sekondari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Serikali irudishe Tsh 20,000/= Ada ya sekondari kwa mwaka

    Kwema Wakuu! Serikali inapaswa iirejeshe Ada kwa wanafunzi wanaosoma shule, nchi yetu bado hatujafikia nyakati za kutoa vitu bure, Shule ya Msingi ndio iwe Bure lakini sekondari, wanafunzi watoe pesa, Isiwe pesa kubwa Sana, iwe Tsh 20,000/= Kwa familia yenye watoto watano ni 100,000/= Kwa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Walimu Shule ya Sekondari Butimba na kashfa ya kujihusisha kimapenzi na Wanafunzi

    HABARI YA WANABODI? Kuna huu upumbavu, umenikera. Hebu tusaidiane kuutatua. NI JUU YA WAALIMU MALAYA WA BUTIMBA SEKONDARI-MWANZA ....Mwalimu mwanzalima na mwalimu paul....(JELA INAWAITA) Mwalimu wa Butimba sekondari wiki hii alitaka kumbaka mwanafunzi ila Mungu saidia aliweza kumponyoka na...
  3. JamiiForums Tanzania Dar: Vicky Kamata atoa Msaada kwa Shule ya Sekondari Mbwenitete, iliyopo Jimbo la Kawe, Wadau Waombwa kuendelea kusaidia

    Salaam Wakuu, Alfonce Peter Swai, Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Serikali ya Mbwenitete iliyopo Mbweni, Kawe Wilaya ya Kinondoni Mkoani Dar Es Salaam, ameomba Wadau wa Elimu kusaidia Shule kwani ina Ufaulu Mzuri pamoja na Changamoto zilizopo. Amesema Komputa ni Somo lipo kwenye Mtaala...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Data Management kwa shule za msingi na sekondari

    .
  5. E

    JamiiForums Tanzania Historia ya utumwa ifutwe msingi na sekondari

    Ukienda katika jamii zetu hata watoto wadogo ambao hawajui maisha yanaendaje wanaamini mzungu ni mtu bora kuliko mtu mweusi. Nimejiuliza sana dhana hizi zinatokana na nini lakini nimekuja kubaini kuwa dhana hizi walitujengea wakoloni enzi za ukoloni. waafrika walichukuliwa kama tabaka la chini...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Afisa elimu sekondari Songwe huko kwenye semina ya sensa zingatia yafuatayo

    Huyu mheshimiwa ndio amebaki wilaya ya Songwe baada ya God father wake kupelekwa Tabora. Watu wa Tabora chukueni tahadhari zote kuwania ameanza kuwahamisha watumishi wake vipenzia aliokuwa anafanya kazi nao mkoa wa Songwe kuwahamishia Tabora. Muwe makini hawachelewi kujazana maofisi huko...
  7. JamiiForums Tanzania Mtaala mpya wa elimu kufundisha coding katika shule za msingi na sekondari

    Serikali ya Kenya imepitisha mtaala mpya ambao wanafunzi wa shule ya msingi na sekondari watafundishwa coding. Halafu baadae turudi kukataa ukweli kwamba hawa wakenya likija suala la ubunifu katika teknolojia na startups wanatuzidi. Sisi bado hatuko serious katika mambo mengi hata elimu yetu pia...
  8. JamiiForums Tanzania Mwanza: Wanafunzi watoro Shule za Msingi (19,133), Sekondari (7,594)

    Serikali Jijini Mwanza inatarajia kuanza zoezi la kuwaondoa watoto wanaoishi mitaani ambao wamekithiri hususani katikati ya Jiji kuhakikisha wanarejea katika familia zao na kupata haki yao ya msingi ya kurejea shule. Zaidi ya asilimia 90 ya watoto walio mitaani Jijini Mwanza wana umri wa kwenda...
  9. JamiiForums Tanzania Baada ya walimu walio kuwa wamejificha kwenye Ofisi za Elimu Msingi, Sekondari na TSD ndani ya Halmashauri kutimuliwa sasa Idadi ya walimu Waongezeka

    Nianze kwa kumpongeza Prof Adolf Mkenda kwa kazi nzuri aliyoifanya Baada ya walimu walio kuwa wamejificha kwenye Ofisi za Elimu msingi, sekondari na TSD ndani ya Halmashauri kutimuliwa sasa Idadi ya walimu wa kufundisha madarasa ni Waongezeka. Hii ni baada ya malalamiko mengi kuandika Jf sasa...
  10. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Sekondari waruhusiwe kutumia simu Mashuleni?

