...
  5. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Loliondo: Serikali ya CCM yaaibika Vibaya Kortini

    Kuna mambo yanachukiza sana, unawadhulumu watu haki zao Kwa matamko ya ajabu ajabu. Tuendelee na Maombi. Wengine sio waandishi wazuri, soma hapa, kama kusoma huwezi angalia hata picha. https://x.com/Nipashetz/status/1705118421573124143?t=PH1lYCqRBljDPzKADk7X5Q&s=08
  6. U

    JamiiForums Tanzania Video: Watu wenye maoni ya kuikera serikali kama huyu dada ndio wasiotakiwa na serikali ya CCM. Sitashangaa polisi wakimkamata kwa uchochezi!!

    Kwa ufupi na kwa uchache; "Inashangaza kuwa Rais Samia Suluhu Hassan anahubiri amani, uzalendo na utulivu huku akisahau neno HAKI Kwa makusudi. Pengine hajui kuwa hayo yote ni tunda la HAKI. Bila haki, hakuna yote hayo!" "Kuhusu Rais kuita katiba ya JMT kama kitabu tu kama vitabu vingine...
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni shujaa wa Taifa hili. Hizi figisu anazofanyiwa na serikali ya CCM kupitia jeshi la Polisi, zinamjenga zaidi kuliko kummaliza

    Rais wa awamu ya tatu, Rais Msomi kuliko Rais yeyote nchini, Mheshimiwa Benjamin William Mkapa, alichemsha kwa Tundu Lissu, akabambikiwa kesi nyingi sana, akazipangua zote. Sababu ilikuwa Tundu Lissu kutetea haki za wanavijiji wanaozunguka maeneo ya Bulyanghulu, ambao wapo waliotendewa dhuluma...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Sakata la Bandari: Serikali imepoteza mvuto na imani ya wananchi?

    Tukiwa bado tunaendelea na mjadala wa uwekezaji wa bandari na kampuni ya DP World, lipo fundisho kubwa ambalo kama jamii tunapaswa kujifunza. Ukiachilia mbali suala la maudhui ya makubaliano haya, ambapo kuna pande mbili zenye mitazamo tofauti, kuna suala lingine ambalo kwa mtazamo wangu...
  9. Ulimbo

    JamiiForums Tanzania Kwa huu Mkataba, hiki ndicho SERIKALI ya CCM inataka kuwafanyia wananchi

  10. B

    JamiiForums Tanzania Polepole: Ukiwa mwadilifu tegemea vikwazo kutoka kwa wahuni

    Pasi na kupepesa macho dhidi ya wahuni sikia mambo: "Kama si fitna, zengwe au kurogwa tegemea kujikuta ana kwa ana na wasiojulikana." Ama kwa hakika wahuni si watu wazuri! Tumesikia wakitishiwa watu kuuwawa. Uthibitisho kuwa wahuni huupiga mwingi hadi nje ya CCM. Tunaporumbana nao kuhusu...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM isivyo na utu, huruma wala aibu

    Kwa mara nyingine serikali ya CCM imechanwa laivu. Haina aibu, huruma wala utu. Ajabu na kweli yenyewe inaona sawa tu. Inamwakilisha nani kwenye minajili hii? Labda walamba asali, wahuni au wale vijana wa hovyo? Yamejiri laivu kwenye mkutano wa wafanya biashara Kariakoo na Waziri Majaliwa...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kusema serikali ya CCM ni wezi?

    Kilichoelezwa kwenye ripoti ya CAG kinatosha kutuaminisha kwamba serikali ya CCM ni wezi? Au itoshe kusema serikali ya CCM imeshindwa kusimamia sheria? Au basi tuseme serikali ya CCM imelegalega? Ukiambiwa andika ufanisi wa serikali ya CCM utawatambulisha Kwa kauli gani Kati ya hizi hapa juu?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya watoto wa shule kufariki wakivuka ndio Serikali ya CCM inafikiria kujenga daraja

    Mabilioni ya pesa za umma mnatafuna. Mnajenga madarasa hewa kwa tril 1.3 Watoto wanafariki wakivuka mto kwa mtumbwi kwenda shule. Mnakula pesa. Hamjali maisha ya wananchi mpaka wafe. ======== Serikali kujenga daraja mto uliouwa wanafunzi Kigoma Kigoma. Wakati miili ya wanafunzi wawili kati...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM inatuibia Watanzania chini ya uongozi wa Rais Samia. Hili daraja ni Bil 7?

    Jamani acheni kula Tozo zetu
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ujanja ujanja wa Serikali ya CCM katika Picha

    Hii ndiyo serikali yetu kwenye ubora wake: Kwa mtaji huu kuna haja ya kuziangalia upya zinazoitwa siri za rerikali. Pia Kuna haja ya kukiangalia upya kinachoitwa "collective obligation" kwenye kuitetea serikali.
  16. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Kwa mwendo huu kama Serikali ya CCM ikifika mpaka 2,500 tutegemee kila kitu kitakuwa na majina ya watawala na viongozi

    Kinacho wagombanisha viongozi wa CCM ndani ya serikali kila mtu kutaka jina lake liwe kwenye miradi ili kuonekana bora. Sishanagi mwengine njia ya kwenda Singida kajiandika kwenye mawe labda sababu mda wa kupata jina la mradi ujafika. Kupeana majina kwenye miradi leo ndio chanzo cha kuonekana...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM na mwendo wa kula kwa urefu wa kamba zao

    Wananchi tunalalamika na mzigo wa kodi usio wa haki. Wanaanza kudai kodi ya pango day 1 umepangisha baada ya safari ndefu Isiyowahusu wao ya ujenzi wa nyumba. https://www.jamiiforums.com/threads/wizi-wa-tra-kupitia-kodi-ya-pango.2058986/ Wao Kodi hawalipi, ila sisi. Kulikoni bus hili la...
  18. CK Allan

    JamiiForums Tanzania CCM yaagiza Serikali ya CCM kugawa vishikwambi Kwa walimu kama waziri mkuu alivyosema!

    This is ridiculous! Ndio unavyoweza kusema! Sophia mjema Katibu mwenezi wa CCM ameitaka Serikali yake ya CCM kugawa haraka vishikwambi Kwa walimu na ametoa wiki Moja Tu.. Anyway
  19. Rashidi Jololo

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM imetutapeli Wavuvi pesa za mradi wa IFAD, mabilioni ya Samia YAYEYUKA

    Wanabodi, kama ilivyokuwa katika awamu ya mwisho ya Kikwete, vilianzishwa vikundi na vyama vya ushirika na kukopeshwa mamilioni ya shilingi bila riba. Baada ya utawala wa Magufuli kuingia, vikundi na vyama hivyo vya ushirika vikafutiliwa mbali na kutokomea na kodi zetu. Mchezo huo ni kama...
  20. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali ya CCM haijengi magereza mapya? Je, kiwango cha uhalifu kimepungua au wao ndio wahalifu wenyewe wamehalalisha wizi, na ufisadi?

    Ubadhirifu na wizi, matumizi mabaya ya fedha za umma na rasilimali za taifa kutumiwa kwa maslahi ya watu wachache kumeongezeka sana. Mbaya zaidi Rais amesikika mara kadhaa akisema kwamba upigaji kwenye Halmashauri ni mkubwa sana. Tozo zinapigwa, fedha za miradi zinapigwa, fedha za misaada...
Back
Top Bottom