sekta ya afya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Ahadi hewa ya Utekelezaji wa Muundo wa Utumishi kwa Sekta ya Afya (Kada ya Uuguzi na Ukunga) kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026

    JE ILIKUWA NI AHADI HEWA YA KUPITISHWA NA KUANZA UTEKELEZAJI WA MUUNDO WA UTUMISHI KWA SEKTA YA AFYA (KADA YA UUGUZI NA UKUNGA) KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 ILIYOTOLEWA NA OFISI YA RAIS – MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA MWEZI MEI 2025? Habari, Kwa masikitiko makubwa napenda...
  2. M

    Mageuzi sekta ya afya chini ya Rais Samia si ahadi za kisiasa tu ni mabadiliko yanayopimika kwa takwimu na yanayoonekana kwa macho

    ~ Yameipa heshima Tanzania Kimataifa kama kinara wa mageuzi ya Afya Afrika Katika kipindi cha miaka michache iliyopita, sekta ya afya nchini Tanzania imepitia mageuzi makubwa ya kihistoria. Chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Serikali imewekeza...
  3. Roving Journalist

    Mchengerwa: Tutawalinda waandishi wa habari za uchunguzi wanaofichua uovu katika sekta ya afya

    Waziri wa Afya, Mohammed Mchengerwa, ametoa wito kwa waandishi wa habari za uchunguzi kuendelea kumulika changamoto na mianya ya ubadhirifu wa fedha inayoweza kuwa kikwazo katika utekelezaji wa Bima ya Afya kwa Wote. Akizungumza Februari 2, 2026, katika kikao kazi na wahariri wa vyombo vya...
  4. Outsiders

    Je!! Suala la miundo ya mshahara katika sekta ya Afya ni jambo jipya kusikika zikisemwa na mawaziri waliowahi kushika nyazifa hiyo?

    Nimekusogezea jambo hili utoe nyongo yako mdau
  5. A

    KERO Jinsi Porojo za wanasiasa zinavyoharibu Sekta ya Afya nchini

    Kumekua na kukithili kwa porojo za kisiasa juu ya sekta ya afya nchini, hali inayopelekea huduma kuendelea kuwa duni na zisizoridhisha. Jambo moja wapo ni hili la kupitiwa na kubadilishwa kwa miundo ya kimshahara katika sekta ya afya,, jambo hili kila Waziri anaepewa dhamana kuongoza wizara ya...
  6. ChoiceVariable

    Botswana Yatangaza Hali ya Hatari Baada ya Sekta ya Afya Kuporomoka ambapo Hospitali za Nchi Kukosa dawa.Hii ndio Nchi tunaambiwaga imeendelea

    My Take Hii Ndio Nchi Huwa tunaambiwa na Wapinzani kwamba imeendelea sana ,Ina Demokrasia na sijui Haina rushwa na blaa blaa zingine za kipumbavu za kusema wanatumia Rasilimali vizuri. Mpaka hapo kila mtu anaona Sasa kwamba Demokrasia imeshindwa kwa mara nyingine kuwapa watu dawa ,ugali na...
  7. Carlos The Jackal

    Serikali ya Samia Kwa Makusudi kabisa, Ilisitisha Uwekezaji Sekta ya Afya na Elimu Eneo la Ngorongoro ili kuwakomoa na kuwalazimisha wahame !!

    Kwamba Washauri wa Rais wakamshauri, ili hii Jamii ya Wamaasai itoke Eneo hili na MWARABU WETU awekeze Kwa Amani, inabidi kuzuia Uwekezaji kwenye huduma za Kijamii kama vile Afya na Elimu. Duuuhhhh Wamasai bado wakaamua Kufa Kwa kukosa Huduma lakini wafie katika Ardhi Yao
  8. M

    ARUSHA YA KENANI Sekta ya Afya Yaimarika Chini ya Rais Samia

    Chini ya Rais Samia Upatikanaji wa dawa, vifaa tiba na vitendanishi Mkoani Arusha wafikia asilimia 93. Rekodi za Kitaifa zinaonesha kuwa Tanzania imeongeza MRI kutoka 7 hadi 13, CT scan kutoka 13 hadi 45, Digital X-Ray kutoka 147 hadi 491 na Ultrasound kutoka 476 hadi 970. Hata hivyo Mkoa wa...
  9. I

    Mafanikio ya sekta ya afya katika mkoa wa Tanga

    1. Mkoa wa Tanga katika kipindi cha mwaka 2020 hadi 2025 umeongeza vituo vya kutolea huduma za Afya vya serikali kutoka 325 hadi 417 ikiwa ni ongezeko la vituo 92. 2. Zahanati zimeongezeka kutoka 287 hadi 361 sawa na ongezeko la zahanati 74. 3. Vituo vya Afya vimeongezeka kutoka 31 hadi 46...
  10. Genesis_2030

    Je Akili Bandai (AI) ni nini? Nafasi ya AI katika sekta ya afya hususani Radiolojia

    Akili Bandia (AI) imekuwa gumzo kubwa duniani kote, na si ajabu. Uwezo wake wa kuiga akili ya binadamu unaanza kubadilisha jinsi tunavyoishi na kufanya kazi, hasa katika sekta muhimu kama afya. Ni muhimu kuelewa AI ni nini na ina nafasi gani bila kuficha ukweli wowote. AI ni Nini Hasa? 🤔 AI ni...
  11. Blasio Kachuchu

