Ni wazi 3 Series ndio gari BMW waliyouza kwa wingi kuliko model yoyote hadi sasa.
Sasa kuendana na teknolojia, wameiletea EV yake, inaitwa i3.
Cha muhimu kabisa ni range ya 900 kilometa na power ya 460 hp. Battery lina 100 kWh na charging system ya 800v architecture (DC fast charging inakupa...
Title:
Defender 110 vs Land Cruiser 70 Series – Nani ana 4x4 kali zaidi Off-Road?
Post:
Kuna kitu kimeniwazisha sana kuhusu uwezo wa off-road wa magari haya mawili.
Kati ya Land Rover Defender 110 Toyota Land Cruiser 70 Series, ipi ina 4x4 kali zaidi kwenye mazingira magumu kama matope, milima...
Habari wakuu ..!
Msimu ujao wa sikukuu hizi za wakristu na waislamu hasa pasaka, wauzaji na maduka mengi hasa ya simu huwa yanatoa offer kwa bidhaa zao.
Nilikuwa nina mpango wa kuvuta Samsung Galaxy S22 Ultra kwenye hizo offer ila nimefatilia mara kadhaa kwenye mitandao na maoni ya watu...
Ni February nyingine, Samsung wanatuletea S Series. Wamekuja na S26, S26+ na S26 Ultra.
Kusema kweli mabadiriko ya kimuonekano ni madogo sana ukifananisha na S25 kwahiyo vichache vya kuandika.
Wanabodi za wikiendi! Nimekuwa nikifuatilia huu mjadala unaoendelea Instagram kuhusu Subaru SJG vs Land Cruiser 300. Kuna hoja zinatolewa kwa confidence sana kwamba Forester SJG inaweza kuipiku LC300. Binafsi nikaona ni vyema tuweke hisia pembeni, tuangalie uwezo wa magari haya kwa uhalisia wa...
Habari za mda Wana jukwaa, Naomba tupeane madini /maoni, hasa kwa wajuzi na Wamiliki wa BMW 3 series sedan (hasa za kuanzia 2011 kurudi nyuma). Kumekuwa na trend ya kufunga aftermarket Accessories kama...
Kuna series moja nzuri sana ambayo sasa ndio inashika vichwa vya habari duniani kote na hii series inaitwa Tom Clancy's Jack Ryan. Mfululizo wa Tom Clancy’s Jack Ryan unamuhusu mwamba mmoja wa kuitwa Jack Ryan, mfanyakazi wa CIA anayejihusisha na ujasusi wa kimataifa, uchambuzi wa mambo hatari...
Maisha yako speed.
iPhone 17 Pro Max 512 GB pale iStore Mlimani City inauzwa Mil 6.
Kwenye package unapata iPhone, USB C, pini ya kutolea laini na Makaratasi. Hamna kichwa cha chaja, hamna protector, earphone wala kava.
Ila kwa iyo iyo bei unapata BMW E90 2007 namba D na inabaki pesa ya...
Heri ya mwaka mpya wanafamilia ya jamii forum. Kwa wenye uzoefu na m-wekeza ya voda, mfano ukiwekeza let say Tsh. 10,000,000/= kwa miaka 10 kwa riba ya 13% kwa mwaka, je baada ya miaka 10 utaweza kupata kias cha Tsh. 33,945,673.899? Kama formula ya compound interest ilivyo? Au wao voda...
Nimetokea kuikubali sana hii series
Maisha ya Daudi akiwa mchungaji wa kondoo huko milimani akipambana na wanyama wakali huku kaka zake wakiwa nyumbani
Maisha ya mfalme Sauli aklivyolewa sifa kuona mafamiko yote ni yake na jinsi alivyo kiuka maagizo ya Mungu
Nabii Samueli alietumika kumsaidia...
Siku ya leo tar 20 August, Google wamezindua simu zao za Google Pixel kupitia event yao ya Made by Google 2025.
Baadhi ya simu zilizozinduliwa ni Pixel 10, Pixel 10 Pro, Pixel 10 Pro XL, na Pixel 10 Pro Fold.
Mbali na simu, Google wamezindua pia Pixel Watch 4 Smartwatch na Bud 2a earpods...
Mwamba anasema amejaribu kupata mtoto na mkewe kakosa, akapewa connection na jirani akajaribu kwa mganga ila bado chali alafu anamuambia jirani mtoa connection amjaribu yeye kama kweli atapata mimba, mara paaap jirani kapata mimba na mtoto hataki kutoa🤣🤣🤣
Ila sisi waafrika🚮🚮
Leo katika pitapita yangu wadau nnimekutana na moja ya website makini sana ambayo inahusika na maswala ya movie na series zilizotafasiliwa Nahitaji mnisaidie kunipatia majina mengine ya website maana nimekutana na site moja hapa inaitwa SWAFLIX Hii website ipo na movie na series zote za madj...
Ni visa ambavyo vimewahi kufanya watu wanisikilize kwa umakini mkubwa, kuwa na hamu ya kuendelea kuwasimulia nilipoishia na kuniomba updates.
Sioni haja tena ya kusimulia visa vyangu kama hakuna pesa, ni wapi naweza kuuza hivi visa ambavyo ni true life stories na nipate motivation ya kuingia...
Tushawahi kuongelea humu EV kutoka Honda ambayo ni sedan, iliopo katika series 0.
Honda 0 Series Saloon: EV yenye muonekano wa ki-future!
Hawa jamaa sasa wanaleta SUV yake.
Ingawa taarifa za specifications, bei na upatikanaji hazijatolewa, ila ndio hii production type.
Kwa wale waliofatilia MR robot
Mtakuwa sio wageni kuhusu mambo ya utawala na ushenzi wa dunia ulivyo kwa watawala.
Sasa amekuja na sinema ambayo kumbe serikali kuna ponjoro wengi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.