sengerema

Sengerema District is one of seven districts in the Mwanza Region of Tanzania, East Africa. It is bordered to the north and east by Lake Victoria, to the south by Geita Region and to the southeast by the Misungwi District.
As of 2002, the population of Sengerema District was 501,915. The district's population has grown to 663,034 in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Somaiyo

    House4Sale Nyumba zinauzwa Sengerema, Mwanza

    Nyumba mbili zinauzwa Sengerema Mjini Mwanza, zote ni nyumba zenye vyumba vitatu na sebule, jiko, dining na master bedroom moja ambayo ni selfu! Nyumba Moja imekamilika, nyingime haijakamilika, kama inavyoonekana kwenye picha Zote zina mfumo uliokamilka wa maji taka,! Maji na umeme vipo...
  2. cleokippo

    Waziri wa Maji; Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji jimbo la Sengerema kiti anachokalia sio size yake, akae pembeni

    Asalam Wapo watendaji wa serikali wanafanya kazi kwa mazoea kwa kuamini hakuna mbadala yao. Wapo pia wafanyakazi ambao hawafanyi kazi ipasavyo kwa kuamini kuwa wenye mamlaka ni washkaji zao na hivyo hawana uthubutu wa kuwawajibisha. Wapo watu wakikaa kwenye system hubweteka na wakiondolewa tu...
  3. IKEKERA

    Serikali ikichunguze kivuko cha Busisi-Kigongo upande wa Sengerema. Kuna hujuma kwa wavuka kwa miguu

    Haiwezekani unapewa risiti halafu kwenye kuscan eti machine haifanyi kazi unaambiwa upitie sehemu ambayo machine haifanyi kazi. Hii inaweza kuwa hujuma na upotevu wa mapato ya Serikali. NB:Maendeleo hayana chama
  4. Frumence M Kyauke

    Wanaume wa Wilaya ya Sengerema walalamikiwa kwa tabia ya kuwapa wanafunzi ujauzito

    Sengerema wanafunzi wapatao 254 wa shule za msingi na Sekondari Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza wamekatishwa masomo kwa kupatia ujauzito kwa mwaka Kati ya mwaka 2020/21. Hayo yamebainishwa na mkuu wa dawati la Jinsia Wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza Insepectar wa Polisi Martha Silvesta...
  5. Suley2019

    Sengerema, Mwanza: Fisi ajeruhi wawili wakiteka maji

    Watu wawili wamejeruhiwa na fisi sehemu mbalimbali za miili yao katika Kijiji cha Nyamabano, Halmashauri ya Buchosa Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza wakati wakiteka maji kwenye lambo. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi leo Oktoba 4, Ofisa Mtendaji kijiji hicho, Mathias Njoluli amesema...
  6. Analogia Malenga

    Sengerema: Viongozi wapigwa chini kwa kukusanya mchango wa ujenzi wa zahanati kwa lazima

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Ummy Mwalimu amewasimamisha kazi Mtendaji wa kijiji cha Nyamililo Wilayani Sengerema Mariamu Mgunda, pamoja na mwenyekiti wa Kijiji hicho Mateso Shibayi na kuwaweka ndani kwa kosa la kuchangisha kwa nguvu fedha za...
Back
Top Bottom