    Benki ya Exim yafanya Kampeni ya uchangiaji Damu nchi nzima kuimarisha sekta ya Afya

    Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Dar es Salaam: KATIKA kuendelea kudhihirisha dhamira yake ya muda mrefu katika kuimarisha afya ya umma, Benki ya Exim Tanzania, kwa kushirikiana na Mpango wa Taifa wa Damu Salama (NBTS), imefanikisha kampeni ya nchi nzima ya uchangiaji damu. Zoezi hili muhimu...
  12. R

    Upungufu wa watumishi sekta ya Afya na Elimu Morogoro

    Mkuu wa mkoa Mororgoro Adam Malima amedhiinisha kuwepo upungufu wa waalimu 800 na watumkishi zaidi ya 500 sekta ya Afya, amesema hayo katika baraza Maalum la Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Mlimba leo Juni 11, 2025 ==== Kikao cha Baraza Maalum la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba...
  13. LAZIMA NISEME

    Waziri Mkuu Majaliwa ampongeza Rais Samia kwa kuendelea kutoa vibali vya ajira Sekta ya Afya

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu itaendela kuisimamia na kuipa hadhi sekta ya afya ikiwemo kwa kutoa vibali vya ajira pamoja na kujenga miundombinu ya kutolea huduma hizo katika ngazi zote. Amesema mpango wa Serikali kwa...
  14. A

    KERO Kitendo cha Halmashauri ya Tunduru kutuunga wafanyakazi wapya katika vyama vya wafanyakazi bila kutuma nafasi ya kuchagua si cha kiungwana

    Tungepewa uUhuru tuchague Kati ya TUGHE na TALGHU tujiunge na chama gani baada ya wote kutuelezea faida na maslahi tutakayopata endapo tutajiunga na chama husika. Lakini imekuwa tofauti tumejikuta tunakatwa hela kwenye mshahara na hatujui inaenda wapi. Tulipofuatilia ndipo tuligundua hilo...
  15. DodomaTZ

    Jenista Mhagama: Dkt Mollel ni msaada mkubwa kwangu, anaitendea haki Sekta ya Afya

    Waziri wa Afya, Jenista Mhagama amempongeza Naibu Waziri wake, Dkt. Godwin Mollel na kueleza kuwa anaitendea haki nafasi yake hiyo na amekuwa msaada mkubwa kwake. Amesema hayo Aprili 8, 2025 ambapo amekabidhi zawadi kwa mikoa, wilaya, vijiji na shule za msingi, sekondari na vyuo vikuu katika...
  16. C

    DOKEZO Serikali iwekeze zaidi kwenye vifaa tiba vya kupima magonjwa mbalimbali. Madaktari wanaua wagonjwa kwa kushindwa kuelewa tatizo la mgonjwa

    Kwa sasa, kuna changamoto kubwa katika sekta ya afya, hasa kwenye suala la uchunguzi wa awali kwa njia ya maelezo ya mgonjwa (oral diagnosis). Madaktari wengi waliopo kwenye hospitali na vituo vya afya wamekuwa wakishindwa kufanya uchunguzi huu kwa usahihi. Wengi wao hujikuta wakitoa dawa kwa...
  17. Mkalukungone Mwamba

    Rais Dkt. Mwinyi aishukuru Benki ya Dunia kwa Dola Milioni 100 Kuboresha Sekta ya Afya

    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi ameishukuru Benki ya Dunia kwa Msaada wa kiasi cha Dola Milioni 100 kwa ajili kuimarisha Miundombinu ya Sekta ya Afya hapa nchini. Rais Dkt.Mwinyi ameyasema hayo alipozungumza na Mkurugenzi Muendeshaji wa Benki hiyo...
  18. Rorscharch

    Afrika imeweka Rehani Afya kwa Wazungu: Sakata la USAID ni fedheha ya karne

    Katika mwaka wa 2023, Tanzania ilipokea dola milioni 512.8 kutoka Marekani kwa ajili ya sekta ya afya, ikiwa nchi iliyoongoza kupokea msaada mkubwa zaidi wa afya barani. Nigeria, taifa lenye uchumi mkubwa zaidi Afrika, ilifuata kwa karibu kwa kupokea dola milioni 512.1. Kwa jumla, misaada hii...
  19. M

    Je wananchi tuna uelewa wa kutosha juu ya Homa ya nyani (Monkey pox)?Je wizara ya Afya ikishirikiana na wadau wa sekta ya afya wanatoa elimu stahiki?

    Salam. Dunia ikiwa imetoka kushuhudia gonjwa hatari ya homa ya COVID -19 sasa hivi kumezuka tena ugonjwa hatari wa wa homa ya nyani (Monkey Pox)! Ombi langu kwa serikali kupitia wizara ya Afya kuendeleza juhudi za kutoa elimu kupitia vyombo vya habari kuhusiana na huu ugonjwa ambao wengi wetu...
  20. M

    Unashauri nini kifanyike ili sekta ya afya iweze kutoa huduma bora kwa kila Mtanzania?

    Je, wajua? Serikali ya Tanzania chini ya Marais toka awamu ya kwanza hadi sasa awamu ya Sita imechukua hatua mbalimbali kuimarisha huduma za afya nchini kwa kujenga miundombinu ya afya. Zikiwemo zahanati, vituo vya afya, hospital za halmashauri, hospital za wilaya, hospital za mkoa, hospital...
Back
Top Bottom