sekondari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Shule za sekondari 355, zina waalimu chini ya 10

    Shule za serikali kwa mujibu wa takwimu za TAMISEMI ni kuwa mikoa yote Tanzania ina shule ambazo zinawalimu chini ya 10. Hata hivyo Lindi inaongoza kwa kuwa na shule nyingi zenye waalimu chini ya 10. Aidha shule 21 zina walimu 5 au chini ya hapo na shule 2 zilizoko mkoani Mara zinawalimu...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bukombe: Walimu wa Sekondari, AJIRA MPYA (2025) hatujalipwa PESA ZA KUJIKIMU

    Mimi ni miongoni mwa walimu wa Sekondari (ajira mpya) mwaka 2025. Baadhi tumeajiriwa mwezi wa pili, wa tatu hadi wa sita - lakini mpaka leo hatujapata pesa ya kujikimu. Wenzetu walipewa pesa hiyo mnamo mwezi wa kumi na moja na na sisi hatujui muafaka wetu ni upi na kumekuwa na ubabaifu mkubwa...
  3. JamiiForums Tanzania Responded Mwenyekiti wa Bodi: Shule ya Sekondari Nyampulukano idadi ya Wanafunzi waliohitaji kujiunga kwetu ni wengi kuliko uwezo wa shule

    Kutokana na uhitaji mkubwa wa wanafunzi wanaotaka kuhamia Shule ya Sekondari Nyampulukano iliyopo Sengerema mkoani Mwanza, upande wa mabweni lakini kukosa nafasi, hali hiyo imewasukuma wadau mbalimbali kujitolea kujenga bweni jipya litakaloongeza uwezo wa shule hiyo kupokea wanafunzi wengi zaidi...
  4. JamiiForums Tanzania Hizi alama A za msingi na sekondari na GPA za juu vyuoni zina mchango gani hapa Tanzania kama hazina uvumbuzi wenye tija ?

    Najua kwa mliopata A flat na mkaitwa wanasayansi mtasema nina wivu. Mimi primary tena ya kijijini ndani ndani huko darasa letu lilikuwa la pili kumaliza STD 7 nilipata A flat na kupangiwa shule ya vipaji. Enzi hizo ukipata shule ya vipaji kijiji kizima unajulikana. Mpaka kijiji jirani...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uhamisho Mkundi Mlimani Sekondari - Morogoro lazima uchangie kiti na meza

    Nimeomba nafasi mwanafunzi ahamie shule ya Sekondari Mkundi Mlimani, Morogoro Manispaa ila nje ya michango mingine nimeambiwa nitoe laki moja kama "Mchango wa meza na kiti" kwakuwa Mkuu hapokei mwanafunzi ambaye anakaa chini. Sasa, je hicho kiti na meza akimaliza kidato cha nne anaondoka nacho...
  6. JamiiForums Tanzania Nililinyamazia WhatsApp group la Sekondari kutokana na kuchoshwa na vizinga

    Kwa nia njema ya kujumuika tena na wanangu wa sekondari. Safari hii ilikuwa kupitia WhatsApp group. Halikuwa tofauti sana na magroup mengine, mambo yalikuwa ni yaleyale tu, kusaidiana kwenye shida na raha. Tuliweka mkakati mzuri wa kusaidiana kwenye misiba na ugonjwa. Kosa nililofanya ni...
  7. JamiiForums Tanzania WAZIRI WA ELIMU CHUKUA TAHADHARI SEKONDARI YA BEATRICE SHELUKINDO YA KILINDI

    Mh. Pamoja na kwamba kuna usemi: don't judge book by its cover, uhalisia ni kwamba wakati mwingine umbile la nje la kitabu linaakisi yaliyo ndani. Kwa binadamu mavazi yako yanaakisi hadhi yako, kwa vitu kama magari, simu, nyumba nk. Umbo la nje linaakisi hali ya ubora iliyop ndani ya vitu...
  8. JamiiForums Tanzania Ujenzi Shule ya Sekondari Uvinza wakamilika

  9. JamiiForums Tanzania Nimeona mwanafunzi wa sekondari kavaa burqa(ninja)

    Wanafunzi wa kike wanaruhusiwa kuvaa burqa(ninja) mashuleni? Nimeona mwanafunzi wa kike kama wa kidato cha pili amevaa burqa(ninja) anaenda shule nikashaangaa sana. Ukiacha kuwa ni mwanafunzi kwa nini watoto wadogo wavalishwe burqa? Nani mwenye akili timamu anaweza kuwatamani watoto wadogo?
  10. JamiiForums Tanzania Mrejesho: Baada ya kumpa kibano cha maana amekubali kuwa walishaga mnanilii tokea sekondari😥

    Habarini jamani!!!! Mwendo ni ule ule Oktoba hakuna uchaguzi utayeyuka shwaaaa baada ya mauza uza apo mwezi kati😃 Jana nilileta uzi kumhusu shemeji yangu mwenye dalili za kishoga ambazo amekuwa akizionesha mitandaoni hasa Tiktok yy amekuwa akisingizia ni mbinu za kuongeza followers lkn ikanitia...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Maabara za kisasa ambazo zinatumika katika Shule ya Sekondari ya Philipo Mulugo

