sera

"Que Sera, Sera (Whatever Will Be, Will Be)" is a song written by the team of Jay Livingston and Ray Evans that was first published in 1956. Doris Day introduced it in the Alfred Hitchcock film The Man Who Knew Too Much (1956), singing it as a cue to their onscreen kidnapped son. The three verses of the song progress through the life of the narrator—from childhood, through young adulthood and falling in love, to parenthood—and each asks "What will I be?" or "What lies ahead?" The chorus repeats the answer: "What will be, will be."
Day's recording of the song for Columbia Records made it to number two on the Billboard Hot 100 and number one in the UK Singles Chart. It came to be known as Day's signature song. The song in The Man Who Knew Too Much received the 1956 Academy Award for Best Original Song. It was the third Oscar in this category for Livingston and Evans, who previously won in 1948 and 1950. In 2004 it finished at number 48 in AFI's 100 Years...100 Songs survey of top tunes in American cinema.
It was a number-one hit in Australia for pop singer Normie Rowe in September 1965.
The song popularized the title expression "que sera, sera" as an English-language phrase indicating "cheerful fatalism", though its use in English dates back to at least the 16th century. Contrary to popular perception, the phrase is not Spanish in origin, and is ungrammatical in that language.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    Taarifa ya utekelezaji wa sera ya uongezaji wa ukwasi mtaani kutoka benk kuu.

    Naambatanisha wala wa benki kuu wa tarehe 13.09 .2021 hapo chini
  2. Tozo za miamala inaathiri sera ya fedha kwa kuathiri 'financial inclusion'

  3. The Great Barrington Declaration. Azimio la kupinga sera ya sasa ya covod-19

    Hili ni Azimio la October mwaka jana kupinga sera ya sasa ya covid. Essentially, linasema, wazee ndio wako at risk, kwa hiyo wasichanjwe wao peke yao. Wauguzi wengi wanaipinga hii Sera ya sasa. Yupo,kwa mfano, Dr. Sucharit Bhakdi,virologist,anayesema"tumum uke, madaktari wanaoipinga hii sera ya...
  4. Wale wenye sera ya Majimbo waangalie Ethiopia

    Kuna chama nchini kimekua kikitumiwa kugawa Watanzania kijiografia na kitabaka. Nasema kinatumiwa kwa sababu umoja wa watanzania umekua kikwazo kikubwa kwa wale wenye nia ya kuligawa taifa kwa mizozo ili wamiliki kirasi uchumi wake. Nchi kama Ethiopia imehangaika miaka mingi kujenga uzalendo wa...
  5. Marekani: Utawala wa Rais Joe Biden kuendeleza Sera ya kudhibiti wahamiaji

    Utawala wa Rais Joe Biden umesema utaongeza muda wa Sera ya "Title 42" iliyokuwepo katika Utawala wa Donald Trump, ambayo inaruhusu Marekani kufukuza wahamiaji wasio na Hati. Uamuzi huo unakuja wakati Wahamiaji wakiendelea kumiminika katika Mpaka wa Marekani ikielezwa 210,000 waliripotiwa mwezi...
  6. Mbowe na CHADEMA wana itikadi na sera ya ubinafsi

    Kwa wale wasiyoelewa wala kuona itikadi za vyama ingetosha tu kumsikiliza mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe ili kujua CHADEMA wanapigania nini. Ukisikia jinsi Mbowe anamponda Magufuli mtu ambaye kabla ya kuwa Rais wa JMT kwa miaka 20 amekuwa anasimamia ujenzi wa miundombinu ya barabara nchini kwa...
  7. BoT: Hatua za kisera kuongeza upatikanaji wa mikopo kwa Sekta Binafsi na kupunguza viwango vya riba

    Benki kuu ya Tanzania imetoa muongozo wa benki za biashara kupunguza riba kwa sekta binafsi. Benki kuu imetenga fungu la Trilioni moja ambayo itatumika kuzikopesha benki na taasisi za fedha kwa riba ya 3% na kutaka benki zitoe mikopo kwa riba isiyozidi 10%. Binafsi napongeza hizi hatua za...
  8. Ombwe la elimu ya ujinsia na mimba za wanafunzi 980 katika siku 180 wilayani Kidondo: Sera ya Elimu Tanzania inakidhi mahitaji?

    Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mwanaidi Ali Khamis akiongea na wananchi na viongozi Wilayani Kibondo Taarifa kwamba huko mkoani Kigoma, kila siku ya miezi sita iliyopita, angalau wanafunzi 5 walio chini ya miaka 18 walikuwa wanafanya ngono ya jenitalia kwa...
  9. H

    SoC01 Sababu zinazochangia kuua elimu Tanzania

    Natumaini mnaendelea vema na shughuli za ujenzi wa familia zenu Leo napenda kuongelea sababu zinazochangia kuua elimu katika nchi yetu ya TANZANIA Nitaongelea sababu hizo kutokana na uzoefu wangu katika sekta ya elimu SHULE ZINAZOMILIKIWA NA WATU BINAFSI Shule ZINAZOMILIKIWA na watu binafsi...
  10. G

    SoC01 Sera na Sheria za Tanzania inavyowanyima Vijana Michongo

    Mifano ya sera na sheria za tanzania zinavyowanyima vijana wengi michongo. # Mashariti ya kumiliki na kusajili maudhui ya mtandaoni( Youtube channels, Blog, website, etc) Chanzo: https://www.tcra.go.tz/uploads/documents/sw-1619110553-The Regulator Special Edition.pdf Ni vijana au...
  11. SoC01 Uwezeshaji Sera za kilimo kwa vijana

