Leo Septemba 26, 2025 Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika ametoa kauli kufuatia madai ya aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Zanzibar Said Issa Mohammed kuwa ni ya uongo, hii ikiwa ni muendelezo wa Kesi ya Mgawanyo wa Mali CHADEMA ambayo itasikilizwa tena...
Kwa kasi ya mismanagement ya uchumi na ufisadi ambao tumekuwa tukiusema hapa kila siku jumlisha na fedha zinazoenda kwenye kampeni uchwara, Hazina Kuu imekauka.
Hadi leo hata hao mapolisi hawajalipwa. Bank overdraft ya BOT haijatosheleza. Baada ya uchaguzi Tanzania kuwa Zimbambwe ya Kisasa.
Kwa mara nyengine, Cuba imekosa umeme nchi nzima kutokana na uchakavu wa miundombinu na uhaba wa mafuta kwenye mitambo ya nishati katika taifa hilo la Karibiki. Tukio hilo la jana ni la pili kwa mwaka huu, likitanguliwa na matukio ya aina hiyo mwaka jana. Wizara ya Nishati na Madini imeandika...
Kesi ya Luhaga Joelson Mpina dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Tume Huru ya Uchaguzi ya kuzuiliwa kuwa Mgombea Urais Kupitia ACT Wazalendo, itaendelea Leo Saa 8 mchana katika Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma.
Chama cha ACT kimesema Waandishi wa Habari wanakaribishwa Kuhudhuria...
https://www.youtube.com/live/ir1LWQnv3m0?si=YhzAuPVswyg_nq9Z
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiendelea na Kampeni ya Uchaguzi Makambako Mkoani Njombe leo tarehe 06 Septemba, 2025.
Wananchi waliojitokeza...
Tunashukuru jezi ni nzuri lakini nna uhakika tarehe 16 Septemba 2025 Yanga watatufunga tena, jana aliyoyaoengea Ali Kamwe mnaweza kuchukulia kirahisi rahisi na kumdharau vile, yule alikuwa anatoa code, aliposema safari hii wanatumia Nyundo alikuwa na tafsiri nyingi.
Yanga hawangaiki tena...
Tarehe kama hii mwaka fulani walikusanyika kwa ajili yetu tukijiingiza kifungoni, ingawa sijui hata kama leo yupo aliyeiweka kwenye kumbukumbu. Hadi naandika hapa, ni mengi tumepitishana. Uzi tayari
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Makalla, Jumatatu hii Septemba 1, 2025, amefanya ziara ya kumtembelea Nabii Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie, ikiwa ni muendelezo wa ziara zake za kuwatembelea viongozi wa dini mkoani Arusha kwa lengo la kujitambulisha na kubadilishana uzoefu katika mambo mbalimbali...
Anaandika, Robert Heriel
Kuhani Katika Hekalu Jeusi
Kwa heshima yote isiyo na hila, nilianza kuiomba serikali tangu august 13 kuona namna ya Kumuachia Tundu Antipas Lisu. Hii ni kusema mpaka tarehe 7 septemba, zitakuwa sio chini ya siku 24 tangu nitoe ombi hilo.
Lilikuwa Ombi la heshima na...
Tunaingia mwezi wa 9 ambapo kumbukumbu za shambulizi la kigaidi huko marekani zitafanyika huko manhattan kwenye zero ground. Nikaona sio mbaya kuleta picha na kumbukumbu mbalimbali za tukio hilo tujikumbushe kidogo.
Sehemu ya upande wa kaskazini mwa jengo la WTC muda mfupi baada ya...
Kesi ya madai namba 8323/2025 iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar Said Issa Mohamed na wenzake wawili (2) dhidi ya Bodi ya Wadhamini na Katibu Mkuu wa chama hicho imeendelea tena leo, Alhamisi Agosti 28.2025 Mahakama Kuu ya...
Hamjambo!
Kete pekee ambayo imebaki kubadili upepo wa kile kinachoendelea ndani ya taifa hili ni kumtoa Tundu Lissu hasa nyakati hizi ambapo Kampeni za uchaguzi zitakuwa zimepamba moto..
Kumtoa Tundu Lisu Mahabusu kutaipa nguvu Serikali na kuondoa kelele zinazoendelea na matukio mapya...
Wakuu,
Kuanzia Septemba mwaka huu, Beijing, China itaanza kuwafundisha watoto wadogo kuanzia umri wa miaka sita masomo ya lazima ya Akili Bandia (AI) katika shule zote za msingi
Shule zote jijini Beijing zitalazimika kutoa angalau masaa 8 ya ufundishaji wa AI kwa kila mwaka wa masomo, ama...
Hamjambo wote!
Tayari misukosuko imemtosha, tunaita ndio mambo ya siasa hayo. Tunaiomba serikali kabla ya septemba 7 iweze kumuachia Tundu Lisu.
Hatusemi baada ya hapo ile Muku na yule aliyemuokoa na na lile shambulizi lilimnusuru roho yake ataingilia kati. Na haimaanishi kuwa hatujasema...
Canada imetangaza kuwa inapanga kuitambua rasmi Palestina kama taifa katika mkutano wa Umoja wa Mataifa mwezi Septemba, alieleza Waziri Mkuu Mark Carney, hatua inayoongeza shinikizo kwa Israel wakati njaa ikizidi kuenea Gaza
Tangazo hili linakuja baada ya Ufaransa kusema wiki iliyopita kuwa...
Gwaride la kijeshi la China la Septemba 3 litaonyesha silaha na vifaa vilivyoboreshwa.
Xinhua|June 24,2025
The weapons and equipment to be displayed in China's Sept. 3 military parade embody the Chinese military's system-based combat capabilities, new-domain and new-quality combat strength and...
Naibu Waziri wa Ujenzi Mhandisi Godfrey Kasekenya amesema utekelezaji wa ujenzi wa daraja la Mitomoni lenye urefu wa mita 80 umefikia asilimia 21 unatekelezwa kupitia fedha za dharura zilizotolewa na bank ya dunia kupitia dirisha la Contigency Emegency response component (CEC)kwa gharama ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.