    Haka kamjadala kamenifikirisha sana, Je! waruhusiwe kutumia simu mashuleni? Naskia mashule ya mafeza boys, mshuke ya st. nani huko wanaruhusiwa kutumia simu ndomana wanafaulu sana ni kweli? Akili ya wanafunzi wetu + smatphone what the output, sindo diamond atakuwa anaimba darasani Unaruhu simu...
  11. JamiiForums Tanzania Aliyoyasema Rais Samia alipokuwa kwenye ziara maalum katika shule ya Sekondari Benjamin William Mkapa

    ALIYOYASEMA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHESHIMIWA SAMIA SULUHU HASSAN ALIPOKUWA KWENYE ZIARA MAALUM KATIKA SHULE YA SEKONDARI BENJAMIN WILLIAM MKAPA, DAR ES SALAAM. MACHI 7, 2022. Nichukue nafasi hii kuwashukuru uongozi wa Mkoa, Wizara na Shule kwa shughuli ya kunishtukiza...
  12. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa sekondari kutoruhusiwa kuwa na simu shuleni ni sahihi?

    Nimesoma uzi wa wanafunzi flani huko Singida wampata msala wa kukamatwa na Jeshi la Polisi baada ya kuchoma moto pikipiki ya mwalimu na kufyeka shamba la mwalimu huyo baada ya kumpa adhabu mwanafunzi mmoja aliyekutwa na simu. Mwanafunsi huyo ni wa sekondari, binafsi hata mimi siungi mkono...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Hivi tulivyosoma Slave Trade tulikuwa tunaelewa kweli, au ilimradi liende tu?

    Tumesoma Sana slave trade na moja ya vitu vinavyo leta slavery and na sla e trade low salary as compared to many tasks or duties handled to you. Point yangu ya msingi Ni kwamba hivi inakuwaje mtu ana degree ya ualimu anaenda kufundisha hizi English medium analipwa laki mbili kwa mwezi na bado...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali kutoa ajira 7,000 kwa Walimu shule za msingi na Sekondari

    OFISI ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), imeomba kibali kwa Rais Samia Suluhu Hassan cha kuajiri Walimu 7,000 ili kupunguza upungufu wa walimu wa Shule za Msingi na Sekondari nchini. Waziri wa TAMISEMI, Innocent Bashungwa aliyasema hayo kwenye mdahalo maalum wa kujadili...
  15. JamiiForums Tanzania Elimu ya sekondari na msingi ifutwe, madarasa yageuzwe vyuo vya ufundi

    Habarini za wakati huu wana jamvi, Natumaini ni wazima na mnazidi kusongesha gurudumu la maisha katika nchi ya mama. Sasa katika pita pita zangu kwenye social media nimeokota hili la mwanafunzi wa bulchelor (according to yeye) anaomba kazi. Nikawa najiuliza kwanini serikali isiamue tu kufuta...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba kupatiwa syllabus ya somo la Kichina kwa shule za sekondari

    Wakuu mada hapo juu yahusika. Naomba kupatiwa nakala hapo juu. Natanguliza shukran
  17. JamiiForums Tanzania Siri ya ufaulu ya baadhi ya shule za sekondari hii hapa

    Watu naona wanauliza uliza siri ya mafanikio ya baadhi ya shule binafsi za sekondari hapa nchini, siri ziko 2 tu, kwanza sio siri maana hizi mbinu japo sikubaliani nazo ila zinafahamika na zinatumika sana kwa shule binafsi zenye majina makubwa ili waendelee kupiga pesa ndefu. (Hii ni biashara...
  18. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kubadilisha kituo cha kazi kutoka Sekondari kwenda TTC

    Heri ya mwaka mpya. Wakuu naomba msaada kwa wenye ufahamu nilisoma BED wakati ule ulikua wanapangiwa kwemda kufundisha vyuo vya ualimu lakini sikupangwa nilienda sekondari. Sasa hivi nataka nibadilishe, je ni utaratibu gani natakiwa kuufuata? Asante sana Mwl Wenyele
  19. J

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Temeke akabidhiwa madarasa 157 ya Shule za Sekondari

    MKUU WA WILAYA TEMEKE AKABIDHIWA MADARASA 157 YA SHULE ZA SEKONDARI Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mheshimiwa Jokate Mwegelo ameshiriki katika hafla ya makabidhiano ya Madarasa mapya 157 yaliyojengwa katika Shule 24 za Sekondari iliyofanyika leo Januari 03, 2022 katika Shule mpya ya Sekondari Dovya...
  20. JamiiForums Tanzania Aliyepata elimu ya msingi na sekondari katika shule za serikali hajui chochote zaidi ya kukariri majibu kwaajili ya mitihani ya taifa

    Habari! Hii mada imeshushwa kama ina kakejeli ndani yake ila ndio ukweli. Ukiondoa shule chache za msingi za serikali ambazo kidogo zina afadhali kama Diamond primary school and like. Ukuondoa sekondari zile za vipaji vya juu na kati tulizosoma zamani ambazo mnakutana wanafunzi kutoka kona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…