    Kilimo ni taaluma inayojulikana na pia ni mwajiri mkubwa wa wananchi wengi katika taifa hususani kwenye nchi zinazoendelea mfano; Tanzania. Japokua watu wengi wanaojishughulisha na kilimo Kama njia moja wapo ya maisha Mara nyingi ni watu wa makamo(aged) pamoja na wale wasio na elimu, ingawa...
  12. Antony Mtaka aambiwe kwamba sera ya elimu ni ya kitaifa na siyo mkoa kwa mkoa

    Bila hata kujua kiwango cha elimu ya mkuu wa mkoa wa Dodoma, mara moja naona makosa ya kiutendaji aliyonayo. Kwanza, yaonekana ni mtu asiyejua kuchagua maneno. Pili, hakujua mchakato upi uboreshe kiwango cha elimu mkoani kwake, siyo ufaulu anaotafuta. Elimu inaendeshwa kitaifa na siyo ki-mkoa...
  13. L

    Dodoma: RC Antony Mtaka amchana Waziri wa Elimu kuhusu mwisho wa Watoto kusoma kuwa ni saa tisa

    Mataka awaasa wananchi wampuuze Waziri wa Elimu kuhusu mambo ya elimu Kwenye mkoa wa Dodoma. Mataka amesema wampuuze Waziri ambaye watoto wake wanasoma international school. Sikiliza audio hapo. Mama Ndali umezoea kuwaonea wakuu wa taasisi za elimu halafu system inakuangalia tu. Ndalichako...
  14. Wanaharakati wapitia Sera ya Jinsia na Ujumuishi ya ZEC

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI- 12, July 2021 Wadau / wanaharakati watetezi wa haki za Wanawake, Vijana na Watoto wamependekeza Tume ya Maadili ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) ishirikishe wajumbe wengine kutoka sekta mbali mbali zikiwamo asasi za kiraia ili kuangalia, kujadili, kushauri na...
  15. W

    Dkt. Mwigulu Nchemba, sera hizi zitakuangusha kisiasa - teta na Rais au jiuzulu

    Ndugu zangu, Mdogo wangu Mwigulu Nchemba umetegwa na umetegeka. Kuna sera za masuala ya fedha ambazo katu mtu makini hawezi kufanya wewe unafanya ili upate umaarufu na sio kwa maslahi ya nchi. Kuna kundi limekuzingira linahitaji yafuatayo ambayo na wewe umeingia mkenge; Umepewa mtego kuwa na...
  16. Sheria au Sera gani inayotuongoza katika kufungua uchumi kwa hisani ya wawekezaji?

    Salamu! Ni vyema tunaposema kuwa tunaenda kufungua uchumi kwa kualika wawekezaji wa nje tuwe na sera mahsusi na sheria dhibiti zinazotuongoza katika utekekezaji. Iwapo Sera na Sheria zetu ni duni katika hili tutegemee kuanguaka kiuchumi. Je, Sheria au Sera ya kufungua uchumi kwa hisani ya...
  17. TAMISEMI: Serikali kuifanyia mapitio Sera ya Zahanati kila Kijiji na Kituo cha Afya kila Kata

    Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Dkt. Festo Dugange amesema Serikali imeamua kuifanyia mapitio Sera ya Zahanati katika Vijiji na Vituo vya Afya katika Kata. Ameeleza, "Tumeamua hivyo ili tuwe na ujenzi wa Zahanati na Vituo vya Afya kimkakati zaidi...
  18. Rais Samia Kiwanda cha Chibuku/ Darbrew LTD kilifungwa tangu mwaka 2018. Muwekezaji yupo lakini Watendaji wa Jiji la Ilala wanakwamisha

    DARBREW LTD ni kiwanda cha kutengeneza pombe aina ya chibuku,kilianzishwa tangu mwaka 1967 na kampuni binafsi LONRHO corporation. Serikali ilikitaifisha kiwanda hicho mwaka 1978 na kukiendesha kwa mafanikio.Kilianza kuwa na ubia mwaka 1997 ambapo serikali ilikuwa na hisa ya 40% na sekta binafsi...
  19. Z

    Wanasiasa wanaposhindana kuijua Biblia na Koran badala ya Katiba na Sera za Nchi

    Tangu awamu ya 4, 5 na sasa awamu ya 6 hali imekuwa kutoa mifano ya Biblia na Koran, Bungeni na majukwaani. Wanasiasa wanaotoa hotuba zinazostahili kuwa msikitini na kanisani. Leo hii mkuu wa mkoa wa Mwanza anamwita rais Samia ni mtumishi aliyeletwa na Mungu. Sijui anatutisha au anajisemea...
  20. Crypto - Currency haitapoteza kabisa uwezo wa BoT na sera ya fedha kudhibiti uchumi?

    Sera ya Fedha(Monetary Policy) ni hatua za makusudi zinazochukuliwa na BoT ili kuthibit Uchumi. Leo katika Uzinduzi wa Jengo la BoT Mwanza, Gavana wa BoT, Prof Florens Luoga ambaye kwa taaluma ni mwanasheria nimeona ametaja matumizi ya fedha taslimu kuwa changamoto dhidi ya Sera ya Fedha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…