Kabla ya kuwekeza fedha zako kwenye ardhi na majengo, ni muhimu kupata maarifa sahihi kwa sababu kadhaa.
Kwanza, maarifa haya yatakusaidia kuelewa hali halisi ya soko la ardhi na majengo, ikiwa ni pamoja na bei, mahitaji, na mitindo ya uwekezaji inayofaa. Bila uelewa huu, unaweza kupoteza...
Mimi sio mnywaji wa pombe ila mara kadhaa nimesikia wanawake wakilamikia waume zao wenye hizo tabia, Malalamiko yanakuwa makubwa zaidi wakinywa nje kuliko wakinywea nyumbani.
Iwe ni bar, lounge, pub, kilabuni, n.k. mtu aliezoea kukesha kiasi cha kurudi nyumbani usiku au kulalia huko huko huwa...
Sasa ivi hii platform hovyo sana!
Kila nyuzi wanafuta!!
Hata nyuzi zisizo za siasa!!
Maoni binafsi
story binafsi
Yaan kifupi wanataka kila mtu awe mwandishi wa habar siyo sehemu tena ya ku interact.
Good luck Jf Nawa tabiria kifo by 2030
Bakhresa, GSM, Mo Dewji na wafanyabiashara wachache hapa Tanzania wamechana msamba, ni ndoto za abunuwasi kudhani unaweza fika hapo kwa kuacha kitu cha uhakika unachoweza fanya bila backup plan, connections, resources, n.k. utashangaa mtu anaacha kazi na hajawahi kufanya biashara eti hakuna...
Kwa muda miezi kadhaa sasa mfufulizo nimeona nyuzi nyingi sana zinazoonekana ni za vijana wadogo wakitaka kupata uzoefu mbalimbali kuhusu mapenzi, mahusian au ndoa, wakiulizia watu sahihi wa kuoana au malalamiko mbalimbali ya mahusaina, mapenzi na ndoa yanayoonekana ni kutoka kwa vijana wenye...
1. Sehemu za Kuabudia Airport iwe takwa la Kisheria na sio hisani kama inavyofanyika sasa au kupendelea upande moja.
2. Laiti airport pangejengwa Kanisa tu sijui hali ingekuaje mpaka sasa.
NB: JNIA Terminal 3 wamejitahidi Ila wamesahau dini nyingine, kwanini? KERO.
Inakera sana yaani wengine tukienda huko katika Mabaa ( tena na Mademu ) ambao tunataka Kuwatongozea huko huwa tunakuwa tayari tumeshakariri Mistari / Maneno yote kiasi kwamba tukiwa hayo maeneo huwa hatutaki disturbance na distraction yoyote kwani itafanya twende Off Point na tuliyoyakariri ili...
Habari wa kuu, kijana moja anaefahamika kwa jina la meshaki mkazi wa kitongoji cha makondo "A" amechomwa na kisu sehemu kadhaa za mwili na aliyetendanda unyama huu ni jirani take, suala hill limeonekana kufumbiwa nacho na viongozi mtaa pamoja na afisa inasadikika kuwa mtuhumiwa ametoa rushwa ili...
Habari
Katika mwili wa binaafamu Huwa Kuna viashiria vingi vinavyotokea kutokana na baadhi ya viungo kucheza....mfano wa viungo kucheza ni kama..
1.Pua kucheza
2.kung'ata ulimi
3.ngozi juu ya jicho kucheza
4.na viungo vinginevyo..
5...
6...
Asante.
Je yote haya yanaashiria nini sana sana...
Tunapitia wakati mgumu wa kuchunga kauli zetu tunapozungumza na media au tunapokuwa kwenye majukumu yetu.
Binafsi naendelea kuitafakari kauli ya CEO Kasongo kutupiga marufuku wasemaji kufanya mzaha kwenye statements rasmi za klabu. Ni kweli kuna kundi la watu hatuwatendei haki kwa kufanyia...
Sehemu YA kwanza
*(Uandishi wangu si mzuri sana)
Jina langu ni Vintage1q. Nimezaliwa mwishoni mwa miaka YA themanini na kukulia ughaibuni kwa takribani miaka 12. Nimezaliwa katika familia YA hali YA chini kabisa na mimi nikiwa ndo mtoto wa kwanza wa kiume.
Kukulia na kuishi ughaibuni kwa miaka...
Kuna msemo wanasema ukitaka kuwa maskini kaishi na maskini, nzi wote watakuja nyumbani kwako kwa sababu wewe kwako ndiko vitu vinatupwa, then utajikuta unapata magonjwa na utakufa.
Nimeipita Tanzania kwa asilimia kubwa sasa, ila safari za Tunduru zimenichanganya, nimepata Dili za kupeleka...
Habari ya 8 8 viongozi,
Njooni tupeane connection ya sehemu ambazo zina potential kwa sisi vijana kwenda kujipambania.
Nitaanza kama ifuatavyo.
1. Dar es Salaam na viunga vyake
Ebhana hii sehemu ukiwa na nidhamu ya pesa ukaweza kucontrol matumizi vizuri Basi Mwenyezimungu anaweza kukunyooshea...
Habari ya leo wadau.
Salamu kwa Rais Samia.
Mimi ni Mwanachi wako mkazi wa Goba mwaka wa 12 huu. naleta malalamiko kuhusu njia ya Tegeta A iliyoungana na Kulangwa Nimeishi huku miaka mingi na changamoto yetu kubwa ni barabara.
Nilileta malalamiko yangu miezi michache iliyopita kuhusu barabara...