Mgombea Ubunge wa Jimbo jipya la Uyole Dkt. Tulia Ackson amesema ili kuinua secta ya kilimo ndani ya Kata ya Iganjo jijini Mbeya watahakikisha Mbolea za Ruzuku na Pembejeo zote za kilimo zinapatikana kwa wingi ili kuongeza tuja katika uzalishaji wa mazao ya chakula na biashara kwa wakazi wa kata...
Leo naangalia huko nchini Nepal mpaka wananchi kuingia mtaani kuchoma bunge na zile tabia za Nepal ndio zinafanana na nchi yetu.
Sasa jana kuna mwanachama wa CCM kafikia hatua ya kutuwekea vitisho kuwa tusipoipigia kura tusitumie SGR, BARARABARA N.K ambavyo anadai ni vya Rais Samia, tokea nchi...
Wahuni walijua kufungia twitter(X) ndio kukomesha wanaharakati na walijua hakuna watumiaji wengi.
Sijui hizi habari wanashauriwa na vilaza toka JF.
Sasa siasa imeamia instagram na facebook na huko ndio kuna wasanii wao 😂. Karma karma sasa fungeni wawa geuke
Ukitaka kununua nyumba, kiwanja, shamba, gari na hata kupata ajira au elimu ya juu ni lazima uwe na vitambulisho ikiwemo kadi na namba ya NIDA. Maana yake ni kwamba ukishakua na kadi ya NIDA wewe ni mpiga kura wa CCM utake usitake.
Ninakumbuka Ufunuo wa Yohana kuwa siku za mwisho hutaweza...
Wadau,
Ni msiba mzito kwa Tanzania kuwa CCM priority yake ni kupambana kuendelea kuwa madarakani kwa gharama yoyote ikiwemo kupokea pesa chafu kutoka kwa watu ambao wakati mwingine inawaita mafisadi, kuua, kuteka na kulawiti wale wanaopingana nayo kwa hoja , yote hayo inaweza kuyafanya...
bila
kupata
kupata maendeleo
kutengeneza
madarakani
maendeleo
miaka
miaka 60
miaka 60 ya uhuru
passport
serikaliserikaliyaccm
shaka
uhuru
umaskini
uzembe
Miaka kadhaa iliyopita Mwigulu Nchemba alitamba sana kwa maneno ya TRAB na TRAT ambayo wengi waliona kuwa waziri hajui maana ya maneno hayo huku wengi wakishindwa kuzungumzia zaidi ya Tsh trilioni 300 ambazo halisema hazipo huko. Okay TRAB ni Tax Revenue Appeals Board na TRAT ni Tax Revenue...
Najua wale chawa wa Jf,UVCCM,wasanii,CCM mafisadi na wengine tutapokea kila aina ya kumsifu Marehemu Ndungai usije shangaa mpaka Samia na genge lake la CCM wakasema alikuwa magufuri mwengine.
Nimepitia haraka haraka dira ya maendeleo ya taifa 2025-2050 iliozinduliwa leo na kugundua misingi yake ina hadaa umma wa Watanzania.
"Kila mtu anafurahia uhuru, ulinzi wa maisha yake na haki zote za msingi zilizowekwa kikatiba, zinazosimamiwa na mahakama zilizo huru, zinazozingatia makundi...
CHADEMA NJOONI MBISHE KAMA HAMJAPEWA PESA ZA NO REFORMS NO ELECTION NA SERIKALI YA CCM.
Rais Samia ameliwezesha Baraza la Vyama vya Siasa kufanya mikutano sita (6) na baraza hilo kutoa mawazo na ushauri uliowasilishwa Serikalini na kufanyiwa kazi.
Kufuatia mashauriano yaliyowahusisha wadau...
Moja ya mambo yanayowafanya CCM kutotaka kamwe kusikia kauli mbiu ya CHADEMA ya NO REFORMS NO ELECTION ni pamoja na ukweli kwamba tayari CCM wameshatumia mabilioni ya wananchi kuagiza na kuandaa vifaa mbalimbali kwa ajili ya kampeni ya uchaguzi mwishoni mwa mwaka huu.
Hap chini ni moja ya...
Kuna kitu nimeshindwa kabisa kuelewa sisi Watanzania ni watu wa aina gani. Tunawezaje kuona serikali ambayo imekubuhu katika utekaji, uuaji, utozaji kodi kupita kiasi, uonevu wa polisi, ugomvi na wachungaji, ufisadi uliokomaa, ugawaji rasilimali za taifa kwa wageni, udanganyfu katika uchaguzi...
Wakuu,
Rasmi sasa Mwigulu Nchemba ametangaza kiasi cha pesa ambacho Serikali kitatumia kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2025
Mwigulu amesema kwamba kwa mwaka huu, Serikali imetenga Tshs Bilioni 741.5 kwa ajili ya Uchaguzi tu.
Ikumbukwe kuwa mwaka 2020, Serikali ilitenga Tshs Bilioni 268 kwa ajili ya...
Afrika kusini, Serikali ya Makabulu ilimkamata Mandela na kumfungulia Kesi ya Uhaini hapa Tanzania Serikali ya CCM imemkamata Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu na kumfungulia kesi ya Uhaini.
Afrika kusini, Serikali ya Makabulu kupitia njia za kisheria walikifungia kufanya siasa Chama cha ANC...
Kumezuka magenge ya mashehe wanaojifanya kuitetea serikali hata pale wanapopaswa kulaani. Je hawachanganyi dini na siasa au kufanya hivyo ni pale wanapojitokeza wanaoipinga?
Je huu siyo unafiki na undumila kuwili? Je viongozi wa dini wanapomwalika rais au waziri mkuu kuhudhuria mambo yao...
Kuna njia nyingi ambazo watu hutumia kufifisha mjadala au mazungumzo hasa pale inapobainika kuwa kuna ukweli usiowapendeza au unaoweza kuathiri maslahi yao. Hapa kuna baadhi ya njia zinazotumika:
1. Kubadilisha Mada (Changing the Subject)
Wanaweza kuleta mada mpya ya kuvutia au ya kuchochea...
https://youtu.be/8KZulT0i1nk?si=OmucN8PMwbOADTlj
Kwa unyama huu waliotendewa Wanasheria na Wanaharakati toka nchi za jirani zetu Kenya na Uganda kimeharibu kabisa uhusiano wa kidplomasia.
Tujiulize: Kulikuwa na ulazima gani wa kuwakamata, kuwatesa na kuwa dhaliilisha kingono baadhi yao? Mtu ni...
Hiki kikundi hakuna serikali kiliwahi kushindana nacho na kipo dunia nzima na kama mnataka kujibizana nacho subirini wafute mifumo yote ndio mkawe na akili sawa.
Historia:
Anonymous ni kundi lisilo rasmi la watu wanaojitambulisha kama wanaharakati wa mtandao (hacktivists), ambao hutumia mbinu...
Hali inaongezeka kila siku nchini za viongozi wa Tanzania kutaka kujitutumua na kujitofautisha na Watanzania wengine, wananchi wa kawaida. Ile roho chafu ya "unanijua mimi ni nani" inawapa kiburi sana watu wanaojiona wao ni watawala nchini, pamoja na watu wa vyombo vyao vya dola.
Angalia kwa...
Ukichukulia kwamba tayari Ubalozi wa Marekani nchini na Bunge la Ulaya tayari wametoa kauli kuhusu serikali ya Samia kufuata haki za binadamu na utawala wa sheria, na haya mambo yanayotokea nchini kuhusu hawa wageni mashuhuri wanaokuja kwa ajili ya kesi ya Lissu, nashindwa kuelewa ni mtu mwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.