sekondari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ikiwa hatutumii asilimia 90 ya tunavyojifunza shuleni, kwanini tunajifunza?

    Kuna maana gani kama 90% ya tunavojifunza shuleni(msingi na sekondari) hatuvifanyii kazi? Elimu ni ufunguo wa maisha, nakubaliana kabisa na hii kauli. Lakini tuje kwenye uhalisia mwanafunzi wa shule ya msingi anasoma sii chini ya masomo 9 hadi anamaliza darasa la 7. Mwanafunzi wa sekondari...
  2. M

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI njooni muondoe wezi Tanga Jiji na Mkinga

    Ninawasalimu wanajukwaa wa JF Wakati Mh.Rais akitembea na kauli mbiu ya kazi iendelee,wapo manaibu makatibu wawili wa Tume ya Utumishi wa Walimu(TSC) wa wilaya za Tanga Jiji na Mkinga Halmashauri kauli yao itakua wizi unaendelea. Wanafanya wizi wa dhahiri,unyanyasaji,uonevu na ukandamizaji wa...
  3. JamiiForums Tanzania Chaurembo: Kata za Mbagala, Kilungule na Kibonde Maji hazina Shule za Sekondari

    Mbunge Abdallah Chaurembo amesema Kata za Mbagala, Kilungule na Kibonde Maji hazina kabisa Shule za Sekondari licha kwamba Sera ya Serikali ni kuwa na Sekondari katika kila Kata. Akiwa Bungeni, pia amezungumzia hali ya msongamano wa Wanafunzi madarasani katika Shule mbalimbali zikiwemo Mbande...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…