    Maabara za kisasa ambazo zinatumika katika Shule ya Sekondari ya Philipo Mulugo iliyojengwa kupitia mradi wa SEQUIP katika Kata ya Udinde Halmashauri ya Wilaya ya Songwe. #KurayakwanzakwaSamia #Haijapatakutokea
  12. E

    JamiiForums Tanzania Ukarabati wa madarasa shule za msingi na sekondari

    Serikali chini ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanya maboresho ya miundombinu ya madarasa katika shule za msingi na sekondari ambapo hadi sasa kiasi cha shilingi Bilioni 104.5 zimetumika kuboresha shule ya sekondari Kongwe kwapakacha katika mwaka wa fedha wa 2023/2024 katika Ujenzi wa...
  13. JamiiForums Tanzania Katiba liwe somo lifundishwe kwa Wanafunzi wa Sekondari haswa kidato cha nne

    Katiba ni nyaraka kuu ya taifa lolote. Ni dira, mwongozo na msingi wa maisha ya wananchi wake. Inabeba kanuni, sheria, haki na wajibu wa kila raia pamoja na viongozi wanaoongoza. Kwa maana hiyo, katiba si jambo la wanasheria pekee, bali ni chombo cha kila mwananchi. Hata hivyo, changamoto kubwa...
  14. JamiiForums Tanzania Kuwe na somo la Sheria sekondari

    Ni muhimu sana kwa watu kujua sheria,kuzisoma,kuzitafsiri,namna ya kuzitunga nk. Watu wengi wanakutana na kadhia lakini wanashindwa hata kujua ni namna gani afungue kesi mahakani mpaka amtafute mwanasheria ama wakili ndio amsaidie. Kuna ulazima wa kuwa na somo liitwe FUNDAMENTALS OF...
  15. B

    JamiiForums Tanzania CRDB Yachangia Madawati 111 na Ujenzi wa Uzio Shule ya Sekondari Prof. Adolf Mkenda, Rombo

    Mkuu wa Wilaya Rombo, Raymond Mwangwala (watatu kulia) akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 10 kutoka kwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya CRDB Bank Foundation, Coletha Ndunguru (wapili kushoto) kwa ajili ya kuchangia ununuzi wa vifaa vya ujenzi wa uzio wa Shule ya Sekondari...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Bilioni 12 kukamilisha ujenzi shule za sekondari Rukwa na Katavi

    Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imekamilisha ujenzi wa shule mbili za kisasa za Amali Wilayani Kibondo Mkoani Tabora na Wilaya ya Mlele mkoani Katavi zinazogharimu Shilingi Bilioni 3.2 Vilevile serikali imetumia kiasi cha shilingi Bilioni 8.8 kwa ajili ya...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Njombe: Shilingi Bilioni 19.6 kutumika mradi wa Kuboresha Ubora wa elimu ya sekondari

    Serikali imetoa shilingi Bilioni 19.6 kwa ajili ya Mradi wa Kuboresha Ubora wa Elimu ya Sekondari SEQUIP mkoani Njombe. Kati ya fedha hizo jumla ya Shilingi Bilioni 4.360 zimetolewa kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu mbalimbali ikiwemo majengo ya madarasa, maabara, mabweni, bwalo la chakula...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mkuu wa Shule ya Sekondari Nyamanoro (Mwanza) anahatarisha maisha ya wanafunzi kwa kuwatoa wanafunzi shuleni saa 2 usiku

    Nikiwa kama jirani nayeishi karibu na Shule ya Sekondari Nyamanoro iliyo katika Halmashauri ya Manispaa ya ilemela mkoa wa Mwanza nimekuwa nikipatwa na wasiwasi juu ya hatari inayowakabili wanafunzi wanaosoma shule hiyo kuwaruhusu wanafunzi kurudi majumbani saa 2 usiku. Shule hii imeweka...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Kigoma: Serikali kupitia mradi wa SEQUIP yatoa Shilingi Bilioni 5.7 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya shule mpya mbili za sekondari

    Serikali Kupitia Mradi wa kuboresha Ubora wa Elimu Sekondari (SEQUIP) imetoa kiasi cha zaidi ya Shilingi Bilioni 5.7 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya ujenzi wa shule mpya mbili za sekondari zitakazorahisisha upatikanaji wa huduma za elimu mkoani Kigoma. Shule hizo ni pamoja na Shule ya...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Mliokuwa mnafaulu sekondari hasa masomo ya hesabu mlikuwa mnatuchukuliaje sisi tuliokuwa tunafeli?

    Aisee nimiaka kama tisa hivi toka nifeli form kidato nimepambana sana hapo katikati sasahivi mambo mazuri Nimeenda kijijini nikakutana nawale manguli wa sayansi wamekua walimu wa sekondari hiohio tuliosomea wanajitolea sio ajira rasmi Nilikuwa kwenye mnyama ford ranger aisee wamepagawa kuona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…