sehemu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo maoni yangu:Kabla hujao boresha kwanza sehemu unayolala

    Ni maoni yangu yanastahili kupingwa,kuungwa mkono au kukosolewa ama kuboresha zaidi. Kwa mwanaume jambo ambalo unapaswa kulipa kipaumbele zaidi unapoanza maisha Yako ya kujitegemea boresha kwanza sehemu ya kulala. Kwanini napendekeza sehemu ya kulala iwe nzuri. Baada ya michakato,kazi ngumu...
  2. slyve Ramon

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ofisi za wanaoshughulika na ajira portal zipo sehemu gani kwa Dar es Salaam?

    Habarini wakuu naomba kuelekezwa sehemu ilipo office inayoshughulika na maswala ya mfumo wa ajiraportal Kwa hapa Dar es salaam maana nilijaribu kuwapigia simu ila sikupata utatuzi nahitaji kwenda direct ,Kwa yeyote anaefahamu walipo naomba kuelekezwa tafadhali
  3. ngara23

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kunyoa sehemu za Siri bila ruhusa ya mme wake, ni kosa la kuvunja ndoa

    Hapa wengi watabisha, kwakuwa Mila zetu za ki Africa zilipigwa teke Mwanamke aliyefundwa, aliyeenda unyagoni ni marufuku kunyoa sehemu zake za Siri bila ridhaa ya mmewe Kitendo cha mwanamke kujiamulia kunyoa sehemu zake za Siri ni ishara ya umalaya na dharau kubwa Kwa mme wake Mwanamke kunyoa...
  4. MaT2B

    JamiiForums Tanzania Sehemu gani nzuri Kwa Dar es Salaam Ya kutoka na Mpenzi?

    Habari za jioni. Mwisho wa wiki hii nataka kutoka na Mpenzi wangu. Sehemu iwe imetulia(kusiwe na vurugu nyingi) Chakula kizuri, Mziki kwa mbalii, Gharama isiwe kubwa sana( bajeti iwe <100K). Pia isiwe nje ya jiji sana. Nilitaka kumpeleka kwa wahindi, skweez( tatizo hakuna mziki). M. Thread...
  5. The Box

    JamiiForums Tanzania NI sehemu gani Dodoma kuna swimming pool za wakubwa?

    Wakuu. Nitakuwa Dodoma Kesho. Napenda kuogelea. Ni sehemu gani Dodoma kuna swimming pool za wakubwa?
  6. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Usipojitambua kama Msichana au Mwanaume, hizi ndio sehemu zako zitaathirika.... GIRL CODE NO 4

    Ewe mwanamke wewe msichana wewe binti Usipotambua thamani yako kama mwanamke, zitakazoathirika ni 1. sehemu zako za siri 2. utu wako 3. saikolojia yako juu ya wanaume 4. afya ya akili yako nakusahuri, jitambue, jielewe jua thamani yako, jua wewe ndio the price sio mwanaume natoa darasa la...
  7. Aelknes

    JamiiForums Tanzania Uchawa ni janga linalotupelekea sehemu mbaya zaidi

    Hili jambo la uchawa binafsi nimeliona ni tatizo ambalo linazidi kutupeleka sehemu mbaya zaidi Sasahivi makazini boss hata kama anakosea,huwezi kukuta anakosolewa watu wanamsifia hata kwenye jambo la kijinga wakijua kuna mahali watapata favour Ama ukijiona unataka kufanya jambo unalojua...
  8. feyzal

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa Tanzania kuna sehemu inaongoza kukatika katikaumeme kama mikwambe?

    Habari ndugu zangu,bila shaka wazima. Niende kwenye bandiko la swali langu, TANESCO hivi mnajua kua mna boa sana? Haiwezekani kwa siku mnakata umeme zaidi ya mara 30 mnataka kuunguza vitu ama vipi?. Wakuu nilikuja mikwambe Jumanne kuna kaka yangu ana umwa nikawa nimekuja kupoa nae ,ajabu sana...
  9. nasssen

    JamiiForums Tanzania Kosa la kuingilia msafara au kupita sehemu iliyozuiwa kupisha uwepo wa mtu mkubwa serikalini

    Ndugu wanajamvi, Kabla ya yote ningependa kutanguliza pongezi na hongera nyingi za kuweza kufika December tukiwa na pumzi. Pasipo kupoteza muda, ningependa kwenda moja kwa moja kwenye mkasa ulionikumba weekend hii maeneo fulani hapa jijini Dar es Salaam. Kwa ufupi nilikuwa napita tu kwenye...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Nilichogundua mke kuolewa siyo bahati bali awe na sifa hana tofauti na kiwanja sehemu nzuri kununuliwa ni chapu kwa haraka kuliko magumegume

    Wanaosema kuolewa ni bahati huwa wanajifariji tu! Ukweli ni kwamba kuwa mke wa mtu ni vigezo na sifa maalum ambavyo siyo kila mwanamke anavyo! Kutokuwa malaya haina maana unasifa moja kwa moja kuwa mke wa mtu bali hii ni tabia njema ingawa siyo tiketi ya kuolewa! Mwanamke mwenye sifa ya...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2025 naiona CHADEMA kugawanyika sehemu mbili "CHADEMA Asili" na "CHADEMA Wazalendo"

    Nizahiri sasa Tindu Lisu amejipanga na wafuasi wake wanaomuunga mkono iwe jua iwe mvua ni lazima agombee na awe mwenyekiti wa CHADEMA Pia mwenyekiti wa sasa wa chama hicho Freeman Mbowe naye amejipanga na watu wake wanaomuunga mkono kutetea tena nafsi yake kama hiyo. Kwa hali inavyoonyesha...
  12. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaovaa condom haifiki mwisho! Ile sehemu inayobaki wazi haiwezi kukupelekea kupata maambukizi?

    Wakuu swali hili. Kama ushawai tumia kondom utaungana na mimi sehemu ya mwishi karibu na shina condom huwa haifiki na hii kupelekea wakat wa tendo kulowa au kugusana maji maji Je, hii haiwezi sababisha maambukiizi?
  13. B

    JamiiForums Tanzania Jf ni sehemu kwa ajili ya kutiana moyo na kuelimishana na sio kukatishana tamaa

    Katika maisha Nina amini biashara ambayo inaweza nikafanya wewe ukatoboa kuna mwingine hawezi tobos 👉Tuendelee na moyo huo huo wa wa upendo as wanajamii! 👉Usisite kutoa mawazo yako pale mwenzako anapokwama kifikra 👉Tusiegemee kwenye kulaumu tu pia tutoe na solution ama suluhisho kwa changamoto...
  14. MAKA Jr

    JamiiForums Tanzania Kwanini Bara la Afrika linajulikana kama sehemu ya kwenda kuiba mali?

    Ni kwa nini duniani kote inajulikana kuwa Bara la Afrika ni sehemu ya kwenda kuiba au kuchukua vitu pasipo na wenyeji wake kuonyesha kujitetea? Hii hali inazidi kuwa kubwa kadri siku zinavyosonga. Tulifikiri uhuru utaondoa hili, lakini wapi. Tulifikiri Elimu na teknolojia vitaondoa hili...
  15. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hospitali ya Wilaya ya Ubungo, pesa za vipimo zinazolipiwa Maabara bila stakabadhi zinaenda sehemu sahihi?

    Picha: Ubungo Manispaa Mwaka 2021, Mwenge wa Uhuru ulizindua Hospitali hii ya Ubungo ili kusaidia Wakazi wa maeneo hayo kuwa na Hospitali ya Wilaya. Hospitali hii inatoa huduma nyingi na za msingi kuanzia huduma ya mama na mtoto, kujifungua, hadi upasuaji. Licha ya kuwa hospitali hii yenye...
  16. Brojust

    JamiiForums Tanzania Waliokufa Vs Waliohai; Sehemu ambazo hazijaguswa tangu dunia kuumbwa

    Salaam, Naomba kufanya brain storming kidogo. 1. Je, Kuna sehemu kwenye dunia hii haijawahi kuguswa toka uumbaji wa dunia. 2. Je, waliokufa tokea dunia kuumbwa na waliohai, yupi anaongoza kwa wingi ? 3. Je, ni kweli kuna imani ya kubadilisha jiwe kuwa dhahabu ? (Please hapa naomba tusijibu...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kinakata vibe sehemu za starehe?

    Kitu gani kinakata vibe sehemu za starehe? Embu tuambiane Binafsi kuombwa kumnunulia mtu vinywaji sipendi kabisa maana kuna watu ni wasumbufu kinoma. Kzi kutia huruma kuomba kunuliwa vitu tu Wewe kwanini ulikuja kwenye sehemu ya starehe bila pesa?
  18. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Nimeona sehemu tangazo la ualimu sekondari, mshahara laki moja nimetokwa na machozi

    Hivi laki moja hata uwe kijijini unatoboaje kwa mwezi?
  19. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Narudi tena! Kati ya Mpanda na Morogoro wapi sehemu sahihi kwa hustle?

    Wakuu hivi sehemu sahihi ya kiutafutaji katika ya Morogoro na Katavi ipi ni sahihi? Kwa maana ya biashara ya mazao na maduka ya dawa Morogoro maeneo ya Ifakara, Mvomero, Malinyi, Kilombero na Mlimba?
  20. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Vyakula vya kuboresha sehemu za Siri za mwanamke na kuongeza ubora WA tendo la ndoa

    Nasikia hakuna kitu kizuri kama sex .japo. Me mgeni kwenye mambo haya mjini hapa.japo kwa wenyeji jijini Maneno hayo wameyazoea hapa jijini. Kuna umri ukifika inatakiwa uangalie unakulaje.mwanamke unaweza ukajikuta unatembea na jangwa la Kalahari huko chini .na hii nchi ngamia hakuna bamia...
Back
Top Bottom